Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Licha ya Kudaiwa Kuokoka… Mainda Bado Ateswa na Hili

RUTH Suka ‘Mainda’ aliye msanii wa filamu Bongo ambaye kwa sasa amejikita katika kumtumikia Mungu, amesema mtihani mkubwa ambao bado unampa wakati mgumu katika maisha ya ulokole ni uvaaji wa nguo fupi!

‘Akibadilishana sentensi’ na Amani, Mainda alisema amejitahidi kuruka na kuvuka viunzi vingi tangu kuokoka kwake, lakini ameshindwa kukabiliana na mtihani wa kuachana na uvaaji wa nguo fupi, jambo ambalo anapigana nalo kwa nguvu zote.

“Maisha ya wokovu ni mtihani mno, hakuna ulokole...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

LICHA YA KUDAIWA KUOKOKA, MAINDA BADO ATESWA NA NGUO FUPI

Msanii wa filamu Bongo Ruth Suka ‘Mainda’. BRIGHTON MASALU RUTH Suka ‘Mainda’ aliye msanii wa filamu Bongo ambaye kwa sasa amejikita katika kumtumikia Mungu, amesema mtihani mkubwa ambao bado unampa wakati mgumu katika maisha ya ulokole ni uvaaji wa nguo fupi! ‘Akibadilishana sentensi’ na Amani, Mainda alisema amejitahidi kuruka na kuvuka viunzi vingi tangu kuokoka kwake, lakini ameshindwa kukabiliana na mtihani wa...

 

9 years ago

Bongo5

Matonya na Tunda Man hawako sawa licha ya kudaiwa kumaliza tofauti zao

Matonya amesema hajawahi kuonana na hana shida ya kumtafuta rafiki wake wa zamani, Tunda Man. Matonya na Tunda Man waliingia kwenye mgogoro baada ya Tunda kudai alikuwa anamwandikia nyimbo Matonya katika kipindi cha nyuma hali iliyoleta tofauti baina yao mpaka sasa. Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio Jumatatu hii, Matonya alisema hajawahi […]

 

9 years ago

Bongo5

Christina Milian adai bado wanapendana na Lil Wayne licha ya kuachana

Christina Milian amedai kuwa pamoja na kuachana na Lil Wayne bado ni marafiki na wanapendana. Akiongea na HuffPost Live Jumatatu hii, Milian alisema kuwa wote ni watu wazima na waligundua kuwa sio vizuri kulazimisha uhusiano huo. “What’s fantastic about everything is we’re adults and we understand maybe it’s not the right time for us,” alisema. […]

 

10 years ago

Vijimambo

Wastara: Nimeamua Kumpa Bond Nafasi ya Kunioa, Mimi Bado Damu Changa Nikisema Siwezi Kuolewa Tena Najidanganya..Nimempa Bond Sharti Hili...


Wastara na Bond MapenziniBrighton Masalu
WASTARA Juma Issa Abeid amekiri kuzidiwa na hisia za kuwa na mwenza kutokana na ukweli kwamba damu yake bado changa, hivyo suala la kuolewa halikwepeki huku akimpa nafasi kubwa msanii mwenzake, Bond Bin Sinan endapo atakidhi vigezo na masharti.Akifungulia ‘koki’ ya maneno mbele ya paparazi wetu kwa njia ya simu mwanzoni mwa wiki hii, Wastara ambaye kwa sasa yuko bize kusaka ubunge nyumbani kwao Morogoro Vijijini, alisema hawezi kudanganya kwamba...

 

10 years ago

GPL

BELLA KOMBO AAMUA KUOKOKA!

Mshiriki wa Bongo Star Search (BSS), mwaka 2010/2011, Bella Kombo. Shani ramadhani
MSHIRIKI wa Bongo Star Search (BSS), mwaka 2010/2011, Bella Kombo ameweka wazi kuwa sasa hivi ameamua kumtumikia Mungu na kuachana na muziki wa kidunia aliokuwa akiufanya awali. Akipiga stori na Amani, Bella alisema baada ya Shindano la BSS alikuwa anaimba katika bendi na pia ameshafanya kolabo na wasanii kama Hemed Phd, Tunda Man, Kala Jeremiah,...

 

11 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL ATAMANI KUOKOKA!

Stori: Imelda Mtema
LICHA ya kubadili dini na kuwa muislam kisha kupewa jina la Rahma, staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amesema sasa anatamani kurejea ‘ulokoleni’ na kumrudia Yesu kwa kuokoka. Aunt Ezekiel. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni nyumbani kwake Mwananyamala jijini Dar, msanii huyo ambaye alibadili dini kutoka ukristo na kuwa muislam baada ya kuolewa na mumewe, Sunday Demonte alisema...

 

11 years ago

GPL

JB ATESWA NA MAJUNGU

Na Imelda Mtema
BABA la baba, Jacob Steven ‘JB’ amenyanyua kinywa chake na kutamka kuwa anateswa na majungu katika fani hivyo angekuwa na mbadala wa kazi, angechepuka. BABA la baba, Jacob Steven ‘JB’ Akistorisha na gazeti hili hivi karibuni, JB alisema licha ya umri wake mkubwa katika tasnia ya filamu lakini suala la majungu limekuwa likimtesa na mbaya zaidi ni ngumu kulidhibiti. “Kusema ukweli...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kizee chauawa kwa kudaiwa mchawi, India

Bibi kizee mmoja amenyongwa hadi kufa na wanakijiji wenzake kwa tuhuma za ushirikina, kaskazini mashariki mwa India.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani