Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AUNT LULU HOI KITANDANI

Na Hamida Hassan
Staa wa Filamu za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ yupo hoi kitandani baada ya kusumbuliwa na jino la juu ambalo anahofia kulitoa. Staa wa Filamu za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’. Akizungumza na Amani, Aunt Lulu alisema kuwa anajiona amekonda kwa maumivu ya jino tu na kutokana na vitisho anavyovipata kutoka kwa marafiki zake anaogopa kwenda kuling’oa. “Yaani...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BABA, MAMA DIAMOND HOI KITANDANI

Na Waandishi wetu/Risasi
HALI ni tete! Wazazi wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim na Abdul Juma wako hoi vitandani wakikabiliwa na maradhi mbalimbali, Risasi Jumamosi lina taarifa kamili. Mama wa mbongofleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim akiuguza ugonjwa, MAMA DIAMOND
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha uhakika, mama Diamond hajiwezi kwa mwezi mmoja sasa akisumbuliwa na...

 

9 years ago

Bongo Movies

Maneno Haya ya Lulu Kwenye Picha Hii ya Waacha Hoi Mashabiki Wake

Hapa na Pale: Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewacha watu hoi baada ya kubandika picha hiyo hapo chini ikimuonyesha yeye na baba yake mzazi ‘Mzee Michael’ na kumwagia sifa baba yake huku akiomba dua aje kuzaa mtoto atakaye fanana na baba yake (Mzee Michael) kitendo ambacho kila shabiki yake mtandaoni alikuwa na yake ya kusema.

LULU542

“Le Mbebe…! Le Super Handsome🙌🙌🙌🙌Le Twinnie💖💖💖
Mzaa Chema…Mzee Michael..!!!
Ewe Mtoto Wangu WA...

 

9 years ago

Global Publishers

Aunt Lulu, huko ni kujirahisi kulikopitiliza!

1LULU Mathias Semagongo ndilo jina lake halisi, lakini watu wa burudani wanamfahamu zaidi kama Aunt Lulu. Ni binti mmoja mdogo aliyezaliwa mwaka 1987.
Historia yake inaonesha ni binti aliyekuwa na kipaji, kwani katika umri mdogo, tayari alikuwa mtangazaji wa kipindi cha watoto kilichokuwa kikiendeshwa na redio ya kwanza binafsi nchini, Radio One, kilichoitwa Watoto Show.

Binafsi nilimfahamu kuanzia mwaka 2006, alipokuwa mmoja kati ya washiriki wa shindano lililosisimua enzi hizo, la kusaka...

 

10 years ago

Bongo Movies

Aunt Lulu Awashangaa Wanawake Wanaomkosoa

Mtangazaji na muigizaji wa filamu hapa Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu’ amewashangaa wanawake  wote  ambao  wamekuwa wakimtukana kila anapoweka picha zenye mikao ya kihasara kwenye mtandao ya kijamii na kusema endapo wataendelea atawachukulia mabwana zao.

Akizungumza na Tanuru la Filamu, Aunt Lulu alisema kwamba wanawake ndiyo wanaongoza kumtukana kila akiweka  picha za kuonyesha  jinsi  Mungu alivyolia kumuumba  na kumpa  mapaja yenye ushawishi  kwa kila anayeyaangalia awe wa kike ama...

 

10 years ago

GPL

AUNT LULU AKIRI MASTAA KUJIUZA MITANDAONI

Mwanadada mwenye umbo la utata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ MWANADADA mwenye umbo la utata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ ameibuka na kueleza kwamba mastaa wamegundua njia mpya ya kujiuza ambayo ni kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii. Akistorisha na gazeti hili, Aunt Lulu alisema mastaa wengi wa kike wanajiuza kwenye mitandao ambapo mapedeshee waliopo mikoa mbalimbali wakishaziona picha zao...

 

10 years ago

GPL

AUNT LULU APIGWA TENA NA BWANA’KE

Stori: Gladness Mallya
MWANADADA mwenye umbo tata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amedaiwa kubondwa tena na mpenzi wake aitwaye Amani, kisa kikitajwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Mwanadada mwenye umbo tata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’. Chanzo cha habari ambacho ni jirani na msanii huyo kimeeleza kuwa, Aunt Lulu alichezea kipigo hicho hivi karibuni akiwa nyumbani kwao Mbezi Salasala jijini Dar...

 

11 years ago

GPL

ETI AUNT LULU ALIA KUKOSA BWANA!

Na Hamida Hassan MKALI wa sinema za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amefunguka kuwa anasikitika kukosa bwana aliyeahidiwa na marehemu Amina Ngaluma. Muigizaji wa sinema za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu ’. Akizungumza na paparazi wetu, Aunt Lulu alisema kabla marehemu Amina hajapatwa na mauti nchini Thailand, alimuahidi kumtafutia bwana nchini humo lakini mauti yalimkuta kabla hajamtimizia ahadi...

 

10 years ago

GPL

ADAIWA KUBANJUKA NA AUNT, AJITOSA KWA LULU - 7

Marehemu Steven Kanumba, enzi za uhai wake. JUMAMOSI iliyopita tuliishia pale nguli wa sinema za Kibongo, hayati Steven Kanumba alipoanzisha uhusiano wa kimapenzi na mrembo aliyetwaa taji la Miss Kinondoni, Sylvia Shally.
SASA ENDELEA... Walipendana sana, kama ilivyokuwa kwa wapenzi wake waliotangulia, vyombo vya habari vilianza kuwafuatilia lakini wenyewe hawakujali. Walipendana sana. Kwa kipindi cha mwaka mmoja waliishi kama...

 

10 years ago

GPL

AUNT LULU AANZA MWAKA KWA KUPIMA ‘NGOMA’

Na Gladness Mallya
ZIKIWA zimepita siku chache tangu mwaka wa 2015 uanze, mwanadada mwenye umbo matata Bongo, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ amekiri kuuanza vizuri baada ya kupima ngoma.Akipiga  stori na gazeti hili, Anti Lulu alisema anafurahi kwa kuwa ameuanza mwaka vizuri baada ya kwenda kupima Ukimwi akiongozana na mama yake na kujikuta yupo salama. Mwanadada mwenye umbo matata Bongo, Lulu Semagongo ‘Anti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani