Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


De Gea, Reid, Schurrle,Fletcher wawindwa

Kuna mvutano miongoni mwa Vilabu mbalimbali kuwawania Wachezaji Nyota

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Juan Quadrado atua Chelsea, Fletcher wa Man U atimkia West Brom, Andre Schurrle ameuzwa Wolfsburg

imageimageChelsea wamemsajili winga Juan Cuadrado kutoka Fiorentina, katika biashara kubwa zaidi iliyofanyika siku ya mwisho ya usajili wa dirisha dogo.

Jose Mourinho alikuwa akidai kwamba hawangesajili mchezaji yeyote wakati huu, lakini wametoa pauni milioni 23.3 kumnasa mchezaji huyo, na kufanya jumla ya fedha zilizotumiwa na klabu za ligi kuu kwenye usajili huu kufikia pauni milioni 130.

Matumizi hayo ni sawa na ya kipindi kama hiki msimu uliopita, lakini ni madogo zaidi ya Januari 2011 yaliyokuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wabunge wawindwa

HOFU ya siasa za kuchafuana kuelekea katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani imeanza kushika kasi miongoni mwa wabunge ambao tayari wameanza kuanikwa picha zao kwenye mitandao ya kijamii wakiwa faragha....

 

5 years ago

Mirror Online

Coronavirus: Susanna Reid explains son is suffering from symptoms as she opens up about self-isolation

Coronavirus: Susanna Reid explains son is suffering from symptoms as she opens up about self-isolation  Mirror OnlineSusanna Reid leaves GMB in chaos as she pulls out of ITV show to ‘self-isolate’  ExpressUK health expert apologises for saying that Ireland has no health service  JOE.ieCoronavirus: Piers Morgan mocks Susanna Reid for pulling sickie to avoid working with him  Mirror OnlineLorraine Kelly worried about parents amid coronavirus pandemic  Daily MailView Full coverage on Google...

 

11 years ago

TheCitizen

Neuer and Schurrle vital for Germany

Pride and relief were etched on to the faces of two of Germany’s match-winners at the Estadio Beira-Rio on Monday evening in the wake of their dramatic Round of 16 triumph over a strong Algeria side.

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea kumuuza mchezaji Schurrle

Chelsea imekubali kumuuza mshambuliaji wake Andre Schurrle ili kupata ufadhili wa kumsajili Juan Cuadrado.

 

10 years ago

BBCSwahili

Andre Schurrle aeleza hisia zake

Mchezaji wa zamani wa Chelsea Andre Schurrle amesema alipata mshangao kuona ujumbe wa maandishi kuwa medali inamsubiri yeye

 

9 years ago

BBC

Man held over Yvonne Fletcher shooting

A Libyan man is arrested on suspicion of conspiracy to murder PC Yvonne Fletcher outside the Libyan Embassy in London in 1984.

 

10 years ago

BBCSwahili

Steven Fletcher atoa mwiko wa Hat trick

Mchezaji Steven Fletcher ameifungia timu yake ya taifa ya Scotland hat-trick ya kwanza baada ya miaka 46.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uhamisho wa De Gea wakwama

Uhamisho wa Golikipa David De Gea kutoka Manchester United kwenda Real Madrid ya Hispania umekwama

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani