Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matonya na Tunda Man hawako sawa licha ya kudaiwa kumaliza tofauti zao

Matonya amesema hajawahi kuonana na hana shida ya kumtafuta rafiki wake wa zamani, Tunda Man. Matonya na Tunda Man waliingia kwenye mgogoro baada ya Tunda kudai alikuwa anamwandikia nyimbo Matonya katika kipindi cha nyuma hali iliyoleta tofauti baina yao mpaka sasa. Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio Jumatatu hii, Matonya alisema hajawahi […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Tunda Man aulilia msamaha wa Matonya

Matonya na Tunda Man

Tunda Man amedai yupo tayari kumpigia magoti Matonya ili wamalize tofauti zao zilizodumu kwa kipindi kirefu.

Matonya na Tunda Man

Muimbaji huyo ambaye ameachia wimbo mpya, Mama Kijacho hivi karibuni, amekiambia kipindi cha Friday Night Live cha EATV kuwa ameshachoshwa na kusikia kuhusu masuala ya kutoelewana.

“Nilimpigia simu akanitukana matusi mengi sana mpaka leo sipati jibu kwanini,” alisema. “Nilimpigia simu ili nijue tunafanyaje kuhusu video ya wimbo tuliofanya pamoja kwa sababu kuna sehemu nilipita...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Tunda Man & Matonya – Ugomvi

Huu ni wimbo mpya unaitwa “Ugomvi” wasanii Tunda Man na Matonyo. Studio Chaiderz Records Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yataka kampuni ya madini ya Shanta na wanakijiji cha Ikungi kumaliza tofauti zao waendelee na kazi za uchimbaji

IMG_1927

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk.Medard Kalemani (mwenye koti kulia) akibadilishana mawazo na aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Manyoni magharibi na mchimbaji madini ya Gypsum kijijini Itigi, Ismael Ivata (kushoto).Viongozi hao walikuwa kwenye shimo linalochimbwa gypsum.

IMG_1904

Afisa Mwanadamizi wa kampuni ya uchimbaji madini ya Shanta kijiji cha Sambaru wilaya ya Ikungi, Octavian Ndazi, akitoa taarifa yake kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk.Medard Kalemani (hayupo kwenye picha). Hata...

 

9 years ago

Bongo Movies

Licha ya Kudaiwa Kuokoka… Mainda Bado Ateswa na Hili

RUTH Suka ‘Mainda’ aliye msanii wa filamu Bongo ambaye kwa sasa amejikita katika kumtumikia Mungu, amesema mtihani mkubwa ambao bado unampa wakati mgumu katika maisha ya ulokole ni uvaaji wa nguo fupi!

‘Akibadilishana sentensi’ na Amani, Mainda alisema amejitahidi kuruka na kuvuka viunzi vingi tangu kuokoka kwake, lakini ameshindwa kukabiliana na mtihani wa kuachana na uvaaji wa nguo fupi, jambo ambalo anapigana nalo kwa nguvu zote.

“Maisha ya wokovu ni mtihani mno, hakuna ulokole...

 

9 years ago

GPL

LICHA YA KUDAIWA KUOKOKA, MAINDA BADO ATESWA NA NGUO FUPI

Msanii wa filamu Bongo Ruth Suka ‘Mainda’. BRIGHTON MASALU RUTH Suka ‘Mainda’ aliye msanii wa filamu Bongo ambaye kwa sasa amejikita katika kumtumikia Mungu, amesema mtihani mkubwa ambao bado unampa wakati mgumu katika maisha ya ulokole ni uvaaji wa nguo fupi! ‘Akibadilishana sentensi’ na Amani, Mainda alisema amejitahidi kuruka na kuvuka viunzi vingi tangu kuokoka kwake, lakini ameshindwa kukabiliana na mtihani wa...

 

11 years ago

Habarileo

RC ataka madiwani wa Bukoba kumaliza tofauti

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Fabian Massawe amewashauri madiwani wa Manispaa ya Bukoba kuondoa tofauti zao na kukaa pamoja kutengeneza mipango ya maendeleo ya wananchi wao.

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd: Maandamano yafanyika miji tofauti Marekani licha tahadhari ya kutotoka nje kutangazwa.

Amri ya kutotoka nje imetangazwa katika miji kadhaa nchi Marekani, kukabiliana na ghasia zilizosababishwa na kilo cha mtu mweusi aliyekamatwa na polisi.

 

10 years ago

GPL

VIBAKA WAMLIZA TUNDA MAN

Issa Mnally
VIBAKA ambao hawakufahamika mara moja mwishoni mwa wiki iliyopita, walivunja kioo kidogo cha gari la nyota wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ na kumkomba vitu mbalimbali vikiwemo power window, kompyuta mpakato na fedha katika tukio lililotokea Kigamboni, jijini Dar es Salaam. Nyota wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’. Katika usiku ambao msanii huyo ilikuwa apande na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani