AUNT LULU APIGWA TENA NA BWANA’KE

Stori: Gladness Mallya MWANADADA mwenye umbo tata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amedaiwa kubondwa tena na mpenzi wake aitwaye Amani, kisa kikitajwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Mwanadada mwenye umbo tata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’. Chanzo cha habari ambacho ni jirani na msanii huyo kimeeleza kuwa, Aunt Lulu alichezea kipigo hicho hivi karibuni akiwa nyumbani kwao Mbezi Salasala jijini Dar...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLETI AUNT LULU ALIA KUKOSA BWANA!
9 years ago
Bongo Movies21 Nov
Mobeto: Lulu Kanipora Bwana!
MAPENZI ya mjini utata mtupu! Ni kauli inayostahili kutumika baada ya mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Hassan Mobeto kumwaga chozi akidai kuporwa bwana’ke aliyekuwa akimpa jeuri mjini (jina tunalo) huku zigo la lawama likimwangukia staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
CHANZO KINASEMAJE?
Habari kutoka kwa chanzo makini zilieleza kwamba, kwa sasa kuna bifu jipya linalotokota mjini likihusisha sakata la Lulu kumpiku Mobeto kwa bwana’ke aliyekuwa akimgharamia kiasi cha kuwa...
10 years ago
Vijimambo13 Feb
MAMA AMKATAA BWANA’KE LULU

Stori: Imelda Mtema/AmaniKufuatia kauli yake ya hivi karibuni kuwa nyumba anayomiliki ilitokana na mchango wa bwana’ke (hakumtaja jina), mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ameibuka na kumkataa mwanaume huyo.Kwa mujibu wa Lulu, nyumba hiyo iliyopo Kimara jijini Dar ameijenga kwa kusaidiana na bwana’ke kwa mtindo wa pasu kwa pasu (kuchangia nusu kwa...
10 years ago
GPL
MAMA AMKATAA BWANA’KE LULU
10 years ago
Bongo Movies12 Feb
Mama Amkataa Bwana Wake Lulu
Kufuatia kauli yake ya hivi karibuni kuwa nyumba anayomiliki ilitokana na mchango wa bwana’ke (hakumtaja jina), mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ameibuka na kumkataa mwanaume huyo.
Kwa mujibu wa Lulu, nyumba hiyo iliyopo Kimara jijini Dar ameijenga kwa kusaidiana na bwana’ke kwa mtindo wa pasu kwa pasu (kuchangia nusu kwa nusu).Alisema kuwa anamshukuru Mungu kwani hadi hapo ilipofikia ikiwa inakaribia kumalizika ameijenga kwa nguvu zake na...
11 years ago
GPL
AUNTY LULU, BWANA’KE WAMWAGANA
11 years ago
GPL
LULU KATIKA SKENDO YA KUPORA BWANA WA MTU
10 years ago
GPL
AUNT LULU HOI KITANDANI