WEMA LIVE KITANDANI NA BWANA WA LINAH
![](http://api.ning.com:80/files/BYFBgNpMDMTO32xs9FVCZaJEg6mhzgvTx6CH0-4dNGwm1QlaMzuHJlJp6eepikISdPjUnUIl8aW34efAFUDtNGTOhec7fAiO/rtyrtyrtyrtyrty.jpg)
Mwandishi Wetu Ubuyu! Staa wa Bongo Fleva almaarufu Ndege Mnana, Esterlina Sanga ‘Linah’, amedai kunasa ‘live’ tukio la mkali wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu akiwa kitandani na aliyewahi kuwa bwana’ke (Linah), Nangari Kombo ambaye alipata umaarufu mwaka 2010 alipoingia kwenye Uwanja wa Taifa, Dar na kumkumbatia Mchezaji wa Brazil, Ricardo Kaka kwenye mechi ya kirafiki kati ya timu hiyo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWEMA SEPETU ALIZUA JIPYA AKWAPUA BWANA WA LINAH SANGA.
Hii ndiyo picha iliyochafua hali ya hewa kati ya Wema na Linnah inasemekana ilipigwa kwenye sita kwa sita na huyo boyfriend wa Linnah. Jitiririshe hapa chini kusikia Linnah anaongea nini juu ya hii habari amabyo ndiyo joto la mjini bongo kwa sasa kunako mitandao ya kijamii.
![](http://2.bp.blogspot.com/-fy2GJIWrYPU/VXCmTaKMdTI/AAAAAAADp_g/dGHy_SE999c/s640/224492ba1def11e3bede22000aeb43a7_7.jpg)
Madam Wema Sepetu amkwapua bwana wa Linah Sanga akiongea kwa uchungu msanii huyo wa bongo fleva kwenye kipindi cha Ala za roho,Amedai penzi lake limekwenda na maji baada ya madam kufanya yake.Bwana huyo ndie alikua meneja...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/O0rRt4kCpsqAqvXw1ZfW4qL95YiBTBuT8Jr3NktsbnPRHRTDH1MbVfRSrw4qlFhir73ihBRMPaQ0dOKkd2koX0ETXB*NY-S-/wema.jpg?width=650)
WEMA AMREKODI DIAMOND KITANDANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JSct6ft9ycQSLVIJoQaQv47vBP-buNrHcutAhpf*s8FFHVzl5Drrbhe3YnUXEYhG6ggK03nlr*PEiH8VM77lMUMMGdVKNNf4/husna.jpg)
HUSNA MAULED LIVE KITANDANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p0ZiZvXgHQhgx4CGr8bWBgIyDoKiVxr7uwQbmPjceKuLhg3MZq70bxhinnhE9FsryEPH2GZc5PBxMSt0*XF10waAqvJR8lV8/Wema.jpg)
WEMA AMKEJELI LINAH!
10 years ago
Bongo Movies16 Jun
Linah Bado Ana Dukuduku na Wema
Siku chache baada kuenea kwa taarifa za kuporwa bwana na Wema Sepetu, staa wa Bongo Fleva Esterlinah Sanga ‘Linah’ amefunguka kuwa bado ana dukuduku kubwa moyoni ambalo anajipanga hivi karibuni kulianaika hadharani kwa njia ya tamko rasmi ambalo atalitoa kwa njia hiyo hiyo ya mtandao
Kwa mujibu wa linah ,amesema kuwa tamko hilokwa sehemu linahusiana na tuhuma za kulalamika kuibiwa bwana, kitu ambacho kinaendelea akiwa haoni sababu ya kuendelea kukaa kimya zaidi na kuumia roho.
Linah...
10 years ago
Bongo Movies12 Jun
Linah Azianika Hisia Zake kwa Wema
Msanii wa muziki Linah Sanga, ambaye anapambanishwa kwa sasa na staa wa filamu Wema Sepetu kutokana na kitendo cha mwigizaji huyo kuanzisha mahusiano na mwanaume aliyekuwa ni mpenzi wa Linah kipindi cha nyuma, ameamua kutoa ya moyoni.
Linah ameieleza eNewz kuwa, licha ya yote yaliyotokea kati yao, kwa upande wake anamchukulia Wema kama mtu mwingine wa kawaida, akieleza kuwa hana kinyongo naye, akieleza dhahiri kuwa anaelewa kuwa staa huyo ana madhaifu yake kama ilivyo kwa binadamu mwingine...