BABA, MAMA DIAMOND HOI KITANDANI
![](http://api.ning.com:80/files/skuCKHlxf8VDn1TrT1UN-1usrA*WakZpuAfPSld1LP3V3OlFvos9XjB21RuQmljsTB*SPAOr2bE-QlxTuLrutuuFvFdai9HQ/RisasiJmooo.jpg)
Na Waandishi wetu/Risasi HALI ni tete! Wazazi wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim na Abdul Juma wako hoi vitandani wakikabiliwa na maradhi mbalimbali, Risasi Jumamosi lina taarifa kamili. Mama wa mbongofleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim akiuguza ugonjwa, MAMA DIAMOND Kwa mujibu wa chanzo chetu cha uhakika, mama Diamond hajiwezi kwa mwezi mmoja sasa akisumbuliwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmFIhqID0FoxLxd*pHFiAlgqlsYRauOFDDFs-ZH-Fkt24SHqaRTnr8yNldhr*cEctXXMj*sTewEqUfyzwZQn6C1cbUQFjJZp/AuntLulu.jpg?width=650)
AUNT LULU HOI KITANDANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4Ejr0qlHpqLi-Q3AeRydkPLzLzeq-9MUPqRJS6KtfA3iDcXlVYg1rU6K6jFmkDNWCY33FUsazf3SET5N7Cl93B9CMWSIVwsO/wema.jpg)
MAPENZI: WEMA NA BABA, DIAMOND NA MAMA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jIhV2tSCZFUBYqpa*JOBR0zE-C7g-fAzMdyHetWbYVzSgiUZRomqU2nHqwruhZI5hKtKucQD3eZe5DKVIjjegKFHxUq2qmYR/ateseka.jpg)
ATESEKA KITANDANI MIAKA MITATU NI BAADA YA KUPEWA TAARIFA YA KIFO CHA BABA YAKE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/O0rRt4kCpsqAqvXw1ZfW4qL95YiBTBuT8Jr3NktsbnPRHRTDH1MbVfRSrw4qlFhir73ihBRMPaQ0dOKkd2koX0ETXB*NY-S-/wema.jpg?width=650)
WEMA AMREKODI DIAMOND KITANDANI
9 years ago
Mwananchi28 Dec
Mama alala kitandani miaka 15 bila msaada
5 years ago
Michuzi![](https://img.youtube.com/vi/DTOhAeXK9A8/default.jpg)
9 years ago
Bongo517 Aug
Utani Huu: Mpambe wa Ex wa Zari anataka DNA ya mtoto wa Diamond, anadai yeye ni baba, juzi alidai Ivan ndio baba!
10 years ago
Mtanzania02 Apr
Mtoto afariki kwa kuchomwa na petroli,mama hoi
Na Shomari Binda, Musoma
JESHI la polisi mkoani Mara, linamsaka Simion Otieno,baada ya kudaiwa kuchoma nyumba kwa kutumia mafuta yaa petroli na kusababisha kifo cha mtoto,Tatu Simion (1).
Tukio hilo lililotokea Machi 31, mwaka huu katika Kijiji cha Bwai,wilayani Butiama ambapo chanzo chake kinadaiwa ni wivu wa mapenzi kati ya Otieno na mama wa mtoto huyo, Kudra Janja ambaye ameunguzwa vibaya mwili mzima.
Janja amelazwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara, kwa matibabu zaidi.
Akizungumza na...