PENNY, WEMA ETI WANA PROJECT
![](http://api.ning.com:80/files/L5FNdOkpk1bXl8LCRQL8tYGx5Kpes8RL2nAcphrqMBvVI1CcA33nzMuXsM886p1uvglOvMnUTBwbys2DNpxdyvXwQ9m6ONnT/wema.jpg)
Imelda Mtema STAA wa filamu Bongo, Wema Sepetu na Mtangazaji Penniel Mwingila ‘Penny’ ambao wote kwa nyakati tofauti wamewahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ baada ya kuona habari za mwenza wao huyo wa zamani akiwa na mpenziwe mpya, Zali zinapamba moto kila siku, wameibuka na kudai hawababaishwi nazo, kwani hivi sasa wameamua kuingia kazini kwa kufanya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dMNnaPiQ3VhuAiHf6SFebUdShSEw*4h3YDblS32TAui7-qDjMqNfblRUq1VcgJ5BlA7nM1-iwy6pTGf5m5ALfO-I3hvTYpTp/Johari.gif?width=650)
ETI MAYA, JOHARI WANA GUNDU
10 years ago
Dewji Blog22 Dec
10 years ago
Bongo Movies10 Dec
TEAM WEMA Wapumua,Project Mpya Ya Wema
Makundi ya mashabiki mitandaoni maarufu kama TEAMS yamekuwa ni sehemu ya maisha ya mtandaoni ya wasanii na watu maarufu wengi hapa nchini. Linapokuja swala ya ushabiki na mada nzito team hizi huvutana kwa kutupiana maneno na wakati mwingine hadi maneno makali.
Siku za hivi karibuni baada ya mwigizaji Wema Sepetu alipoachana na mpenzi wake Diamond Platnum, na badaye Diamond kuamua kutoka na mwanamama Zari kutoka nchini Uganda, Mashabiki (TEAM) wa Diamond na wale wanaomponda Wema Sepetu...
10 years ago
Bongo Movies09 Dec
TEAM WEMA Yapumua,Project Mpya Ya Wema
Makundi ya mashabiki mitandaoni maarufu kama TEAMS yamekuwa ni sehemu ya maisha ya mtandaoni ya wasanii na watu maarufu wengi hapa nchini. Linapokuja swala ya ushabiki na mada nzito team hizi huvutana kwa kutupiana maneno na wakati mwingine hadi maneno makali.
Siku za hivi karibuni baada ya mwigizaji Wema Sepetu alipoachana na mpenzi wake Diamond Platnum, na badaye Diamond kuamua kutoka na mwanamama Zari kutoka nchini Uganda, Mashabiki (TEAM) wa Diamond na wale wanaomponda Wema Sepetu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e4QG9g3mWCfDzaHWKULPs4TRs6WtaBFrJgBzTTHwrvnsUtx0daYpJeCzPpBE7oC3WIshtlLuOvFaCcqg7sbBRvXdfHi*AGYz/wema.gif?width=650)
WEMA, PENNY WAPATANA
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Eti Wema, Aunt wapatana!
Waigizaji wa filamu wenye majina makubwa Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel katika pozi.
Na MWANDISHI WETU
KITUKO! Katika hali isiyotarajiwa, waigizaji wa filamu wenye majina makubwa Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wamepatana ghafla baada ya ugomvi wao wa muda mrefu.
Katika akaunti zao za mitandao ya kijamii, wawili hao walitupia picha wakiwa pamoja na furaha tele, baada ya hafla ya kukabidhiwa tuzo kwa wasanii zinazojulikana kama Nzumari Awards 2015, zilizofanyika Mombasa nchini Kenya,...
10 years ago
Bongo Movies15 Apr
Wema,Penny Waingia ‘Chimbo’!
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu na Mtangazaji Penniel Mwingila ‘Penny’ ambao wote kwa nyakati tofauti wamewahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ baada ya kuona habari za mwenza wao huyo wa zamani akiwa na mpenziwe mpya, Zarinah Hassan zinapamba moto kila siku, wameibuka na kudai hawababaishwi nazo, kwani hivi sasa wameamua kuingia kazini kwa kufanya bonge la project.
Akizungumza kwa niaba ya mwenzake, Penny alisema kelele za kila...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EwLJgW6X-wX4*Xmv4LzpUIz53iMl6aTO0JGjoOFrTSkAl7insm1-TaZzLmV9r-pknZSPjRIYLqo1DLfqk5GIMEIfourZ9Ygn/wema.jpg?width=650)
PENNY, WEMA WAKUMBANA STUDIO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/knSjhwKOr7srtJq4yFC6vclZvdG9PccSnjyQUAc9T2Zez9GbNSDlC6tLAc56Xbx6*Wemfz0TRdCCMsjBV7g*kKirjypVl-GE/wema.jpg)
PENNY, WEMA WAMKEJELI DIAMOND