Christina Milian adai bado wanapendana na Lil Wayne licha ya kuachana
Christina Milian amedai kuwa pamoja na kuachana na Lil Wayne bado ni marafiki na wanapendana. Akiongea na HuffPost Live Jumatatu hii, Milian alisema kuwa wote ni watu wazima na waligundua kuwa sio vizuri kulazimisha uhusiano huo. “What’s fantastic about everything is we’re adults and we understand maybe it’s not the right time for us,” alisema. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo514 Nov
Christina Milian aeleza sababu ya kuachana na Lil Wayne
![christina-milian-focus-movie-premiere-in-los-angeles_1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/christina-milian-focus-movie-premiere-in-los-angeles_1-300x194.jpg)
Hatimaye Christina Milian ameeleza sababu iliyopelekea kuachana na Lil Wayne baada ya kudumu kwa zaidi ya mwaka mzima.
Milian ametumia reality show yake kueleza chanzo hicho na inaonekana Weezy hakuwa mwaminifu. Milian anadai kuwa alifanya uchunguzi wake na kubaini kuwa mwanamke mmoja stripper alipiga picha kutoka kwenye nyumba ya Weezy.
Hakueleza kwa kina nini kingine alichogundua kati ya wawili hao.
“Sijawahi kumpenda mtu mwingine jinsi nilivyompenda Wayne, sio hata mume wangu wa zamani,”...
10 years ago
BBCSwahili10 May
Christina Milian na Lil Wayne,kunani?
9 years ago
Bongo501 Dec
Video: Christina Milian Feat. Lil Wayne – Do It
![wyne2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/wyne2-300x194.jpg)
Baada ya mapenzi yao kuwa yameisha lakini Christina Milian na Lil Wayne bado wana connection nzuri sana kibiashara na kimuziki.Wameachia video mpya ya wimbo wa “Do It” unaopatika kwenye EP yake 4U, Christina Milian.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo518 Sep
Music: Christina Milian Feat. Lil Wayne — Do It
10 years ago
Bongo524 Nov
New Music: Lil Wayne f/ Christina Milian — Start a Fire
11 years ago
Bongo519 Jul
Lil Wayne na Christina Milian wadaiwa kuwa wapenzi!!
10 years ago
Mtanzania27 Mar
Lil Wayne amtangaza Christina Milian kuwa mpenzi wake mpya
BADI MCHOMOLO NA MTANDAO
BOSI wa kundi la Young Money, Lil Wayne, amemuweka wazi mpenzi wake mpya, Christina Milian, ambaye ni mmoja wa wanachama wa kundi hilo analoliongoza.
Baada ya kuweka wazi habari hiyo, Wayne kupitia mtandao wa Twitter, aliandika, “Samahani kwa kusubiri muda mrefu kujua nini kinaendelea, kwa sasa hakuna tena maswali nikiwa na Christina, huyu ni mpenzi wangu.”
Wayne ni baba wa watoto watano, na sasa yeye, mpenzi wake huyo na mtoto wake wa kwanza, Regina aliyezaa na mama...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3oumJFYFk4rSks7*vCBJlIWAlneRKS2JmXx3F-wiMgVNnPp0L6uYqeuoQlRboaXxrMsWH-tuwdUu4sxwWDIIGfuWKoBO8TxQ/christinamilianperforminglilwayne2014amasshowssneakpeekrealityshow.jpg?width=650)
PENZI LA LIL WAYNE, CHRISTINA LAVUNJIKA NUSU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SSGieiaE-NNyIEVjfca1er9PhyyMjKFipwfqrPRc-em3Gk7qPpjVqYk38xvCSRofXpvNPQ25ncgc52HSn845GzwZzD4gFRhV/mimi.jpg?width=650)
PENZI LA CHRISTINA MILLIAN, LIL WAYNE LAKOLEA