PENNY, WEMA WAKUMBANA STUDIO
![](http://api.ning.com:80/files/EwLJgW6X-wX4*Xmv4LzpUIz53iMl6aTO0JGjoOFrTSkAl7insm1-TaZzLmV9r-pknZSPjRIYLqo1DLfqk5GIMEIfourZ9Ygn/wema.jpg?width=650)
Stori: Musa Mateja na Shakoor Jongo Katika hali isiyotarajiwa, mchumba wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Wema Sepetu na aliyewahi kuwa mchumba wa msanii huyo, Penniel Mungilwa ‘Penny’ walikutana studio na kila mmoja akamkwepa mwenzake. Mtangazaji wa Dtv Penniel Mungilwa ‘Penny’ Tukio hilo lilitokea juzikati maeneo ya Posta, jijini Dar katika Studio za Amaya ambayo ni saluni...
GPL
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania