Juan Quadrado atua Chelsea, Fletcher wa Man U atimkia West Brom, Andre Schurrle ameuzwa Wolfsburg
Chelsea wamemsajili winga Juan Cuadrado kutoka Fiorentina, katika biashara kubwa zaidi iliyofanyika siku ya mwisho ya usajili wa dirisha dogo.
Jose Mourinho alikuwa akidai kwamba hawangesajili mchezaji yeyote wakati huu, lakini wametoa pauni milioni 23.3 kumnasa mchezaji huyo, na kufanya jumla ya fedha zilizotumiwa na klabu za ligi kuu kwenye usajili huu kufikia pauni milioni 130.
Matumizi hayo ni sawa na ya kipindi kama hiki msimu uliopita, lakini ni madogo zaidi ya Januari 2011 yaliyokuwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili23 Aug
West Brom 2-3 Chelsea 72''
10 years ago
BBCSwahili19 May
West Brom waifunga Chelsea 3-0
11 years ago
BBCSwahili12 Feb
Chelsea yatoka sare ya 1-1 na West Brom
10 years ago
BBCSwahili20 Jan
De Gea, Reid, Schurrle,Fletcher wawindwa
10 years ago
BBCSwahili20 Oct
West Brom na Man U kibaruani leo
10 years ago
StarTV21 Oct
Man Utd yaambulia sare ya 2-2 na West Brom.
Ligi kuu ya England imeendelea jana usiku ambapo Manchester United ilijikuta ikibanwa mbavu na kushindwa kufurukuta ugenini kwa Westbromwich Albion na kutoka sare ya mabao 2-2 licha kwamba ilitawala mchezo huo.
Mchezo huo wa pekee kwa ratiba ya ligi hiyo ulishuhudiwa Man United ikishindwa kupata walau ushindi wake wa kwanza nje ya uwanja wake wa nyumbani tangu timu hiyo iwe chini ya kocha Louis Van Gaal.
Ni bao la Daley Blind katika dakika za mwisho za mchezo ambalo limeiokoa Manchester...
10 years ago
BBCSwahili15 May
Andre Schurrle aeleza hisia zake
10 years ago
TheCitizen23 Mar
City ease past 10-man West Brom, Arsenal and Spurs win
10 years ago
BBCSwahili29 Jan
Chelsea kumuuza mchezaji Schurrle