LICHA YA KUDAIWA KUOKOKA, MAINDA BADO ATESWA NA NGUO FUPI
Msanii wa filamu Bongo Ruth Suka ‘Mainda’. BRIGHTON MASALU RUTH Suka ‘Mainda’ aliye msanii wa filamu Bongo ambaye kwa sasa amejikita katika kumtumikia Mungu, amesema mtihani mkubwa ambao bado unampa wakati mgumu katika maisha ya ulokole ni uvaaji wa nguo fupi! ‘Akibadilishana sentensi’ na Amani, Mainda alisema amejitahidi kuruka na kuvuka viunzi vingi tangu kuokoka kwake, lakini ameshindwa kukabiliana na mtihani wa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies26 Sep
Licha ya Kudaiwa Kuokoka… Mainda Bado Ateswa na Hili
RUTH Suka ‘Mainda’ aliye msanii wa filamu Bongo ambaye kwa sasa amejikita katika kumtumikia Mungu, amesema mtihani mkubwa ambao bado unampa wakati mgumu katika maisha ya ulokole ni uvaaji wa nguo fupi!
‘Akibadilishana sentensi’ na Amani, Mainda alisema amejitahidi kuruka na kuvuka viunzi vingi tangu kuokoka kwake, lakini ameshindwa kukabiliana na mtihani wa kuachana na uvaaji wa nguo fupi, jambo ambalo anapigana nalo kwa nguvu zote.
“Maisha ya wokovu ni mtihani mno, hakuna ulokole...
9 years ago
Bongo519 Oct
Matonya na Tunda Man hawako sawa licha ya kudaiwa kumaliza tofauti zao
11 years ago
BBCSwahili14 Feb
Washambuliwa kwa kuvaa nguo fupi Kenya
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
Mwigizaji azabwa kofi kwa kuvalia nguo fupi
10 years ago
Bongo Movies22 Dec
Wolper: Sikuwahi Kuvaa Nguo Fupi...Lakini Leo Beach..!!!!
Mrembo na mwigizaji wa kike wa filamu hapa nchini, Jackline Masawe “Wolper” amekuwa akisifiwa kwa kuvaa nguo za heshima ukilinganisha na mavazi wanayovaa baadhi ya mastaa wengine hapa Bongo wakiwa mitaani au kwenye burudani.Sasa jana mrembo huyu akatupia picha hizi akiwa beach amevalia ka-pensi keupe huku juu amavalia brauzi nyeusi na kofia nyeupe kichwanina huku akicheza na ka-"DOG" ..Kisha akawaandikia hivi mashabiki wake;
"Sikuwahi kuvaa nguo fupi wakati naenda kanisani au sokoni nawakati...
10 years ago
Bongo Movies07 Feb
Amanda Awashukia Wanao Mponda Kuvaa Nguo Fupi, Asema Atakama Anuza Si Yake!!!
Mwigizaji wa filamu, Amamnda Poshi awatolea uvivu wanaomponda kwa kuvaa nguo fupi huko Instagram,nahaya ndio maneno yake;
“Instagrameee naipenda sanaaa..naipenda na watu wake nawapenda sanaaa coz ni sehem unayopangiwa uishi vipi,uvae vipi ,ulale wapi,uwe na bwana wa aina gani na ukikaa vibaya utapangiwa mpk chakula cha kutia tumboni tena kwa pesa yako...naomba ieleweke kila mtu anauhuru wake...kwangu me msinipangie mavazi wala jinsi ya kuishi,nikivaa nguo fupi ni me,niwe na miguu...
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Wanaovaa nguo fupi na za kubana kukamatwa? Hii ndio kauli ya Waziri Nape Nnauye…(+Audio)
Baada ya taarifa kusambaa kuwa Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Nape Nnauye ameatangaza kukamatwa kwa watu wanaovaa nguo fupi na zile za kubana mwili wakamatwe, sasa haya ndio maelezo kamili unapaswa kuyafahamu. Bonyeza Play hapa chini Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ […]
The post Wanaovaa nguo fupi na za kubana kukamatwa? Hii ndio kauli ya Waziri Nape Nnauye…(+Audio) appeared first on...
9 years ago
Bongo527 Oct
Christina Milian adai bado wanapendana na Lil Wayne licha ya kuachana
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
Nguo za ndani za mitumba bado Uganda