Aunt Lulu Awashangaa Wanawake Wanaomkosoa
Mtangazaji na muigizaji wa filamu hapa Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu’ amewashangaa wanawake wote ambao wamekuwa wakimtukana kila anapoweka picha zenye mikao ya kihasara kwenye mtandao ya kijamii na kusema endapo wataendelea atawachukulia mabwana zao.
Akizungumza na Tanuru la Filamu, Aunt Lulu alisema kwamba wanawake ndiyo wanaongoza kumtukana kila akiweka picha za kuonyesha jinsi Mungu alivyolia kumuumba na kumpa mapaja yenye ushawishi kwa kila anayeyaangalia awe wa kike ama...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLAUNT LULU HOI KITANDANI
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Aunt Lulu, huko ni kujirahisi kulikopitiliza!
LULU Mathias Semagongo ndilo jina lake halisi, lakini watu wa burudani wanamfahamu zaidi kama Aunt Lulu. Ni binti mmoja mdogo aliyezaliwa mwaka 1987.
Historia yake inaonesha ni binti aliyekuwa na kipaji, kwani katika umri mdogo, tayari alikuwa mtangazaji wa kipindi cha watoto kilichokuwa kikiendeshwa na redio ya kwanza binafsi nchini, Radio One, kilichoitwa Watoto Show.
Binafsi nilimfahamu kuanzia mwaka 2006, alipokuwa mmoja kati ya washiriki wa shindano lililosisimua enzi hizo, la kusaka...
10 years ago
GPLAUNT LULU APIGWA TENA NA BWANA’KE
10 years ago
GPLAUNT LULU AKIRI MASTAA KUJIUZA MITANDAONI
10 years ago
GPLADAIWA KUBANJUKA NA AUNT, AJITOSA KWA LULU - 7
11 years ago
GPLETI AUNT LULU ALIA KUKOSA BWANA!
10 years ago
GPLAUNT LULU AANZA MWAKA KWA KUPIMA ‘NGOMA’
10 years ago
Bongo511 Oct
Nora: Wema, Lulu, Wolper wanaweza, Batulli, Aunt Ezekiel, Chuchu Hans hamna kitu!
11 years ago
Mwananchi16 Jul
Ikulu: Wanaomkosoa JK hawako sahihi