WEMA AMREKODI DIAMOND KITANDANI
![](http://api.ning.com:80/files/O0rRt4kCpsqAqvXw1ZfW4qL95YiBTBuT8Jr3NktsbnPRHRTDH1MbVfRSrw4qlFhir73ihBRMPaQ0dOKkd2koX0ETXB*NY-S-/wema.jpg?width=650)
Stori: Imelda Mtema SINI ya malovee inaendelea! Penzi lenye historia ya kushamiri, kumwagana na kurudiana limezidi kuchukua sura mpya, safari hii, Wema Sepetu ‘Madam’ amenaswa akimrekodi video ‘bebi’ wake Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Wema na Diamond. Sosi ya kuvuja kwa sini hiyo mpya ilitokea Ijumaa iliyopita ambapo bila hiyana, bibie Wema aliamua kuitupia video katika Mtandao wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL04 Mar
WEMA SEPETU AMREKODI 'BABY' WAKE AKIGONGA MENYU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BYFBgNpMDMTO32xs9FVCZaJEg6mhzgvTx6CH0-4dNGwm1QlaMzuHJlJp6eepikISdPjUnUIl8aW34efAFUDtNGTOhec7fAiO/rtyrtyrtyrtyrty.jpg)
WEMA LIVE KITANDANI NA BWANA WA LINAH
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/skuCKHlxf8VDn1TrT1UN-1usrA*WakZpuAfPSld1LP3V3OlFvos9XjB21RuQmljsTB*SPAOr2bE-QlxTuLrutuuFvFdai9HQ/RisasiJmooo.jpg)
BABA, MAMA DIAMOND HOI KITANDANI
10 years ago
Bongo Movies08 Feb
PICHA:Penzi la Wema Sepetu na Ommy Dimpoz lazidi kuchanua, Watupia picha wakiwa kitandani!!
Baada ya kuwa ni wazi sasa kuwa wawili hao wapo kwenye Le Project flani Amazing..sasa wameamua kutupia picha kwenye kurasa zao za mitandaoni wakiwa kitandani.
Alianza Ommy na badae akafuta Wema ambae aliweka picha hizo jana usiku na kuwatakia followers wake usiku mwema.
Penzi la watu hawa linaendelea kuzua mvutano mkali kati ya wale ambao wanaona sawa na wale ambao wanaona kama sio sawa, wanaosema sawa wanasema,baada ya watu kuachana kila mmoja ana haki ya kula maisha na anaempenda hivyo...
10 years ago
Bongo Movies14 Aug
"Kimenuka kwa Diamond" Mashabiki wa Wema wamtaka aache 'kumtumia' Wema kibiashara.
Kundi la watu wanaojiita mashabiki wa Wema Sepetu, limeanzisha kampeni kwenye mtandao mmoja wa maarufu wa kijamii kampeni iliyopewa jina la #BringBackOurWema likimshinikiza mpenzi wake Diamond Platnumz amrudishe kwenye maisha yake ya zamani na kukuza career yake ya filamu.
Mashabiki hao wanaamini kuwa Diamond anampoteza Wema na amekuwa akitumia umaarufu wake (Wema) kujidhatiti zaidi yeye huku Miss Tanzania huyo wa zamani akiendelea kudidimia.
Hivi ndivyo maelezo...
10 years ago
Bongo Movies21 Jun
Mzee Majuto Amuunga Mkono Wema Sepetu, Diamond Amtaka Wema Abadilike Kama Kweli Anautaka Ubunge
Mzee Majuto kwa mara ya kwanza ameamua kufunguka kumuunga mkono Wema Sepetu kwa nia yake ya kutaka kuwa mbunge.Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Mzee Majuto ameandika;
Nisingependa kuyaongea haya kwenye mfungu mtukufu ila kiundani ningependa kuonyesha umoja na kumuunga mkono wazo na lengo la Mwanangu kwa kuwa anaweza na amethubutu sasa isitokee wale wasiopenda maendeleo ya watu na taifa hili kuvuruga misingi na mipango madhubuti ya kuwapa nafasi vijana na hasa wanawake kushika hatamu na...
10 years ago
Vijimambo10 Jun
SUPER STAR DIAMOND AFUNGUKA LIVE: BORA NIFE KULIKO KUMRUDIA WEMA, WEMA NAYE AJIBU MASHAMBULIZI ILE MBAYA
![](http://api.ning.com/files/sT-mI3qB-hd0YVE-1L3jrO35VuXlfCHa8GPFsghter64FISojx1YI8f9jEWQzHOXg3KQF*1lvwUKrNWc8ymR7uFBTIA7tm3r/diamond211.jpg?width=650)
KIAPO! Kuonesha kwamba hana mpango wa kurudi nyuma, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ amefungukia msimamo wake juu ya mwandani wake wa zamani, Wema Sepetu ‘Madam’ kwa kusema kuwa kamwe hawezi kumrudia tena, Risasi Jumamosi lina mkanda kamili.
![](http://api.ning.com/files/sT-mI3qB-hd0YVE-1L3jrO35VuXlfCHa8GPFsghter64FISojx1YI8f9jEWQzHOXg3KQF*1lvwUKrNWc8ymR7uFBTIA7tm3r/diamond211.jpg?width=650)