Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama Amkataa Bwana Wake Lulu

Kufuatia kauli yake ya hivi karibuni kuwa nyumba anayomiliki ilitokana na mchango wa bwana’ke (hakumtaja jina), mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ameibuka na kumkataa mwanaume huyo.

Kwa mujibu wa Lulu, nyumba hiyo iliyopo Kimara jijini Dar ameijenga kwa kusaidiana na bwana’ke kwa mtindo wa pasu kwa pasu (kuchangia nusu kwa nusu).Alisema kuwa anamshukuru Mungu kwani hadi hapo ilipofikia ikiwa inakaribia kumalizika ameijenga kwa nguvu zake na...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAMA AMKATAA BWANA’KE LULU

Mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila.
Stori: Imelda Mtema/AmaniKufuatia kauli yake ya hivi karibuni kuwa nyumba anayomiliki ilitokana na mchango wa bwana’ke (hakumtaja jina), mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ameibuka na kumkataa mwanaume huyo.Kwa mujibu wa Lulu, nyumba hiyo iliyopo Kimara jijini Dar ameijenga kwa kusaidiana na bwana’ke kwa mtindo wa pasu kwa pasu (kuchangia nusu kwa...

 

10 years ago

GPL

MAMA AMKATAA BWANA’KE LULU

Stori: Imelda Mtema/Amani
Kufuatia kauli yake ya hivi karibuni kuwa nyumba anayomiliki ilitokana na mchango wa bwana’ke (hakumtaja jina), mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ameibuka na kumkataa mwanaume huyo. Mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila. Kwa mujibu wa Lulu, nyumba hiyo iliyopo Kimara...

 

11 years ago

GPL

LULU: OLE WAKE MTU AMFUATE BWANA’NGU

Stori: Gladness Mallya YELEUUWI! Msanii asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amewatemea cheche wanaomnyemelea mpenzi wake aliyemtaja kwa jina moja la Amani, akiwataka waache mara moja kwani akiwagundua atawatembezea kichapo. Aunty Lulu. Akipiga stori na mwanahabari wetu, Aunty Lulu aliweka ‘pleini’ kuwa ameshatonywa baadhi ya majina ya wanawake japokuwa hana uhakika kama ni kweli...

 

9 years ago

Bongo Movies

Mobeto: Lulu Kanipora Bwana!

MAPENZI ya mjini utata mtupu! Ni kauli inayostahili kutumika baada ya mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Hassan Mobeto kumwaga chozi akidai kuporwa bwana’ke aliyekuwa akimpa jeuri mjini (jina tunalo) huku zigo la lawama likimwangukia staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’.

CHANZO KINASEMAJE?
Habari kutoka kwa chanzo makini zilieleza kwamba, kwa sasa kuna bifu jipya linalotokota mjini likihusisha sakata la Lulu kumpiku Mobeto kwa bwana’ke aliyekuwa akimgharamia kiasi cha kuwa...

 

11 years ago

GPL

AUNTY LULU, BWANA’KE WAMWAGANA

Na Gladness Mallya
LILE penzi la msanii wa filamu na mtangazaji, Lulu Mathias na mchezaji mpira wa zamani, Amani limesambaratika baada ya hivi karibuni mwanaume huyo kuondoka na kilicho chake huku akimwacha mwanadada huyo ndani ya nyumba peke yake. Msanii wa filamu za Kibongo Lulu Mathias. Chanzo chetu makini kilisema kuwa, tukio hilo lilitokea hivi karibuni huko Majohe walipokuwa wakiishi wawili hao ambapo mwanaume huyo...

 

11 years ago

GPL

ETI AUNT LULU ALIA KUKOSA BWANA!

Na Hamida Hassan MKALI wa sinema za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amefunguka kuwa anasikitika kukosa bwana aliyeahidiwa na marehemu Amina Ngaluma. Muigizaji wa sinema za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu ’. Akizungumza na paparazi wetu, Aunt Lulu alisema kabla marehemu Amina hajapatwa na mauti nchini Thailand, alimuahidi kumtafutia bwana nchini humo lakini mauti yalimkuta kabla hajamtimizia ahadi...

 

10 years ago

GPL

AUNT LULU APIGWA TENA NA BWANA’KE

Stori: Gladness Mallya
MWANADADA mwenye umbo tata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amedaiwa kubondwa tena na mpenzi wake aitwaye Amani, kisa kikitajwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Mwanadada mwenye umbo tata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’. Chanzo cha habari ambacho ni jirani na msanii huyo kimeeleza kuwa, Aunt Lulu alichezea kipigo hicho hivi karibuni akiwa nyumbani kwao Mbezi Salasala jijini Dar...

 

11 years ago

GPL

LULU KATIKA SKENDO YA KUPORA BWANA WA MTU

E LIZABETH Michael ‘Lulu’ anayetesa katika filamu za Kibongo, yupo kwenye bifu zito na mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2012, Husna Maulid ambaye anadai amempora bwana’ke. Staa Elizabeth Michael ‘Lulu’ katika pozi. Habari zinaeleza bifu lao limefikia hatua ya kuanikana waziwazi hadi kumwagiana matusi kwenye mitandao ya kijamii, hasa Instagram lakini huondoa majibizano yao machafu kila baada ya...

 

11 years ago

GPL

MAMA LULU, MAMA KANUMBA WAENDA KULA KIAPO

Stori: Mwandishi Wetu
ULE udugu wa ukubwani kati ya wazazi wa mastaa wa filamu Bongo, Lucresia Karugila ‘Mama Lulu’ na  Flora Mtegoa ‘Mama Kanumba’ umezidi kukua kufuatia kwenda Bukoba, Kagera kwa ajili ya kula kiapo cha kuimarisha undugu huo. Kutoka kushoto: Flora Mtegoa, Lulu na Lucresia Karugila katika pozi. Wazazi hao wawili walijikuta katika undugu kufuatia Elizabeth Michael...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani