ADAIWA KUBANJUKA NA AUNT, AJITOSA KWA LULU - 7
Marehemu Steven Kanumba, enzi za uhai wake. JUMAMOSI iliyopita tuliishia pale nguli wa sinema za Kibongo, hayati Steven Kanumba alipoanzisha uhusiano wa kimapenzi na mrembo aliyetwaa taji la Miss Kinondoni, Sylvia Shally. SASA ENDELEA... Walipendana sana, kama ilivyokuwa kwa wapenzi wake waliotangulia, vyombo vya habari vilianza kuwafuatilia lakini wenyewe hawakujali. Walipendana sana. Kwa kipindi cha mwaka mmoja waliishi kama...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jbaar29oQX7NRVZY3VyH6MuvzeFzBmHY7e0W0KueFE0gl*5d8cjAOAa3E4u-MBqlQ4k-YnmLsZeoBncFhqu473geqITybAxY/Lulu.jpg)
AUNT LULU AANZA MWAKA KWA KUPIMA ‘NGOMA’
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/aunty33.jpg)
AUNT ADAIWA KUHONGWA GARI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmFIhqID0FoxLxd*pHFiAlgqlsYRauOFDDFs-ZH-Fkt24SHqaRTnr8yNldhr*cEctXXMj*sTewEqUfyzwZQn6C1cbUQFjJZp/AuntLulu.jpg?width=650)
AUNT LULU HOI KITANDANI
10 years ago
Bongo Movies07 Jul
Aunt Lulu Awashangaa Wanawake Wanaomkosoa
Mtangazaji na muigizaji wa filamu hapa Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu’ amewashangaa wanawake wote ambao wamekuwa wakimtukana kila anapoweka picha zenye mikao ya kihasara kwenye mtandao ya kijamii na kusema endapo wataendelea atawachukulia mabwana zao.
Akizungumza na Tanuru la Filamu, Aunt Lulu alisema kwamba wanawake ndiyo wanaongoza kumtukana kila akiweka picha za kuonyesha jinsi Mungu alivyolia kumuumba na kumpa mapaja yenye ushawishi kwa kila anayeyaangalia awe wa kike ama...
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Aunt Lulu, huko ni kujirahisi kulikopitiliza!
LULU Mathias Semagongo ndilo jina lake halisi, lakini watu wa burudani wanamfahamu zaidi kama Aunt Lulu. Ni binti mmoja mdogo aliyezaliwa mwaka 1987.
Historia yake inaonesha ni binti aliyekuwa na kipaji, kwani katika umri mdogo, tayari alikuwa mtangazaji wa kipindi cha watoto kilichokuwa kikiendeshwa na redio ya kwanza binafsi nchini, Radio One, kilichoitwa Watoto Show.
Binafsi nilimfahamu kuanzia mwaka 2006, alipokuwa mmoja kati ya washiriki wa shindano lililosisimua enzi hizo, la kusaka...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VMB94olbxS10WkojDYoi5JaJ3h87HlVjJrAkwGVRxCsHEYcZaWE7LWLDGPOxU50P3TZybEYiK2KjVUsxPNtZJGNMnMF-aAnM/LULU.jpg?width=650)
LULU ADAIWA KUKUWADIWA NA STEVE NYERERE!
10 years ago
GPLAUNT LULU AKIRI MASTAA KUJIUZA MITANDAONI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UxG8FbEp4za7-rcy2WqNQL3NtuCreaencEjsJDnYwEwKpG1Td2zQx4W4WqK-88Dej8FiVhRJP05iYhyNVUy1lpwhFHM9DpQ4/auntlulu.gif)
AUNT LULU APIGWA TENA NA BWANA’KE
11 years ago
GPLETI AUNT LULU ALIA KUKOSA BWANA!