Linah Azianika Hisia Zake kwa Wema
Msanii wa muziki Linah Sanga, ambaye anapambanishwa kwa sasa na staa wa filamu Wema Sepetu kutokana na kitendo cha mwigizaji huyo kuanzisha mahusiano na mwanaume aliyekuwa ni mpenzi wa Linah kipindi cha nyuma, ameamua kutoa ya moyoni.
Linah ameieleza eNewz kuwa, licha ya yote yaliyotokea kati yao, kwa upande wake anamchukulia Wema kama mtu mwingine wa kawaida, akieleza kuwa hana kinyongo naye, akieleza dhahiri kuwa anaelewa kuwa staa huyo ana madhaifu yake kama ilivyo kwa binadamu mwingine...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboLINAH SANGA ATOA KALI.. ATOA MAKAVU LIVE, ASEMA WEZI WA MABWANA ZAKE WAJIPANGE NA KWA MNIGERIA WAKE...
LINAH SANGA ATOA KALI.. ATOA MAKAVU LIVE, ASEMA WEZI WA MABWANA ZAKE WAJIPANGE NA KWA MNIGERIA WAKE...Linah amesema anatarajia kumtangaza rasmimpenzi wake mpya ambaye amedai ni msaniimkubwa wa nchini Nigeria.LinahAkizungumza na kipindi cha Planet Bongo chaEast Africa Radio, Linah alisema anampendampenzi wake huyo mpya na kwamba siku ikifika,ataamua kumweka wazi ili mashabikiwamtambue.“Uhusiano wangu mpya ni wa msanii mkubwasana, yaani huyo nampenda na hii sio project iporeal, mtamuona tu...
10 years ago
BBCSwahili15 May
Andre Schurrle aeleza hisia zake
11 years ago
GPLACHA KUMUUMIZA MOYO WAKE, THAMINI HISIA ZAKE!-2
10 years ago
GPLWEMA AMKEJELI LINAH!
10 years ago
GPLWEMA LIVE KITANDANI NA BWANA WA LINAH
10 years ago
Bongo Movies16 Jun
Linah Bado Ana Dukuduku na Wema
Siku chache baada kuenea kwa taarifa za kuporwa bwana na Wema Sepetu, staa wa Bongo Fleva Esterlinah Sanga ‘Linah’ amefunguka kuwa bado ana dukuduku kubwa moyoni ambalo anajipanga hivi karibuni kulianaika hadharani kwa njia ya tamko rasmi ambalo atalitoa kwa njia hiyo hiyo ya mtandao
Kwa mujibu wa linah ,amesema kuwa tamko hilokwa sehemu linahusiana na tuhuma za kulalamika kuibiwa bwana, kitu ambacho kinaendelea akiwa haoni sababu ya kuendelea kukaa kimya zaidi na kuumia roho.
Linah...
10 years ago
VijimamboWEMA SEPETU ALIZUA JIPYA AKWAPUA BWANA WA LINAH SANGA.
Hii ndiyo picha iliyochafua hali ya hewa kati ya Wema na Linnah inasemekana ilipigwa kwenye sita kwa sita na huyo boyfriend wa Linnah. Jitiririshe hapa chini kusikia Linnah anaongea nini juu ya hii habari amabyo ndiyo joto la mjini bongo kwa sasa kunako mitandao ya kijamii.
Madam Wema Sepetu amkwapua bwana wa Linah Sanga akiongea kwa uchungu msanii huyo wa bongo fleva kwenye kipindi cha Ala za roho,Amedai penzi lake limekwenda na maji baada ya madam kufanya yake.Bwana huyo ndie alikua meneja...