Wolper: Sikuwahi Kuvaa Nguo Fupi...Lakini Leo Beach..!!!!
Mrembo na mwigizaji wa kike wa filamu hapa nchini, Jackline Masawe “Wolper” amekuwa akisifiwa kwa kuvaa nguo za heshima ukilinganisha na mavazi wanayovaa baadhi ya mastaa wengine hapa Bongo wakiwa mitaani au kwenye burudani.Sasa jana mrembo huyu akatupia picha hizi akiwa beach amevalia ka-pensi keupe huku juu amavalia brauzi nyeusi na kofia nyeupe kichwanina huku akicheza na ka-"DOG" ..Kisha akawaandikia hivi mashabiki wake;
"Sikuwahi kuvaa nguo fupi wakati naenda kanisani au sokoni nawakati...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili14 Feb
Washambuliwa kwa kuvaa nguo fupi Kenya
10 years ago
Bongo Movies07 Feb
Amanda Awashukia Wanao Mponda Kuvaa Nguo Fupi, Asema Atakama Anuza Si Yake!!!
Mwigizaji wa filamu, Amamnda Poshi awatolea uvivu wanaomponda kwa kuvaa nguo fupi huko Instagram,nahaya ndio maneno yake;
“Instagrameee naipenda sanaaa..naipenda na watu wake nawapenda sanaaa coz ni sehem unayopangiwa uishi vipi,uvae vipi ,ulale wapi,uwe na bwana wa aina gani na ukikaa vibaya utapangiwa mpk chakula cha kutia tumboni tena kwa pesa yako...naomba ieleweke kila mtu anauhuru wake...kwangu me msinipangie mavazi wala jinsi ya kuishi,nikivaa nguo fupi ni me,niwe na miguu...
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
Mwigizaji azabwa kofi kwa kuvalia nguo fupi
9 years ago
GPLLICHA YA KUDAIWA KUOKOKA, MAINDA BADO ATESWA NA NGUO FUPI
10 years ago
Bongo527 Jun
Najuta kuvaa nguo iliyoonesha makalio yangu — Faiza
10 years ago
Bongo Movies27 Jun
Faiza: Najuta Kuvaa Nguo Iliyoonesha Makalio Yangu
Nguo aliyoivaa usiku wa June 13 kwenye tuzo za muziki za Kilimanjaro kwa nia ya kutoka kitofauti, imegeuka kuwa zimwi linalomtesa kiasi cha kumfanya apokonywe mtoto wake kwa amri ya mahakama na mzazi mwenzake, mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu. Faiza Ally anajuta!
“Siwezi kurudia kosa, nitakuwa makini zaidi katika mavazi yangu,” Faiza aliliambia gazeti la Mwananchi ambalo alienda kwenye ofisi zake kuelezea anavyojutia uamuzi huo uliomgharimu.
“Wasanii wengi ni...
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Wanaovaa nguo fupi na za kubana kukamatwa? Hii ndio kauli ya Waziri Nape Nnauye…(+Audio)
Baada ya taarifa kusambaa kuwa Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Nape Nnauye ameatangaza kukamatwa kwa watu wanaovaa nguo fupi na zile za kubana mwili wakamatwe, sasa haya ndio maelezo kamili unapaswa kuyafahamu. Bonyeza Play hapa chini Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ […]
The post Wanaovaa nguo fupi na za kubana kukamatwa? Hii ndio kauli ya Waziri Nape Nnauye…(+Audio) appeared first on...
11 years ago
CloudsFM04 Jun
WEMA,AUNTY NA SHILOLE WALIPULIWA BUNGENI KUWA NI VINARA WA KUVAA NGUO ZISIZO ZA MAADILI
Ukiukwaji wa maadili ni sehemu ya kilio cha jamii ya watanzania na tayari kilio hicho kimeifikia serikali ambayo imechukua hatua za awali ya kuwaonya watu wanaofanya tabia hizo.Naibu Waziri wa habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Juma Nkamia ameeleza hatua ambazo wizara hiyo imechukua katika kukomesha ukiukwaji wa maadili unaofanywa hasa katika kumbi za starehe.
Akijibu swali lililoulizwa na mbunge Catherine Magige, Nkamia amesema kuwa serikali imefanya vikao na wamiliki wa kumbi za starehe,...
10 years ago
Bongo Movies16 Aug
Hichi ndicho alichokisema Irene Uwoya kuhusu yeye kuvaa nguo ya ndani ama kufuli.
Mrembo na staa wa filamu nchini Irene Uwoya amesema kuwa hakuna vazi asilolipenda kulivaa kama chupi a.k.a kufuli. Irene amesema hayo alipokuwa akizungumza na magazine maarufu ya burudani ya VIBE.
Alipoulizwa na mwandishi wa jarida hilo kuwa ni nguo gani ni vigumu kuikuta kwenye kabati lake, “Chupi – sipendi kabisa hilo vazi” Alisema Irene uwoya. Hatari sana hii.