Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEMA SEPETU ALIZUA JIPYA AKWAPUA BWANA WA LINAH SANGA.


Hii ndiyo picha iliyochafua hali ya hewa kati ya Wema na Linnah inasemekana ilipigwa kwenye sita kwa sita na huyo boyfriend wa Linnah. Jitiririshe hapa chini kusikia Linnah anaongea nini juu ya hii habari amabyo ndiyo joto la mjini bongo kwa sasa kunako mitandao ya kijamii.

Madam Wema Sepetu amkwapua bwana wa Linah Sanga akiongea kwa uchungu msanii huyo wa bongo fleva kwenye kipindi cha Ala za roho,Amedai penzi lake limekwenda na maji baada ya madam kufanya yake.Bwana huyo ndie alikua meneja...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WEMA LIVE KITANDANI NA BWANA WA LINAH

Mwandishi Wetu
Ubuyu! Staa wa Bongo Fleva almaarufu Ndege Mnana, Esterlina Sanga ‘Linah’, amedai kunasa ‘live’ tukio la mkali wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu akiwa kitandani na aliyewahi kuwa bwana’ke (Linah), Nangari Kombo ambaye alipata umaarufu mwaka 2010 alipoingia kwenye Uwanja wa Taifa, Dar na kumkumbatia Mchezaji wa Brazil, Ricardo Kaka kwenye mechi ya kirafiki kati ya timu hiyo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu kathibitisha anagombea Ubunge !! kayazungumza hapa na ya boyfriend wa Linah.

Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, Wema Abraham Sepetu leo June 16 kupitia kipindi cha Ala za Roho ya Clouds FM amefunguka kuhusiana na kuchukua fomu ya ubunge wa viti maalumu mkoani Singida pamoja na ishu ya kutoka na boyfriend wa msanii Linah.

Akizungumza na Diva Loveness wa Ala za Roho alisema..”Sasa hivi niko singida kwenye maandalizi ya kuchukua fomu kwasababu nagombea ubunge wa viti maalumu mkoa wa singida, kwa hiyo nimekuja huku kuja katika kuamasisha vijana wajitokeze...

 

11 years ago

GPL

LINAH SANGA: NACHIZIKA NA UPAJA WANGU

Stori:  Erick Evarist AISEEE! Ndege mnana kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Esterlina Sanga ‘Linah’ amefunguka kuwa katika mwili wake hakuna kitu anachokipenda kama miguu yake hususan katika sehemu ya upaja. Akizungumza na Global TV Online , Linah alisema kwa kuwa anapenda sehemu hiyo katika mwili wake, ndiyo maana mara nyingi hupendelea kuvaa nguo zinazoonyesha vizuri miguu yake na jinsi ilivyo mizuri....

 

11 years ago

GPL

JACQUELINE WOLPER, DULLY SYKES, LINAH SANGA, SHETA NA GELLY WA RHYMES WAIFAGILIA SKYLIGHT BAND NI IJUMAA HII TENA‏

Rapa Joniko Flower akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku wenzake wakisebeneka ndani ya kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita pamoja na Ijumaa zingine za kila wiki. Mdau wakijiachia na mrembo wa kizungu...Chezea Skylight Band wewe....ni Balaaa!…

 

10 years ago

Vijimambo

LINAH SANGA ATOA KALI.. ATOA MAKAVU LIVE, ASEMA WEZI WA MABWANA ZAKE WAJIPANGE NA KWA MNIGERIA WAKE...


LINAH SANGA ATOA KALI.. ATOA MAKAVU LIVE, ASEMA WEZI WA MABWANA ZAKE WAJIPANGE NA KWA MNIGERIA WAKE...Linah amesema anatarajia kumtangaza rasmimpenzi wake mpya ambaye amedai ni msaniimkubwa wa nchini Nigeria.LinahAkizungumza na kipindi cha Planet Bongo chaEast Africa Radio, Linah alisema anampendampenzi wake huyo mpya na kwamba siku ikifika,ataamua kumweka wazi ili mashabikiwamtambue.“Uhusiano wangu mpya ni wa msanii mkubwasana, yaani huyo nampenda na hii sio project iporeal, mtamuona tu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani