Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Music: Lil Wayne f/ Christina Milian — Start a Fire

Baada ya kuutumbuiza wimbo huu live kwenye tuzo za AMAs, Lil Wayne ameachia single mpya ‘Start a Fire’ aliyomshirikisha msanii wa YMCMB, Christina Milian. Ngoma hii itapatikana kwenye toleo la kwanza la album ya Tha Carter V itakayotoka, December 9.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Music: Christina Milian Feat. Lil Wayne — Do It

Baada ya kuvunjika kwa uhusiano wao hivi karibuni Christina Milian na Lil Wayne wameachia wimbo mpya unaitwa “Do It” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

BBCSwahili

Christina Milian na Lil Wayne,kunani?

Mwanamuziki wa mtindo wa RnB Christina Milan amethibitisha uvumi wa siku nyingi kwamba ana uhusiano na msanii wa muziki wa Rap LilWayne

 

9 years ago

Bongo5

Video: Christina Milian Feat. Lil Wayne – Do It

wyne2

Baada ya mapenzi yao kuwa yameisha lakini Christina Milian na Lil Wayne bado wana connection nzuri sana kibiashara na kimuziki.Wameachia video mpya ya wimbo wa “Do It” unaopatika kwenye EP yake 4U, Christina Milian.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Christina Milian aeleza sababu ya kuachana na Lil Wayne

christina-milian-focus-movie-premiere-in-los-angeles_1

Hatimaye Christina Milian ameeleza sababu iliyopelekea kuachana na Lil Wayne baada ya kudumu kwa zaidi ya mwaka mzima.

christina-milian-focus-movie-premiere-in-los-angeles_1

Milian ametumia reality show yake kueleza chanzo hicho na inaonekana Weezy hakuwa mwaminifu. Milian anadai kuwa alifanya uchunguzi wake na kubaini kuwa mwanamke mmoja stripper alipiga picha kutoka kwenye nyumba ya Weezy.

Hakueleza kwa kina nini kingine alichogundua kati ya wawili hao.

“Sijawahi kumpenda mtu mwingine jinsi nilivyompenda Wayne, sio hata mume wangu wa zamani,”...

 

11 years ago

Bongo5

Lil Wayne na Christina Milian wadaiwa kuwa wapenzi!!

Lil Wayne ana watoto wanne ambao kila mmoja ana mama yake na sasa huenda akaongeza orodha ya ‘mababy mama’ iwapo uhusiano wake na Christian Milian ukiwa kweli. Mwezi mmoja baada ya kuachana na mpenzi wake Jas Prince, Christina Milian anadaiwa kuanzisha uhusiano na bosi wake wa Young Money Lil Wayne. Wawili hao walipigwa picha wakitembea […]

 

10 years ago

Mtanzania

Lil Wayne amtangaza Christina Milian kuwa mpenzi wake mpya

lil-wayne na mpenzi wake christina-milianBADI MCHOMOLO NA MTANDAO
BOSI wa kundi la Young Money, Lil Wayne, amemuweka wazi mpenzi wake mpya, Christina Milian, ambaye ni mmoja wa wanachama wa kundi hilo analoliongoza.
Baada ya kuweka wazi habari hiyo, Wayne kupitia mtandao wa Twitter, aliandika, “Samahani kwa kusubiri muda mrefu kujua nini kinaendelea, kwa sasa hakuna tena maswali nikiwa na Christina, huyu ni mpenzi wangu.”
Wayne ni baba wa watoto watano, na sasa yeye, mpenzi wake huyo na mtoto wake wa kwanza, Regina aliyezaa na mama...

 

9 years ago

Bongo5

Christina Milian adai bado wanapendana na Lil Wayne licha ya kuachana

Christina Milian amedai kuwa pamoja na kuachana na Lil Wayne bado ni marafiki na wanapendana. Akiongea na HuffPost Live Jumatatu hii, Milian alisema kuwa wote ni watu wazima na waligundua kuwa sio vizuri kulazimisha uhusiano huo. “What’s fantastic about everything is we’re adults and we understand maybe it’s not the right time for us,” alisema. […]

 

9 years ago

Mtanzania

Christina: Ninawasiliana na Lil Wayne japo tumeachana

Lil Wayne and Christina Milian take romantic stroll on the streets of Philadelphia, PA.NEW YORK, MAREKANI

ALIYEKUWA mpenzi wa msanii wa hip hop nchini Marekani, Lil Wayne, Christina Milian, amesema bado ana mawasiliano mazuri na mpenzi wake wa zamani. Wawili hao walikuwa na uhusiano tangu mwaka jana, lakini Agosti waliachana. “

Mimi na Lil Wayne bado tunawasiliana lakini hatuna uhusiano wa kimapenzi tena kama ilivyo miezi michache iliyopita, kwa sasa tumekuwa na urafiki mkubwa na watu wanadhani kama tuna uhusiano mpya,” alisema Christina. Wawili hao wanatarajia kufanya video...

 

9 years ago

GPL

PENZI LA LIL WAYNE, CHRISTINA LAVUNJIKA NUSU

Rapa Lil Wayne akiwa na aliyekuwa mpenzi wake Christina Milian. New York, Marekani SIKU chache baada ya kutangaza kuvunja uhusiano wa kimapenzi uliodumu kwa mwaka mmoja, imebainika kuwa rapa Lil Wayne na Christina Milian hawajatengana katika masuala ya kikazi. Taarifa kutoka kwa watu wa karibu wa wasanii hao, zimeeleza kuwa uhusiano huo ulivunjika wiki iliyopita lakini bado Christina ataendelea kuwa memba wa lebo ya… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani