Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Washambuliwa kwa kuvaa nguo fupi Kenya

Kikundi cha wasichana kilinusurika kuvuliwa nguo na wachuuzi mjini Kapsabet Magharibi mwa Kenya kwa kuvaa nguo zisizo za heshima.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Wolper: Sikuwahi Kuvaa Nguo Fupi...Lakini Leo Beach..!!!!

Mrembo na mwigizaji wa kike wa filamu hapa nchini, Jackline Masawe “Wolper” amekuwa akisifiwa kwa kuvaa nguo za heshima ukilinganisha na mavazi wanayovaa baadhi ya mastaa wengine hapa Bongo wakiwa mitaani au kwenye burudani.Sasa jana mrembo huyu akatupia picha hizi akiwa beach amevalia ka-pensi keupe huku juu amavalia brauzi nyeusi na kofia nyeupe kichwanina huku akicheza na ka-"DOG" ..Kisha akawaandikia hivi mashabiki wake;

"Sikuwahi kuvaa nguo fupi wakati naenda kanisani au sokoni nawakati...

 

10 years ago

Bongo Movies

Amanda Awashukia Wanao Mponda Kuvaa Nguo Fupi, Asema Atakama Anuza Si Yake!!!

Mwigizaji wa filamu, Amamnda Poshi awatolea uvivu wanaomponda kwa kuvaa nguo fupi huko Instagram,nahaya ndio maneno yake;

“Instagrameee naipenda sanaaa..naipenda na watu wake nawapenda sanaaa coz ni sehem unayopangiwa uishi vipi,uvae vipi ,ulale wapi,uwe na bwana wa aina gani na ukikaa vibaya utapangiwa mpk chakula cha kutia tumboni tena kwa pesa yako...naomba ieleweke kila mtu anauhuru wake...kwangu me msinipangie mavazi wala jinsi ya kuishi,nikivaa nguo fupi ni me,niwe na miguu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwigizaji azabwa kofi kwa kuvalia nguo fupi

Mwigizaji maarufu wa Bollywood ambaye pia ni mwanamitindo, Gauhar Khan, alizabwa kofi wakati wa shughuli ya kurekodi makala ya kipindi kuhusu maisha yake.

 

10 years ago

CloudsFM

Mashabiki wamemjia juu Aunty Ezekiel,kisa pombe, kuvaa nguo za kubana ambazo hazistahili kwa mjamzito.

Mashabiki wamemjua juu staa wa filamu za Kibongo,Aunty Ezekiel baada ya kupost picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa ameshika chupa ya pombe na kuvaa nguo ambazo hazistahili kuvaa mama mjamzito. godfreymtenga Ila uangalie mavazi wakati wa ujauzito.hiyo kaptula hapana vaa vigauni

stakishobo19 Aunt my kama hako ni kabia achana nacho bwana usitusumbulie kababy ketu jamani vumilia kwanza

kiria_lazaro Umshka pombe, inamadhara kwa mtto in u fucking stomach


mariousmiley Anti naona unatumia...

 

10 years ago

GPL

LICHA YA KUDAIWA KUOKOKA, MAINDA BADO ATESWA NA NGUO FUPI

Msanii wa filamu Bongo Ruth Suka ‘Mainda’. BRIGHTON MASALU RUTH Suka ‘Mainda’ aliye msanii wa filamu Bongo ambaye kwa sasa amejikita katika kumtumikia Mungu, amesema mtihani mkubwa ambao bado unampa wakati mgumu katika maisha ya ulokole ni uvaaji wa nguo fupi! ‘Akibadilishana sentensi’ na Amani, Mainda alisema amejitahidi kuruka na kuvuka viunzi vingi tangu kuokoka kwake, lakini ameshindwa kukabiliana na mtihani wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Faiza: Najuta Kuvaa Nguo Iliyoonesha Makalio Yangu

Nguo aliyoivaa usiku wa June 13 kwenye tuzo za muziki za Kilimanjaro kwa nia ya kutoka kitofauti, imegeuka kuwa zimwi linalomtesa kiasi cha kumfanya apokonywe mtoto wake kwa amri ya mahakama na mzazi mwenzake, mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu. Faiza Ally anajuta!

“Siwezi kurudia kosa, nitakuwa makini zaidi katika mavazi yangu,” Faiza aliliambia gazeti la Mwananchi ambalo alienda kwenye ofisi zake kuelezea anavyojutia uamuzi huo uliomgharimu.

“Wasanii wengi ni...

 

10 years ago

Bongo5

Najuta kuvaa nguo iliyoonesha makalio yangu — Faiza

Nguo aliyoivaa usiku wa June 13 kwenye tuzo za muziki za Kilimanjaro kwa nia ya kutoka kitofauti, imegeuka kuwa zimwi linalomtesa kiasi cha kumfanya apokonywe mtoto wake kwa amri ya mahakama na mzazi mwenzake, mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu. Faiza Ally anajuta! “Siwezi kurudia kosa, nitakuwa makini zaidi katika mavazi yangu,” […]

 

9 years ago

MillardAyo

Wanaovaa nguo fupi na za kubana kukamatwa? Hii ndio kauli ya Waziri Nape Nnauye…(+Audio)

Baada ya taarifa kusambaa kuwa Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Nape Nnauye ameatangaza kukamatwa kwa watu wanaovaa nguo fupi na zile za kubana mwili wakamatwe, sasa haya ndio maelezo kamili unapaswa kuyafahamu. Bonyeza Play hapa chini Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ […]

The post Wanaovaa nguo fupi na za kubana kukamatwa? Hii ndio kauli ya Waziri Nape Nnauye…(+Audio) appeared first on...

 

11 years ago

CloudsFM

WEMA,AUNTY NA SHILOLE WALIPULIWA BUNGENI KUWA NI VINARA WA KUVAA NGUO ZISIZO ZA MAADILI

Ukiukwaji wa maadili ni sehemu ya kilio cha jamii ya watanzania na tayari kilio hicho kimeifikia serikali ambayo imechukua hatua za awali ya kuwaonya watu wanaofanya tabia hizo.Naibu Waziri wa habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Juma Nkamia ameeleza hatua ambazo wizara hiyo imechukua katika kukomesha ukiukwaji wa maadili unaofanywa hasa katika kumbi za starehe.Akijibu swali lililoulizwa na mbunge Catherine Magige, Nkamia amesema kuwa serikali imefanya vikao na wamiliki wa kumbi za starehe,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani