KOLETHA: TUHONGWE KWA MALENGO!
![](http://api.ning.com:80/files/IdN5y1KxAWkvkgz75KJkEMBVXgoajPrTKLrTsXD-PrIhfUBGseKb7EgAw7gyFAyUbyIve43VgvsVmJf2sCVtrdmKFBw8-Pqw/koletha.jpg)
Mayasa Mariwata/ijumaawikienda MSANII wa sinema za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koletha’ amewataka mastaa wa kike kuzitumia vizuri fedha wanazohongwa na vigogo kwa kuwekeza kwenye miradi ili ziwanufaishe. Msanii wa sinema za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koletha’. Koletha alisema suala la wasanii wengi wa kike kuishi kwa kutegemea wanaume wakware lipo wazi kabisa, isipokuwa wengi wao wanajisahau kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies02 Mar
Koletha:Tuhongwe kwa Malengo!
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Coletha Raymond ‘Koletha’ amewataka mastaa wa kike kuzitumia vizuri fedha wanazohongwa na vigogo kwa kuwekeza kwenye miradi ili ziwanufaishe
Koletha alisema suala la wasanii wengi wa kike kuishi kwa kutegemea wanaume wakware lipo wazi kabisa, isipokuwa wengi wao wanajisahau kwa kuzitumia hovyo kwa starehe badala ya kuwekeza kwenye miradi.
“Wasanii wengi wanategemea kuhongwa lakini wawe makini na hao wanaowahonga, kama ni gari wapewe kadi na chochote kile kiwe...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jw5zqGnfHdryDZjppEKFEs-1*1lMsmMW69TgrdVlkliWscKbJNyhT59*xo5L58qQ2hSADjky18GqdX9qCNDbNt90rWx2ptUa/Coletha.jpg?width=650)
KOLETHA ACHOSHWA NA UPWEKE!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ktsylelmf0kIjRG0lP0V8hRehqpaKqPiw1KsJlu-CvxyLgfLgeKwC9v5qwHnNnKNLTdrwF7C7pGYQ2KH*Icpkat614Sl4gxj/koletha.jpg)
KOLETHA: SIPENDI UHUSIANO NA WASANII
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/741FtnVWixaKOQSpoKf7s29xbU-nJHcL72vnrQ6qVUejxO8M1M6wiLwv2emOGqpWQkxUga0FiqIv5oLRgiXLcy*LDWLklMwe/koleta.jpg)
KOLETHA KILIO BAADA YA KUKOMBWA KILA KITU NA WEZI
11 years ago
Mwananchi13 Mar
‘Tumieni mikopo kwa malengo’
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Wanafunzi watakiwa kusoma kwa malengo
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade), Jacqueline Mneney, amewataka wanafunzi nchini kusoma kwa malengo ya kutimiza ndoto zao za baadaye. Amesema ikiwa kila anayesoma ataondokana na...
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Tuwasaidie watoto wetu kusoma kwa malengo
10 years ago
Mwananchi17 Feb
Majimaji, Toto African kwa malengo tofauti
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Mitandao ya kijamii itumike kwa malengo chanya
MITANDAO ya kijamii ni mizuri katika kuhabarisha umma, endapo inatumiwa kulingana na madhumuni iliyotengenezwa, kwani ina nguvu ya kusambaza habari kwa haraka na kwa wakati. Pamoja na umuhimu wa mitandao...