Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMPUNI YA MASOKO, NEC, OSIEA PAMOJA NA WASANII WAZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA UPIGAJI KURA

 Mmoja wa Wakurugenzi wa Kampuni ya Masoko inayojihusisha na masuala ya mawasiliano na masoko, Conctantine Magavila (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati wa uzinduzi wa kampeni maalumu ya kuhamasisha vijana kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura na hatimaye kupiga kura ilijulikanayo kama 'Kuradili". Kampuni hiyo itafanya kampeni hiyo katika mikoa kadhaa kwa kushiriakiana na  Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Shirika la Open...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Wasanii wahimizwa kupaza sauti upigaji wa kura

msnsaii nikipNA ASIFIWE GEORGE

MSANII kutoka kundi la Weusi, Nickson Saimon (Niki wa Pili), mwanasiasa Chikulupi Kasaka, mjasiriamali Modesta Mahinga na Mbunge Steven Masele wameshiriki katika mdahalo wa vijana uliojadili mambo mbalimbali wanayotaka yafanyike katika uchaguzi mkuu wa Tanzania Oktoba, mwaka huu.

Mdahalo huo umeandaliwa na taasisi ya Tanzania Bora Initiative, ikiwa na lengo la kuweka msimamo kwa vijana katika uchaguzi utakaoweza kusaidia kushiriki kikamilifu katika hatua zote za uchaguzi na...

 

10 years ago

Michuzi

WASANII WATAKIWA KUTOA ELIMU YA UPIGAJI KURA

Na Mwandishi Wetu
Wasanii nchini wametakiwa kushiriki kikamilifu katika kutoa elimu ya uraia kwa wananchi ili watambue umuhimu wa kupiga kura na kuwaweka madarakani viongozi wanaowataka.
Wito huo umetolewa mapema wiki hii na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa  (BASATA) Godfrey Mngereza wakati akichangia mada kuhusu Umuhimu wa Jamii kupiga kura kwenye Jukwaa la Sanaa linalofanyika makao makuu ya BASATA Ilala Sharif Shamba jijini Dar es Salaam.
“Kama taifa tunazungukwa na matukio mengi...

 

10 years ago

GPL

WASANII WAANDAA TAMASHA LA KUHAMASISHA KUPIGA KURA

Joseph Haule `Profesor J’ akizungumza na waandishi wa habari, wa kwanza kushoto ni mwanamuziki Kala Jeremiah akifuatiwa na Juma Kassim `Juma Nature’. Msanii wa muziki Bongo, Kala Jeremiah (katikati) akizungumzia tamasha hilo. Kulia kwake ni msanii Joseph Haule `Profesor Jay’ na kushoto ni Juma Kassim ‘Juma Nature’. Msanii `Juma Nature’ akizungumza kwa kina… ...

 

10 years ago

Habarileo

Kampeni ya kuhamasisha daftari la kura yazinduliwa

KAMPENI maalumu ya kuwahamasisha vijana kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura na hatimaye kupiga kura, imezinduliwa jijini Dar es Salaam jana.

 

9 years ago

Dewji Blog

Tume ya Uchaguzi ‘NEC’ yaombwa zoezi la upigaji kura lianze saa 12:00 Asubuhi Shinyanga

DSC01147

Baadhi ya waandishi wa habari 25 kutoka mikoa ya Singida, Katavi, Kigoma na Shinyanga,waliohudhuria mafunzo ya uandishi bora wa habari za uchaguzi yaliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Vigimark hotel nje kidogo ya mji wa Shinyanga. Mafunzo hayo ya siku tano, yaliratibiwa na Baraza la habari (MCT) na kufadhiliwa na BBC Media Action .Wa tatu kulia waliosimama, ni mwandishi wa habari wa Modewji blog, Singida, Bw. Nathaniel Limu.

DSC01142

Baadhi ya barabara ndani ya manispaa ya Shinyanga.(Picha na...

 

9 years ago

Bongo5

Hemedy PHD: Ningependa wasanii tusaidie kutoa elimu ya upigaji kura kuliko kushabikia vyama

Hemedy PHD amedai hajajifunga na chama chochote cha siasa kama ilivyo kwa wasanii wengi na kwamba jambo la muhimu zaidi ambalo anaamini wangefanya ni kusaidia kueneza elimu ya upigaji kura. Hemedy ameiambia Bongo5 kuwa wananchi wengi hawana elimu hiyo na hapendi kuona limefumbiwa macho. “Wenye haki ya kupiga kura tayari ni wengi, wengi wamekua na […]

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: NEC, uandikishaji usiende pamoja na kampeni

>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), wiki hii imetangaza ratiba ya Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani kwamba Agosti 21 itakuwa siku ya uteuzi wa wagombea hao.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wapiga kura Kariakoo kuhusu upigaji kura

Wapiga kura Tanzania walifika vituoni mapema kupiga kura kuwachagua viongozi wapya. Wanamchagua rais mpya, wabunge na madiwani. Mwandishi wa BBC Bashkas Jugsodaay alizungumza na baadhi yao

 

9 years ago

Mwananchi

Kasoro kibao upigaji kura

Watu wasiojulikana wameteketeza kwa moto vifaa vya kupigia kura wilayani Sumbawanga, huku wasimamizi wasaidizi watatu wa uchaguzi katika Jimbo la Vunjo wakipigwa na kujeruhiwa kwa madai ya kusambaza kura zisizo halali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani