Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAJALA: WEMA MNAFIKI

Musa Mateja na Shakoor Jongo
STAA wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja ameibuka na kusema kuwa ushosti wake na Miss Tanzania 2006/07, Wema Sepetu, uliorudishwa hivi karibuni baada ya kuwekana sawa ni wa kinafiki huku akidai Wema ni kigeugeu. Staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja Akizungumza kwa kujiamini mbele ya waandishi wetu, juzi Jumatano pande wa Mikocheni jijini Dar es Salaam, Kajala alisema: “Wema ni mnafiki...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala


Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji  Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari  ambayo  ilisambaa  katika  mitandao  mbalimbali  ya  kijamii.

Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...

 

11 years ago

Bongo Movies

Kajala afunguka kuwa wema sepetu ni mnafiki na si rafiki wa kweli.

STAA wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja ameibuka na kusema kuwa ushosti wake na Miss Tanzania 2006/07, Wema Sepetu, uliorudishwa hivi karibuni baada ya kuwekana sawa ni wa kinafiki huku akidai Wema ni kigeugeu.

 

Akizungumza kwa kujiamini mbele ya waandishi wa GPL, juzi Jumatano pande wa Mikocheni jijini Dar es Salaam, Kajala alisema: “Wema ni mnafiki kabisa. Upatanisho wetu ni wa uongo. Mimi moyoni nimeondoa kinyongo lakini mwenzangu naona kama bado ana donge moyoni.”

Kajala alisema...

 

10 years ago

Bongo Movies

'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema

Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao

ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.

Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...

 

11 years ago

GPL

WEMA, KAJALA WAPATANA

Stori: Hamida Hassan AMA kweli kufa kufaana! Lile bifu zito lililokuwa likitokota kati ya wapendwa wawili, Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu na mwigizaji mwenzake wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja limekwisha kufuatia kukalishwa katika kikao cha siri  kilichofanyika kwenye msiba wa aliyekuwa mwogoza filamu mahiri nchini, marehemu George Otieno ‘Tyson’, Risasi Mchanganyiko limeinasa. Wema Isaac Sepetu na...

 

10 years ago

GPL

KAJALA KUMWAJIRI WEMA

Stori: Shakoor Jongo na Imelda Mtema AMA kweli fedha mwanaharamu! Kama bado ulikuwa ukiamini kwamba Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu anayependelea kuitwa Madam ana mtonyo (fedha) kumzidi aliyekuwa shosti wake, mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’, umekosea sana kwani upepo umegeuka, ungana na Ijumaa Wikienda.
Habari za ‘ufukunyuku’ zinadai kwamba, kwa utajiri alionao kwa sasa, Kajala anaweza kudiriki...

 

10 years ago

GPL

KAJALA AMWANGUKIA WEMA

Waandishi wetu
KWELI dhamira inauma! Staa mkali wa sinema za Bongo, Kajala Masanja ameamua kukifungua kinywa chake na kusema kuwa anamwomba msamaha zilipendwa wake katika urafiki, Wema Isaac Sepetu kwa mabaya yote aliyomtendea, Amani linakupa zaidi. Staa mkali wa sinema za Bongo, Wema Sepetu. Akizungumza katika mahojiano maalum na  mapaparazi wetu mapema wiki hii jijini Dar, Kajala alisema hata kama kuna chuki ya ukubwa kwa...

 

10 years ago

GPL

WEMA AMKEJELI KAJALA

Stori: Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani
NGOMA nzito! Kauli ya sexy lady wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kuwa yupo tayari kumtumikia msanii mwenzake Kajala Masanja ‘K’ kwenye kampuni yake ya KAY Entertiment tena bila malipo yoyote, imetafisiriwa kuwa ni kejeli. Sexy lady wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ Hivi karibuni Wema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani