Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Andre Schurrle aeleza hisia zake

Mchezaji wa zamani wa Chelsea Andre Schurrle amesema alipata mshangao kuona ujumbe wa maandishi kuwa medali inamsubiri yeye

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Juan Quadrado atua Chelsea, Fletcher wa Man U atimkia West Brom, Andre Schurrle ameuzwa Wolfsburg

imageimageChelsea wamemsajili winga Juan Cuadrado kutoka Fiorentina, katika biashara kubwa zaidi iliyofanyika siku ya mwisho ya usajili wa dirisha dogo.

Jose Mourinho alikuwa akidai kwamba hawangesajili mchezaji yeyote wakati huu, lakini wametoa pauni milioni 23.3 kumnasa mchezaji huyo, na kufanya jumla ya fedha zilizotumiwa na klabu za ligi kuu kwenye usajili huu kufikia pauni milioni 130.

Matumizi hayo ni sawa na ya kipindi kama hiki msimu uliopita, lakini ni madogo zaidi ya Januari 2011 yaliyokuwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Linah Azianika Hisia Zake kwa Wema

Msanii wa muziki Linah Sanga, ambaye anapambanishwa kwa sasa na staa wa filamu Wema Sepetu kutokana na kitendo cha mwigizaji huyo kuanzisha mahusiano na mwanaume aliyekuwa ni mpenzi wa Linah kipindi cha nyuma, ameamua kutoa ya moyoni.

Linah ameieleza eNewz kuwa, licha ya yote yaliyotokea kati yao, kwa upande wake anamchukulia Wema kama mtu mwingine wa kawaida, akieleza kuwa hana kinyongo naye, akieleza dhahiri kuwa anaelewa kuwa staa huyo ana madhaifu yake kama ilivyo kwa binadamu mwingine...

 

11 years ago

GPL

ACHA KUMUUMIZA MOYO WAKE, THAMINI HISIA ZAKE!-2

KARIBU kwenye All About Love, bila shaka kuna vitu vipya vingi unavyovuna katika ukurasa huu. Kama ni mara ya kwanza kusoma hapa, tabasamu maana umeingia kwenye ulimwengu wa elimu kubwa ya uhusiano na mapenzi. Unaweza kunisoma pia kwenye Let’s Talk About Love kwenye gazeti la Ijumaa, Elimu ya Mapenzi katika gazeti la Championi Jumamosi na Love & Life ndani ya gazeti la Uwazi kila Jumanne. Ungana nami uzidi kukuza ufahamu...

 

10 years ago

Mtanzania

Honeymoon aeleza siri ya tuzo zake za ZIFF

Muongozaji bora wa filamu, HoneymoonJULIET MORI NA LETICIA BWIRE (TUDARCO)

MSHINDI wa tuzo mbili za kimataifa za filamu alizozipata katika Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), Honeymoon Mohammed, amesema filamu bora inatokana na uandishi wa muswada (script), mandhari nzuri pamoja na uwezo wa msanii husika.

Tuzo hizo alizopata kutokana na filamu yake ya ‘Daddy’s Wedding’ ni filamu yenye picha bora na mwongozaji bora wa filamu.

Akizungumza katika mkutano ulioandaliwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) jana,...

 

10 years ago

GPL

DAVIDO AELEZA ANAVYOCHANGANYA NYIMBO ZAKE AKIWA NJE

Mwanamuziki nyota wa Nigeria, Davido. MWANAMUZIKI nyota wa Nigeria, Davido, amesema ukosefu wa mafuta nchini humo uliotokea miezi ya Mei na Juni mwaka huu  ambao ulisababisha matatizo makubwa, ulimfanya alazimike kuahirisha kutoa albamu yake mpya hivi karibuni. Akizungumza na televisheni ya Notjustok, Davido alisema pia kwamba huwa anachanganya lugha za nyimbo zake akiwa nje ya Nigeria, hususan Marekani, ambako hutegemea...

 

9 years ago

GPL

PAM D AELEZA NYIMBO ZAKE MBILI ZILIVYOBADILISHA MAISHA YAKE

Mtangazaji wa Global TV Online na muimbaji Pamela Daffa 'Pam D'. Pamela Daffa 'Pam D' akiwa katika mapozi tofauti. MTANGAZAJI na muimbaji Pamela Daffa aka Pam D amesema nyimbo zake mbili zimempa…

 

9 years ago

Bongo5

Diamond aeleza kwanini ‘alidedicate’ tuzo zake za Afrimma kwa Tiffah

Diamond amesema alikuwa na ndoto siku moja akipata tuzo ya mafanikio ya kazi zake aielekeze kwa mtoto wake, Latiffah. Muimbaji huyo aliyeshinda tuzo tatu za Afrimma Jumapili hii ameiambia ya XXL ya Clouds FM kuwa amefanya hivyo kwa sababu mafanikio yake yanachangiwa na mtoto wake huyo. “Unajua ilikuwa ni moja ya ndoto zangu, kwamba hiyo […]

 

10 years ago

Bongo5

Barnaba aeleza kwanini hutumia muda mfupi kuandika nyimbo zake

Barnaba amesema kuandika nyimbo zake kwa muda mfupi tu ni kipaji alichopewa na Mungu. Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa humchukua dakika 30 tu kuandika nyimbo zake au za wasanii wengine. “Unajua nyimbo zangu huwa naandika kwa kutumia dakika chache sana kama wimbo wangu huu mpya niliandika kwa kutumia dakika 30 lakini zingine zote huwa ni […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani