Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Christina Milian Feat. Lil Wayne – Do It

wyne2

Baada ya mapenzi yao kuwa yameisha lakini Christina Milian na Lil Wayne bado wana connection nzuri sana kibiashara na kimuziki.Wameachia video mpya ya wimbo wa “Do It” unaopatika kwenye EP yake 4U, Christina Milian.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Music: Christina Milian Feat. Lil Wayne — Do It

Baada ya kuvunjika kwa uhusiano wao hivi karibuni Christina Milian na Lil Wayne wameachia wimbo mpya unaitwa “Do It” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

BBCSwahili

Christina Milian na Lil Wayne,kunani?

Mwanamuziki wa mtindo wa RnB Christina Milan amethibitisha uvumi wa siku nyingi kwamba ana uhusiano na msanii wa muziki wa Rap LilWayne

 

11 years ago

Bongo5

Lil Wayne na Christina Milian wadaiwa kuwa wapenzi!!

Lil Wayne ana watoto wanne ambao kila mmoja ana mama yake na sasa huenda akaongeza orodha ya ‘mababy mama’ iwapo uhusiano wake na Christian Milian ukiwa kweli. Mwezi mmoja baada ya kuachana na mpenzi wake Jas Prince, Christina Milian anadaiwa kuanzisha uhusiano na bosi wake wa Young Money Lil Wayne. Wawili hao walipigwa picha wakitembea […]

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Lil Wayne f/ Christina Milian — Start a Fire

Baada ya kuutumbuiza wimbo huu live kwenye tuzo za AMAs, Lil Wayne ameachia single mpya ‘Start a Fire’ aliyomshirikisha msanii wa YMCMB, Christina Milian. Ngoma hii itapatikana kwenye toleo la kwanza la album ya Tha Carter V itakayotoka, December 9.

 

9 years ago

Bongo5

Christina Milian aeleza sababu ya kuachana na Lil Wayne

christina-milian-focus-movie-premiere-in-los-angeles_1

Hatimaye Christina Milian ameeleza sababu iliyopelekea kuachana na Lil Wayne baada ya kudumu kwa zaidi ya mwaka mzima.

christina-milian-focus-movie-premiere-in-los-angeles_1

Milian ametumia reality show yake kueleza chanzo hicho na inaonekana Weezy hakuwa mwaminifu. Milian anadai kuwa alifanya uchunguzi wake na kubaini kuwa mwanamke mmoja stripper alipiga picha kutoka kwenye nyumba ya Weezy.

Hakueleza kwa kina nini kingine alichogundua kati ya wawili hao.

“Sijawahi kumpenda mtu mwingine jinsi nilivyompenda Wayne, sio hata mume wangu wa zamani,”...

 

10 years ago

Mtanzania

Lil Wayne amtangaza Christina Milian kuwa mpenzi wake mpya

lil-wayne na mpenzi wake christina-milianBADI MCHOMOLO NA MTANDAO
BOSI wa kundi la Young Money, Lil Wayne, amemuweka wazi mpenzi wake mpya, Christina Milian, ambaye ni mmoja wa wanachama wa kundi hilo analoliongoza.
Baada ya kuweka wazi habari hiyo, Wayne kupitia mtandao wa Twitter, aliandika, “Samahani kwa kusubiri muda mrefu kujua nini kinaendelea, kwa sasa hakuna tena maswali nikiwa na Christina, huyu ni mpenzi wangu.”
Wayne ni baba wa watoto watano, na sasa yeye, mpenzi wake huyo na mtoto wake wa kwanza, Regina aliyezaa na mama...

 

9 years ago

Bongo5

Christina Milian adai bado wanapendana na Lil Wayne licha ya kuachana

Christina Milian amedai kuwa pamoja na kuachana na Lil Wayne bado ni marafiki na wanapendana. Akiongea na HuffPost Live Jumatatu hii, Milian alisema kuwa wote ni watu wazima na waligundua kuwa sio vizuri kulazimisha uhusiano huo. “What’s fantastic about everything is we’re adults and we understand maybe it’s not the right time for us,” alisema. […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Monica Feat. Lil Wayne — Just Right for Me

monica-wayne

Msanii wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Monica Brown baada ya kuwa kimya kidogo amechia video mpya ya wimbo wake unaitwa “Just Right for Me” amemshirikisha Lil Wayne. Wimbo huu upo kwenye Album yake mpya iliyopewa jina Code Red tarehe 18 December 2015 itakuwa sokoni.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: Christina Milian Feat. Snoop Dogg – Like Me

milian-like-me

Staa wa muziki wa R&B Marekani, Christina Milian kwa sasa ameachia single yake mpya kutoka kwenye EP yake, wimbo unaitwa “Like Me” amemshirikisha (Uncle) Snoop Dogg.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani