ETI AUNT LULU ALIA KUKOSA BWANA!
Na Hamida Hassan MKALI wa sinema za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amefunguka kuwa anasikitika kukosa bwana aliyeahidiwa na marehemu Amina Ngaluma. Muigizaji wa sinema za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu ’. Akizungumza na paparazi wetu, Aunt Lulu alisema kabla marehemu Amina hajapatwa na mauti nchini Thailand, alimuahidi kumtafutia bwana nchini humo lakini mauti yalimkuta kabla hajamtimizia ahadi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLAUNT LULU APIGWA TENA NA BWANA’KE
11 years ago
GPLNISHA: MH! ETI NINA MIMBA, WATU BWANA
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Eti Wema, Aunt wapatana!
Waigizaji wa filamu wenye majina makubwa Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel katika pozi.
Na MWANDISHI WETU
KITUKO! Katika hali isiyotarajiwa, waigizaji wa filamu wenye majina makubwa Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wamepatana ghafla baada ya ugomvi wao wa muda mrefu.
Katika akaunti zao za mitandao ya kijamii, wawili hao walitupia picha wakiwa pamoja na furaha tele, baada ya hafla ya kukabidhiwa tuzo kwa wasanii zinazojulikana kama Nzumari Awards 2015, zilizofanyika Mombasa nchini Kenya,...
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
Ndesamburo alia na mabaraza kukosa nguvu
MBUNGE wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo, (CHADEMA) amesema mabaraza ya manispaa kushindwa kuwawajibisha watendaji wazembe kimekuwa chanzo cha kuendelea kuwepo kwa ufisadi kwenye halmashauri nyingi nchini. Ndesamburo aliyasema hayo juzi...
9 years ago
GPLETI KISA KWENDA UKAWA; WASANII WAMPONDA AUNT
9 years ago
GPLETI LULU ALILIA KUZAA
10 years ago
Bongo Movies09 Apr
Aunt Ezekiel Alia Mimba Kumkosesha 'Madili'
Staa mrembo wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel, amesema kwamba anatamani kujifungua, kwani amechoshwa na mimba yake, kwa sababu imemfanya ashindwe kupata kazi ya kucheza filamu nyingine.
Akizungumza na gazeti la Mtanzania jana, msanii huyo alisema kuwa mialiko ya kucheza filamu imekata na sasa haingizi kipato chochote, badala yake pesa inatoka, hali ambayo inamfanya atamani ajifungue ili aondokane na adha hiyo.
“Siyo siri nimechoshwa na hii mimba, natamani hata leo nijifungue, kwani sipati tena...
10 years ago
Vijimambo13 Feb
MAMA AMKATAA BWANA’KE LULU
Stori: Imelda Mtema/AmaniKufuatia kauli yake ya hivi karibuni kuwa nyumba anayomiliki ilitokana na mchango wa bwana’ke (hakumtaja jina), mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ameibuka na kumkataa mwanaume huyo.Kwa mujibu wa Lulu, nyumba hiyo iliyopo Kimara jijini Dar ameijenga kwa kusaidiana na bwana’ke kwa mtindo wa pasu kwa pasu (kuchangia nusu kwa...
9 years ago
Bongo Movies21 Nov
Mobeto: Lulu Kanipora Bwana!
MAPENZI ya mjini utata mtupu! Ni kauli inayostahili kutumika baada ya mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Hassan Mobeto kumwaga chozi akidai kuporwa bwana’ke aliyekuwa akimpa jeuri mjini (jina tunalo) huku zigo la lawama likimwangukia staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
CHANZO KINASEMAJE?
Habari kutoka kwa chanzo makini zilieleza kwamba, kwa sasa kuna bifu jipya linalotokota mjini likihusisha sakata la Lulu kumpiku Mobeto kwa bwana’ke aliyekuwa akimgharamia kiasi cha kuwa...