WASANII WAANDAA TAMASHA LA KUHAMASISHA KUPIGA KURA
Joseph Haule `Profesor J’ akizungumza na waandishi wa habari, wa kwanza kushoto ni mwanamuziki Kala Jeremiah akifuatiwa na Juma Kassim `Juma Nature’. Msanii wa muziki Bongo, Kala Jeremiah (katikati) akizungumzia tamasha hilo. Kulia kwake ni msanii Joseph Haule `Profesor Jay’ na kushoto ni Juma Kassim ‘Juma Nature’. Msanii `Juma Nature’ akizungumza kwa kina… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboKINANA ASHIRIKI BONANZA LA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUPIGA KURA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Viongozi na waratibu wa Bonanza maalum la kuhamasisha wananchi kujiandikisha katika Daftari Maalum la kupiga kura mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Gonga, Karakata tayari kushiriki mchaka mchaka na vijana zaidi ya 500 kutoka vikundi mbali mbali vya wilaya ya Ilala na Temeke.
Vijana wakiwa wamekusanyika tayari kuanza kushiriki mazoezi ya jogging kwenye uwanja wa Gonga, Karakata ambapo mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa CCM...
9 years ago
MichuziSUGU, NATURE, PROFESSA J KUFANYA SHOO YA KUHAMASISHA MASHABIKI KUPIGA KURA OKTOBA 25, 2015
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Kala Jeremiah akiongea na waandishi wa habari ili kuwaelezea onyesho lao la bure wanalotarajia kulifanya Agosti 23, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala kuwahamasisha mashabiki wao kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015. Pembeni ni Joseph Haule “Professa J”, Juma Kassim “Sir Nature” pamoja na Msagasumu. Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Joseph Haule “Professa J” akionyesha ...
9 years ago
VijimamboSUGU, NATURE, PROFESSA J, KALA JEREMIAH KUFANYA SHOO YA KUHAMASISHA MASHABIKI KUPIGA KURA OKTOBA 25, 2015
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Kala Jeremiah akiongea na waandishi wa habari ili kuwaelezea onyesho lao la bure wanalotarajia kulifanya Agosti 23, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala kuwahamasisha mashabiki wao kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015. Pembeni ni Joseph Haule “Professa J”, Juma Kassim “Sir Nature” pamoja na Msagasumu. Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Joseph Haule “Professa J” akionyesha msisitizo mbele...
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA MASOKO, NEC, OSIEA PAMOJA NA WASANII WAZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA UPIGAJI KURA
Mmoja wa Wakurugenzi wa Kampuni ya Masoko inayojihusisha na masuala ya mawasiliano na masoko, Conctantine Magavila (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati wa uzinduzi wa kampeni maalumu ya kuhamasisha vijana kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura na hatimaye kupiga kura ilijulikanayo kama 'Kuradili". Kampuni hiyo itafanya kampeni hiyo katika mikoa kadhaa kwa kushiriakiana na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Shirika la Open...
9 years ago
VijimamboTAMASHA LA 'DEMOCRACY IN DAR' LAFUNIKA JIJI, WAKAZI WAHAMASIKA KUJITOKEZA KUPIGA KURA OKTOBA 25, 2015
Wananchi waliojitokeza katika tamasha la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Msanii Msagasumu akimwaga sumu kwa wakazi wa Mbagala na Vitongoji vyake waliojitokeza katika tamasha la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem,...
Msanii Msagasumu akimwaga sumu kwa wakazi wa Mbagala na Vitongoji vyake waliojitokeza katika tamasha la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem,...
11 years ago
Michuzi12 Feb
JK AZINDUA MABANGO YA KUHAMASISHA WANANCHI KUPIGA VITA MAUAJI YA TEMBO,FARU
Moja ya mabango yaliyozinduliwa na Rais Jakaya Kikwete usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kupiga vita mauaji ya Tembo na Faru nchini. Hafla hii ilifanyika muda mfupi kabla Rais Kikwete hajapanda ndege kuelekea London, Uingereza, kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa kupanga mikakati ya kupambana na ujangili na biashara haramu ya meno ya tembo na faru.
Rais Jakaya Kikwete (kulia) akibofya kwenye...
9 years ago
Mwananchi21 Oct
Waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema wapiga kura waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura katika uchaguzi utakaofanyika nchini kote siku ya Jumapili.
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE AZINDUA MABANGO YA KUHAMASISHA WANANCHI KUPIGA VITA MAUAJI YA TEMBO, FARU
Moja ya mabango yaliyozinduliwa na Rais Jakaya Kikwete usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kupiga vita mauaji ya Tembo na Faru nchini. Hafla hii ilifanyika muda mfupi kabla Rais Kikwete hajapanda ndege kuelekea London, Uingereza, kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa kupanga mikakati ya kupambana na ujangili na biashara haramu ya meno ya...
11 years ago
MichuziTume ya Taifa ya Uchaguzi yasisitiza wapiga kura ndani ya Jimbo la Chalinze wajitokeze kwa wingi na kwenda kupiga kura
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kushoto) akitoa risala siku moja kabla ya ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Chalinze kwa waadishi wa habari leo katika ukumbi halmashauri ya mji wa Bagamoyo. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Hamid Mahmuod na wa kwanza kulia ni Mjumbe wa Tume hiyo Prof. Amon Chaligha.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kulia)...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania