Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JB ATESWA NA MAJUNGU

Na Imelda Mtema
BABA la baba, Jacob Steven ‘JB’ amenyanyua kinywa chake na kutamka kuwa anateswa na majungu katika fani hivyo angekuwa na mbadala wa kazi, angechepuka. BABA la baba, Jacob Steven ‘JB’ Akistorisha na gazeti hili hivi karibuni, JB alisema licha ya umri wake mkubwa katika tasnia ya filamu lakini suala la majungu limekuwa likimtesa na mbaya zaidi ni ngumu kulidhibiti. “Kusema ukweli...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

THEA: NIMEEPUKA MAJUNGU!

Gladness Mallya/Mchanganyiko
MSANII mkongwe katika filamu Bongo, Salome Urassa ‘Thea’ amefunguka na kusema kwamba kwa sasa amebadili aina ya maisha yake kwa kuwaepuka marafiki wanafiki aliokuwa akikutana nao kwenye makundi ya majungu. Msanii mkongwe katika filamu Bongo, Salome Urassa ‘Thea’. Akipiga stori mbili tatu na gazeti hili hivi karibuni, Thea alisema siku hizi hata akienda location anafanya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Thea:Sipendi Vijiwe,Kuepuka Majungu

Mrembo na mwigizaji mkongwe katika filamu Bongo, Salome Urassa ‘Thea’ amefunguka na kusema kwamba kwa sasa amebadili aina ya maisha yake kwa kuwaepuka marafiki wanafiki aliokuwa akikutana nao kwenye makundi   au vijiwe vya majungu.

Akizungumzia swala hilo, Thea alisema siku hizi hata akienda location anafanya kile kilichompeleka  na baada ya hapo anarudi nyumbani mapema ili kumuwahi mumewe.

“Siku hizi nikienda location nafanya kilichonipeleka, nabadilisha nguo narudi nyumbani kwangu maana...

 

10 years ago

GPL

WEMA AWACHARUKIA WASANII WENYE MAJUNGU

Stori: Mayasa Mariwata MADAMUUU! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amecharuka na kudai anachukizwa kwa kiasi kikubwa na wasanii ambao wanapenda kumfanyia majungu kutokana na chuki zao binafsi. Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Akipiga stori na paparazi wetu, Madam alisema anajua wapo wengi wanaomchukia kutokana na sababu zisizo za msingi kwa kudai kuwa anaringa na vyovyote vile...

 

11 years ago

Michuzi

CUF kutowavumilia watendaji watakaobainika kuendeleza fitna na majungu

 Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizindua kamati tendaji za Wilaya za Pemba katika ofisi za CUF Wilaya ya Chake Chake. Wajumbe wa  kamati tendaji za Wilaya za Pemba wakianza kikao kwa dua katika ofisi za CUF Wilaya ya Chake Chake.  Mwenyekiti wa CUF Wilaya ya Magharibi Unguja Bi. Raisa Abdallah Mussa, akizungumza wakati wa uzinduzi wa kamati tendaji kwa Wilaya za Unguja katika ofisi za CUF Wilaya hiyo zilizoko Kilimahewa.  Baadhi ya wajumbe wa kamati tendaji Wilaya...

 

10 years ago

GPL

KAMATI YA TANZANIA KWANZA YAMTETEA MUHONGO, YASEMA NI MHANGA WA MAJUNGU

Mwenyekiti wa Kamati ya Tanzania Kwanza Nje ya Bunge Maalum la Katiba, Oscar Matefu,  akitoa ufafanuzi baada ya kuulizwa swali na wanahabari. …Akifafanua jambo kwenye  hafla…

 

10 years ago

Bongo Movies

Frank Atema Nyongo,Anasema majungu na chembechembe za ubinafsi vinaimaliza Bongo Movie

Kama ulidhani Frank alichukulia poa baada ya kuharibiwa safari yake ya kwenda kuigiza filamu jijini London, Uingereza mwaka jana, basi tambua kwamba alikuwa na nyongo ambayo mwaka huu ameamua kuitema.

Akizungumza na Gazeti la Mwananchi, muigizaji huyo ambaye jina lake halisi ni Mohamed Mwikongi, alisema suala hilo lilimfanya ajisikie vibaya sambamba na kumjengea picha mbaya na hasa katika umoja uliokuwepo katika klabu ya Bongo Movie na aliyemfanyia hayo alikuwa mmoja wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Frank Atema Nyongo, Asema majungu na chembechembe za ubinafsi vinaimaliza Bongo Movie

Kama ulidhani Frank alichukulia poa baada ya kuharibiwa safari yake ya kwenda kuigiza filamu jijini London, Uingereza mwaka jana, basi tambua kwamba alikuwa na nyongo ambayo mwaka huu ameamua kuitema.

Akizungumza na Gazeti la Mwananchi, muigizaji huyo ambaye jina lake halisi ni Mohamed Mwikongi, alisema suala hilo lilimfanya ajisikie vibaya sambamba na kumjengea picha mbaya na hasa katika umoja uliokuwepo katika klabu ya Bongo Movie na aliyemfanyia hayo alikuwa mmoja wa...

 

9 years ago

GPL

MREMBO ATESWA UARABUNI

Stori:imelda mtema MATESO! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mrembo Sada Hussein, mkazi wa Tandale kwa Mtogole jijini Dar kupata mateso mazito baada ya kupelekwa Uarabuni nchini Oman kwa lengo la kufanya kazi za ndani, tofauti na matarajio, alijikuta akiteswa vibaya na muajiri wake. Mrembo Sada Hussein, mkazi wa Tandale kwa Mtogole anayedaiwa kuteswa uarabuni. Akizungumzia tukio hilo kwa uchungu, kaka wa msichana huyo...

 

11 years ago

GPL

WOLPER ATESWA NA USAGAJI

Stori: Mayasa Mariwata
MWIGIZAJI Jacqueline Wolper, amesema anaumizwa sana na tetesi zinazozagaa kama moto wa kifuu kitaani kuwa anajihusisha na vitendo vya usagaji. Jacqueline Wolper. Akizungumza na paparazi wetu kuhusiana na skendo hiyo, mwanadada huyo alisema, akiwa kama mwanamke anayejitambua na kumtukuza vyema Mungu wake jambo hilo limekuwa likimuumiza. “Roho inaniuma sana kuhusiana na hizo taarifa sijui niongee...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani