Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ikulu: Wanaomkosoa JK hawako sahihi

Ofisi ya Rais imesema kuwa wanaomkosoa Rais Jakaya Kikwete kuhusu msimamo wake katika mchakato wa Katiba Mpya hawako sahihi kwa kuwa ni mlezi na ana haki ya kutoa maoni yake kama mkuu wa nchi na kama mwanasiasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Aunt Lulu Awashangaa Wanawake Wanaomkosoa

Mtangazaji na muigizaji wa filamu hapa Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu’ amewashangaa wanawake  wote  ambao  wamekuwa wakimtukana kila anapoweka picha zenye mikao ya kihasara kwenye mtandao ya kijamii na kusema endapo wataendelea atawachukulia mabwana zao.

Akizungumza na Tanuru la Filamu, Aunt Lulu alisema kwamba wanawake ndiyo wanaongoza kumtukana kila akiweka  picha za kuonyesha  jinsi  Mungu alivyolia kumuumba  na kumpa  mapaja yenye ushawishi  kwa kila anayeyaangalia awe wa kike ama...

 

10 years ago

Habarileo

Watoto milioni 2 hawako shule

ZAIDI ya watoto milioni 1.7 wenye rika lengwa waliopaswa kuwepo shule, hawapo kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za kutoandikishwa, kuacha na kutoroka.

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha Floyd: Wamarekani weusi wasema 'hawako salama'

Kifo cha Floyd: Wamarekani weusi wasema wanahofu kuhusu usalama wao

 

10 years ago

Bongo5

Matonya na Tunda Man hawako sawa licha ya kudaiwa kumaliza tofauti zao

Matonya amesema hajawahi kuonana na hana shida ya kumtafuta rafiki wake wa zamani, Tunda Man. Matonya na Tunda Man waliingia kwenye mgogoro baada ya Tunda kudai alikuwa anamwandikia nyimbo Matonya katika kipindi cha nyuma hali iliyoleta tofauti baina yao mpaka sasa. Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio Jumatatu hii, Matonya alisema hajawahi […]

 

10 years ago

Vijimambo

Kauli ya LOWASSA Yaleta Gumzo 'Maskini Akienda IKULU Ataiba si Ndio? Tajiri Akienda Ikulu Atawapa watu Mbinu za Utajiri'


Kweli au si kweli? Maskini akienda IKULU ataiba si ndio? Tajiri akienda Ikulu atawapa watu mbinu za utajiri....ama, maskini akienda ataongoza kwa kuelewa matatizo ya wananchi wake na kuwapa kipaumbele...na tajiri yeye hatajali kundi la maskini wanahitaji nini maana hajui umaskini unafananaje?? Vyovyote vile!! Bado tunasikiliza na kupima sera za wagombea wote...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani