PENZI LA CHRISTINA MILLIAN, LIL WAYNE LAKOLEA
![](http://api.ning.com:80/files/SSGieiaE-NNyIEVjfca1er9PhyyMjKFipwfqrPRc-em3Gk7qPpjVqYk38xvCSRofXpvNPQ25ncgc52HSn845GzwZzD4gFRhV/mimi.jpg?width=650)
Mwigizaji na Mwanamuziki Christina Millian akiwa na mpenzi wake Lil Wayne. Los Angeles, Marekani Mwigizaji na Mwanamuziki Christina Millian na Lil Wayne wameanzisha mtindo wa kumwagiana sifa kila siku kupitia mtandao, hali inayoelezwa ni kukolea kwa penzi kati yao. Akizungumza na tovuti ya Perezhilton, Millian alimmwagia sifa mpenzi wake Wayne kwa kusema kuwa ndiye anayemtia moyo katika utendaji wake wa kazi na kumfanya...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3oumJFYFk4rSks7*vCBJlIWAlneRKS2JmXx3F-wiMgVNnPp0L6uYqeuoQlRboaXxrMsWH-tuwdUu4sxwWDIIGfuWKoBO8TxQ/christinamilianperforminglilwayne2014amasshowssneakpeekrealityshow.jpg?width=650)
PENZI LA LIL WAYNE, CHRISTINA LAVUNJIKA NUSU
10 years ago
BBCSwahili10 May
Christina Milian na Lil Wayne,kunani?
9 years ago
Mtanzania29 Sep
Christina: Ninawasiliana na Lil Wayne japo tumeachana
NEW YORK, MAREKANI
ALIYEKUWA mpenzi wa msanii wa hip hop nchini Marekani, Lil Wayne, Christina Milian, amesema bado ana mawasiliano mazuri na mpenzi wake wa zamani. Wawili hao walikuwa na uhusiano tangu mwaka jana, lakini Agosti waliachana. “
Mimi na Lil Wayne bado tunawasiliana lakini hatuna uhusiano wa kimapenzi tena kama ilivyo miezi michache iliyopita, kwa sasa tumekuwa na urafiki mkubwa na watu wanadhani kama tuna uhusiano mpya,” alisema Christina. Wawili hao wanatarajia kufanya video...
9 years ago
Bongo501 Dec
Video: Christina Milian Feat. Lil Wayne – Do It
![wyne2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/wyne2-300x194.jpg)
Baada ya mapenzi yao kuwa yameisha lakini Christina Milian na Lil Wayne bado wana connection nzuri sana kibiashara na kimuziki.Wameachia video mpya ya wimbo wa “Do It” unaopatika kwenye EP yake 4U, Christina Milian.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo518 Sep
Music: Christina Milian Feat. Lil Wayne — Do It
11 years ago
Bongo519 Jul
Lil Wayne na Christina Milian wadaiwa kuwa wapenzi!!
10 years ago
Bongo524 Nov
New Music: Lil Wayne f/ Christina Milian — Start a Fire
9 years ago
Bongo514 Nov
Christina Milian aeleza sababu ya kuachana na Lil Wayne
![christina-milian-focus-movie-premiere-in-los-angeles_1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/christina-milian-focus-movie-premiere-in-los-angeles_1-300x194.jpg)
Hatimaye Christina Milian ameeleza sababu iliyopelekea kuachana na Lil Wayne baada ya kudumu kwa zaidi ya mwaka mzima.
Milian ametumia reality show yake kueleza chanzo hicho na inaonekana Weezy hakuwa mwaminifu. Milian anadai kuwa alifanya uchunguzi wake na kubaini kuwa mwanamke mmoja stripper alipiga picha kutoka kwenye nyumba ya Weezy.
Hakueleza kwa kina nini kingine alichogundua kati ya wawili hao.
“Sijawahi kumpenda mtu mwingine jinsi nilivyompenda Wayne, sio hata mume wangu wa zamani,”...
9 years ago
Bongo527 Oct
Christina Milian adai bado wanapendana na Lil Wayne licha ya kuachana