Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Thea:Sipendi Vijiwe,Kuepuka Majungu

Mrembo na mwigizaji mkongwe katika filamu Bongo, Salome Urassa ‘Thea’ amefunguka na kusema kwamba kwa sasa amebadili aina ya maisha yake kwa kuwaepuka marafiki wanafiki aliokuwa akikutana nao kwenye makundi   au vijiwe vya majungu.

Akizungumzia swala hilo, Thea alisema siku hizi hata akienda location anafanya kile kilichompeleka  na baada ya hapo anarudi nyumbani mapema ili kumuwahi mumewe.

“Siku hizi nikienda location nafanya kilichonipeleka, nabadilisha nguo narudi nyumbani kwangu maana...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

THEA: NIMEEPUKA MAJUNGU!

Gladness Mallya/Mchanganyiko
MSANII mkongwe katika filamu Bongo, Salome Urassa ‘Thea’ amefunguka na kusema kwamba kwa sasa amebadili aina ya maisha yake kwa kuwaepuka marafiki wanafiki aliokuwa akikutana nao kwenye makundi ya majungu. Msanii mkongwe katika filamu Bongo, Salome Urassa ‘Thea’. Akipiga stori mbili tatu na gazeti hili hivi karibuni, Thea alisema siku hizi hata akienda location anafanya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vijana watakiwa kuachana na vijiwe

VIJANA nchini wametakiwa kuachana na tabia ya kukaa vijiweni bila ya kujishughulisha na kazi yoyote, badala yake watumie fursa zilizopo za ujasirimali ili kujiajiri wao wenyewe na kupambana vilivyo na...

 

11 years ago

GPL

JB ATESWA NA MAJUNGU

Na Imelda Mtema
BABA la baba, Jacob Steven ‘JB’ amenyanyua kinywa chake na kutamka kuwa anateswa na majungu katika fani hivyo angekuwa na mbadala wa kazi, angechepuka. BABA la baba, Jacob Steven ‘JB’ Akistorisha na gazeti hili hivi karibuni, JB alisema licha ya umri wake mkubwa katika tasnia ya filamu lakini suala la majungu limekuwa likimtesa na mbaya zaidi ni ngumu kulidhibiti. “Kusema ukweli...

 

10 years ago

GPL

WEMA AWACHARUKIA WASANII WENYE MAJUNGU

Stori: Mayasa Mariwata MADAMUUU! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amecharuka na kudai anachukizwa kwa kiasi kikubwa na wasanii ambao wanapenda kumfanyia majungu kutokana na chuki zao binafsi. Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Akipiga stori na paparazi wetu, Madam alisema anajua wapo wengi wanaomchukia kutokana na sababu zisizo za msingi kwa kudai kuwa anaringa na vyovyote vile...

 

11 years ago

Habarileo

JK: Sipendi kusutwa

Rais Jakaya Kikwete (katikati) akikata utepe, wakati wa uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya lami kutoka Tunduru mkoani Ruvuma kwenda Mangaka mkoa jirani wa Mtwara. Barabara hiyo itajengwa na kampuni ya Synohydro kutoka China. Wa kwanza kushoto ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, Balozi mdogo wa Japan, Kazuyoshi Matsunanga,Waziri wa Ujenzi John Magufuli na Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Chande Nalicho (kulia).RAIS Jakaya Kikwete amesema ametimiza ahadi zake kwa wananchi, kwa kuwa hapendi kusutwa.

 

11 years ago

Michuzi

CUF kutowavumilia watendaji watakaobainika kuendeleza fitna na majungu

 Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizindua kamati tendaji za Wilaya za Pemba katika ofisi za CUF Wilaya ya Chake Chake. Wajumbe wa  kamati tendaji za Wilaya za Pemba wakianza kikao kwa dua katika ofisi za CUF Wilaya ya Chake Chake.  Mwenyekiti wa CUF Wilaya ya Magharibi Unguja Bi. Raisa Abdallah Mussa, akizungumza wakati wa uzinduzi wa kamati tendaji kwa Wilaya za Unguja katika ofisi za CUF Wilaya hiyo zilizoko Kilimahewa.  Baadhi ya wajumbe wa kamati tendaji Wilaya...

 

10 years ago

GPL

KOLETHA: SIPENDI UHUSIANO NA WASANII

Stori: Gladness Mallya MSANII mkongwe  kwenye gemu la filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koletha’ amefunguka kwamba tangu aingie kwenye fani hiyo hajawahi kuwa na mpenzi msanii na hapendi hata kuwasikia. Msanii mkongwe  kwenye gemu la filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koletha’ Akipiga stori na gazeti hili, Koletha alisema kutokana na kwamba anazijua tabia zao kwani anafanya nao kazi pia wakati alipoanza...

 

10 years ago

Bongo Movies

Shamsa: Sipendi Wanaolalamika Kutendwa!

Mrembo na mwigizaji wa filamu mwenye mvuto wa aina yake, Shamsa Ford leo mtandaoni ametoa mtazamo wake kuhusu swala la watu kulalamika muda wote kuwa  wametendwa kwenye maswala la mahusiano ya kimapenzi.

“Huwa sipendi watu wanaolalamika kutwa kwamba wametendwa bila kuangalia nyuma yeye kawaumiza wangapi ambao waliamua tu kumnyamazia na kumpuuza”.

Wengi walionyesha kumuunga mkono kwa kubonyeza kitufe cha kupenda na wengine kushusha komenti zao, Je wewe kwa upande wako swala hili...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msindai: Sipendi siasa za kuchafuana

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Mgana Msindai, amesema hapendi siasa za kuchafuana zinazofanywa na baadhi ya wanasiasa wanaotafuta umaarufu. Msindai ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wenyeviti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani