Maneno Haya ya Lulu Kwenye Picha Hii ya Waacha Hoi Mashabiki Wake
Hapa na Pale: Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewacha watu hoi baada ya kubandika picha hiyo hapo chini ikimuonyesha yeye na baba yake mzazi ‘Mzee Michael’ na kumwagia sifa baba yake huku akiomba dua aje kuzaa mtoto atakaye fanana na baba yake (Mzee Michael) kitendo ambacho kila shabiki yake mtandaoni alikuwa na yake ya kusema.
“Le Mbebe…! Le Super HandsomeLe Twinnie
Mzaa Chema…Mzee Michael..!!!
Ewe Mtoto Wangu WA...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies11 Mar
Maneno Haya ya Lulu ,Yachukulie Kama Changamoto
Mrembo na staa wa Bongo Movie, Elizabeth Michael ‘Lulu’ leo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram ameandika ujumbe mzuri ambao kiukweli unaweza kukupa nguvu zaidi kufikia malengo yako kama mtu unaejitambua.
“The more they try to slow you down on the road of purpose, the faster you have to go..!
You only meet opposition when you're going the right way”
Kwa tafsiri isiyo rasmi anasema “kwa jinsi wanavyozidi kujaribu kukurudisha nyuma katika njia ya mafanikio ndio inakubidi...
9 years ago
Bongo Movies25 Aug
Baada ya Baadhi ya Mashabiki Kumshambulia kwa Maneno, JB Asema Haya
Kufuatia kitendo baadhi ya mashabiki kumshabulia kwa maneno makali staa wa Bongo Movies, JB kwa kuonyesha mapenzi yake kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi wa mwaka huu, JB amefunguka haya kwenye ukurasa wake mtandaoni kuwataka wabadilike kimtazamo.
Hakuna kitu muhimu kwenye maisha kama furaha....lakini furaha ina ambatana na kufanya mambo ambayo moyo wako unapenda bila kuvunja sheria.
Kuishi maisha ya kuogopa kitu unachopenda kwa sababu ya watu ni kuinyima furaha roho...
10 years ago
Bongo524 Jun
Alikiba azunguka kwenye daladala Dar kukutana na mashabiki wake (Picha)
9 years ago
Bongo Movies09 Sep
Haya Ndiyo Maneno Aliyoandika JB Juu Ya Picha Hizi Akiwa na Shamsa na Aunt
Kufuatia tofauti za kimitazamo ya kisiasa baina ya mastaa hawa, ambapo JB akiwa upande wa CCM wakati Shamsa na Aunt Ezekiel wakiwa UKAWA, JB kiutani kupitia ururasa wake mtandaoni ameibuka na hii kuonyesha kuwa siasa sio vita.
Imenibidi nifute picha hizi (hapo juu)...watu wamepaniki sana...Jamani siasa sio vita nilikuwa nawatania na wao wakacheka na wakati naandika wapo...mashabiki... Daah .. Daah...Jamani Bungeni wanataniana vyama tofauti na sisi pia...Tunashirikiana....Mashabiki...
10 years ago
Bongo Movies22 Mar
Kwa Maneno Haya, Wolper Anajivunia Mpenzi Wake Aliempa ‘Ndinga’ Hili
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Jacqueline Wolper ametupia picha hizi kwenye ukurasa wake mtandaoni na kuziandikia maneno kwa lugha ya “Malkia” ..
“Being with someone who won't give up on you”. Akaandika tena “Be with someone who is proud to have you. Thug life mentality”.
Kauli hizi zinaonyesha mrembo huyu kwasasa yupo kwenye mahusiano na mtu ambaye anampenda na anaonyesha kumajali sana mrembo huyu na pengine kwa swaga za mitandaoni , naungana na wengi waliompongeza kwa kupewa ndinga...
9 years ago
MillardAyo26 Dec
Edward Lowassa kaweka hizi picha 3 akichunga Ngo’mbe alafu akaandika haya maneno 46
Edward Lowassa ambaye alikua mgombea urais kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015 kupitia tikect ya CHADEMA, ameziweka hizi picha zake tatu akichunga Ng’ombe kisha akaandika haya maneno hapa chini. >> ‘Ndugu zangu,naendelea kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Nikiwa shambani kwangu Mzeri, Handeni nikichunga mifugo yangu naona miujiza ya Mungu ikitendeka. Mazingira ya asili ni zawadi […]
The post Edward Lowassa kaweka hizi picha 3 akichunga Ngo’mbe alafu akaandika haya maneno 46 appeared...
9 years ago
Bongo502 Oct
Picha: Mashabiki wamshambulia Nonini baada ya kupost picha ya ‘tbt’ akiwa kwenye pozi za kimahaba na Wahu
10 years ago
Bongo Movies02 May
Riyama Ana Haya Kuhusu Picha Hii
“Duniani wawili wawili ndugu yetu hatupo nawe ila kuna wakaka umefanana nao Dah kazi ya Mungu haina makosa wakati kati Marehemu kanumba wa kushoto na kulia ni wakaka waliofanana na Marehemu kanumba
Mungu akurahamu akusamehe dhambi zako akuweke panapo stahili kwa bahati nzuri hawa nao ni wasanii wazuri tu mimi nawaombea muje kua kama Marehemu katika Kila kile alicho kua nacho na kuwa kioo chetu Ishallah ili muwe faraja kwetu sisi wasanii wenzake pia kwa wapenzi wa kazi zake tulimpenda ila...