Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KOLETHA: SIPENDI UHUSIANO NA WASANII

Stori: Gladness Mallya MSANII mkongwe  kwenye gemu la filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koletha’ amefunguka kwamba tangu aingie kwenye fani hiyo hajawahi kuwa na mpenzi msanii na hapendi hata kuwasikia. Msanii mkongwe  kwenye gemu la filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koletha’ Akipiga stori na gazeti hili, Koletha alisema kutokana na kwamba anazijua tabia zao kwani anafanya nao kazi pia wakati alipoanza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

KOLETHA ACHOSHWA NA UPWEKE!

Muigizaji wa muda mrefu, Koletha Raymond. BRIGHTON MASALU KOLETHA Raymond, ambaye ni muigizaji wa muda mrefu, amesema kwa sasa amechoshwa na upweke huku akiweka wazi kuwa yuko tayari kuingia kwenye uhusiano endapo atapata mwanaume mwenye sifa stahiki. ‘Akidondosha silabi’ na Amani, Koletha alisema kwa muda mrefu sasa amekuwa peke yake huku pombe ikigeuka faraja pekee ya moyo wake, kutoka na kukosa mapenzi ya dhati...

 

10 years ago

GPL

KOLETHA: TUHONGWE KWA MALENGO!

Mayasa Mariwata/ijumaawikienda
MSANII wa sinema za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koletha’ amewataka mastaa wa kike kuzitumia vizuri fedha wanazohongwa na vigogo kwa kuwekeza kwenye miradi ili ziwanufaishe. Msanii wa sinema za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koletha’. Koletha alisema suala la wasanii wengi wa kike kuishi kwa kutegemea wanaume wakware lipo wazi kabisa, isipokuwa wengi wao wanajisahau kwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Koletha:Tuhongwe kwa Malengo!

Mrembo na mwigizaji wa filamu, Coletha Raymond ‘Koletha’ amewataka mastaa wa kike kuzitumia vizuri fedha wanazohongwa na vigogo kwa kuwekeza kwenye miradi ili ziwanufaishe

Koletha alisema suala la wasanii wengi wa kike kuishi kwa kutegemea wanaume wakware lipo wazi kabisa, isipokuwa wengi wao wanajisahau kwa kuzitumia hovyo kwa starehe badala ya kuwekeza kwenye miradi.

“Wasanii wengi wanategemea kuhongwa lakini wawe makini na hao wanaowahonga, kama ni gari wapewe kadi na chochote kile kiwe...

 

10 years ago

GPL

KOLETHA KILIO BAADA YA KUKOMBWA KILA KITU NA WEZI

Stori : Deogratius Mongela /Uwazi
MUIGIZAJI wa filamu Bongo, Koletha Raymond ‘Coletha’ amejikuta akiwa hana kitu baada ya kukombwa shilingi milioni moja na nusu, nguo zake zaidi ya ishirini na vifaa vya kuchukulia video wakati wakiwa lokesheni maeneo ya Mtoni Kijichi, jijini Dar. Coletha Raymond ‘Koleta’. Akizungumza na Uwazi, Coletha alisema aliitwa lokesheni kucheza filamu ya Mkono wa Kushoto...

 

11 years ago

Habarileo

JK: Sipendi kusutwa

Rais Jakaya Kikwete (katikati) akikata utepe, wakati wa uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya lami kutoka Tunduru mkoani Ruvuma kwenda Mangaka mkoa jirani wa Mtwara. Barabara hiyo itajengwa na kampuni ya Synohydro kutoka China. Wa kwanza kushoto ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, Balozi mdogo wa Japan, Kazuyoshi Matsunanga,Waziri wa Ujenzi John Magufuli na Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Chande Nalicho (kulia).RAIS Jakaya Kikwete amesema ametimiza ahadi zake kwa wananchi, kwa kuwa hapendi kusutwa.

 

11 years ago

GPL

LINAH: SIPENDI KUTUMIA KINGA

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa kike anayetesa kwenye Bongo Fleva, Esterlina Sanga ‘Linah’ ametoa mpya baada ya kuibuka na kueleza wazi kuwa, awapo faragha hapendi kutumia kinga. Esterlina Sanga ‘Linah’. Linah alisema hayo wakati akizungumza na mwakilishi wa kona hii jijini Dar es Salaam wikiendi iliyopita, ambapo alisisitiza kuwa anachukia sana mipira ya kike na kiume wakati wa tendo kwa vile...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msindai: Sipendi siasa za kuchafuana

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Mgana Msindai, amesema hapendi siasa za kuchafuana zinazofanywa na baadhi ya wanasiasa wanaotafuta umaarufu. Msindai ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wenyeviti...

 

10 years ago

Bongo Movies

Shamsa: Sipendi Wanaolalamika Kutendwa!

Mrembo na mwigizaji wa filamu mwenye mvuto wa aina yake, Shamsa Ford leo mtandaoni ametoa mtazamo wake kuhusu swala la watu kulalamika muda wote kuwa  wametendwa kwenye maswala la mahusiano ya kimapenzi.

“Huwa sipendi watu wanaolalamika kutwa kwamba wametendwa bila kuangalia nyuma yeye kawaumiza wangapi ambao waliamua tu kumnyamazia na kumpuuza”.

Wengi walionyesha kumuunga mkono kwa kubonyeza kitufe cha kupenda na wengine kushusha komenti zao, Je wewe kwa upande wako swala hili...

 

9 years ago

Mtanzania

Nikki wa Pili: Sipendi michoro ya tattoo

???????????????????????????????NA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII wa Bongo Fleva, Nickson Saimon ‘Nikki Wa Pili’ amesema michoro ya tattoo wanayojichora watu wengi maarufu ni fasheni, hivyo ipo siku itapita na kuonekana haina maana tena, ndiyo maana yeye haipendi.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Nikki wa Pili alisema kuwa sifa moja ya fasheni ni kuvuma na kupotea, hivyo ana hofu ya kuchora tattoo kwa kuwa itafika kipindi michoro hiyo itakuwa siyo ujanja tena.

“Ile ni fasheni, watu wanachora na wanapendeza, lakini hawajui kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani