Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wema,Penny Waingia ‘Chimbo’!

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema  Sepetu na Mtangazaji Penniel Mwingila ‘Penny’ ambao wote kwa nyakati tofauti wamewahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ baada ya kuona habari za mwenza wao huyo wa zamani akiwa na mpenziwe mpya, Zarinah Hassan zinapamba moto kila siku, wameibuka na kudai hawababaishwi nazo, kwani hivi sasa wameamua kuingia kazini kwa kufanya bonge la project.

Akizungumza kwa niaba ya mwenzake, Penny alisema kelele za kila...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WEMA, PENNY WAPATANA

HATIMAYE mastaa wawili wakubwa Bongo, Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na Mtangazaji wa Redio EFM, Peniel Mungilwa ‘Penny’ wamepatana baada ya kuwa katika bifu kwa kipindi kirefu, chanzo kikiwa ni penzi la Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Wema Sepetu akiwa na shosti yake Peniel Mungilwa ‘Penny’. Habari za ndani zinaeleza kuwa wawili hao walipatanishwa na mdau mkubwa wa burudani,...

 

10 years ago

GPL

PENNY, WEMA WAMKEJELI DIAMOND

Stori: Imelda Mtema Mastaa wawili hapa Bongo ambao huko nyuma walikuwa katika bifu kali, Wema Sepetu na Penny Mwingilwa wameonekana kumkejeli aliyekuwa mpenzi wao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa kutumia neno Project. Staa wa bongo Penny Mwingilwa,  'penny'. Mastaa hao walionekana wameweka picha yao wakiwa pamoja wamejilaza chini nyumbani kwa Wema  na kuandika kuwa wakiwa katika Project yao neno ambalo lilitumiwa...

 

11 years ago

GPL

PENNY, WEMA WAKUMBANA STUDIO

Stori: Musa Mateja na Shakoor Jongo
Katika hali isiyotarajiwa, mchumba wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Wema Sepetu na aliyewahi kuwa mchumba wa msanii huyo, Penniel Mungilwa ‘Penny’ walikutana studio na kila mmoja akamkwepa mwenzake. Mtangazaji wa Dtv Penniel Mungilwa ‘Penny’ Tukio hilo lilitokea juzikati maeneo ya Posta, jijini Dar katika Studio za Amaya ambayo ni saluni...

 

10 years ago

GPL

PENNY, WEMA ETI WANA PROJECT

Imelda Mtema
STAA wa filamu Bongo, Wema  Sepetu na Mtangazaji Penniel Mwingila ‘Penny’ ambao wote kwa nyakati tofauti wamewahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ baada ya kuona habari za mwenza wao huyo wa zamani akiwa na mpenziwe mpya, Zali zinapamba moto kila siku, wameibuka na kudai hawababaishwi nazo, kwani hivi sasa wameamua kuingia kazini kwa kufanya...

 

11 years ago

GPL

WEMA, PENNY WAIPASUA FAMILIA YA DIAMOND

Stori: GLADNESS MALLYA NA CHANDE ABDALLAH BOOOM! Katika hali ya kushangaza, mastaa wawili Bongo, mwigizaji Wema Isaac Sepetu na mtangazaji wa DTV, Penniel Mungilwa ‘Penny’ wanadaiwa kuipasua familia ya kinara wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ijumaa Wikienda lina ripoti kamili. Wema akiwa na Diamond Platinum. Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu na familia hiyo kuna...

 

11 years ago

GPL

RAMADHANI YAMALIZA BIFU LA WEMA, PENNY!

Stori: Waandishi Wetu STAA wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amesema baada ya kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu na mtangazaji maarufu Bongo, Peniel Mungilwa ‘Penny’, sasa ameamua kumsamehe rasmi kwa heshima ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Staa wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Wema alisema: “Kwa moyo mweupe, nasema nimemsamehe Penny, hata nikikutana naye popote...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani