Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Tumieni mikopo kwa malengo’

Watanzania wametakiwa kujenga utamaduni wa kutumia mikopo kwa malengo sahihi na kuirudisha kwa wakati ili kutoa fursa kwa wajasiriamali wadogo kukuza mitaji yao kupitia benki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Vijana jiwekeeni malengo kabla ya kukimbilia mikopo: Kongoye

Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Bw. Christopher Ryoba Kangoye akizungumza na ujumbe kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo walipomtembelea ofisini kwake kabla ya kukutana na vijana wa Wilaya ya Kongwa na Mpwapwa kwa ajili ya kutoa elimu kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, Ujasiriamali, Stadi za maisha na ujuzi jana katika Wilaya ya Mpwapwa Mkoa Dodoma.Mkuu wa Kituo cha Vijana Sasanda Mbeya Bw. Laurean Masele akitoa mada ya Uongozi kwa vijana wa Wilaya ya Kongwa na Mpwapwa wakati wa...

 

10 years ago

Michuzi

BODI YA MIKOPO YAANZA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO KUTOKA KWA WANAFUNZI KWA MWAKA WA MASOMO 2015-2016

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo, Bw. George Nyatega
Na Mwandishi Wetu
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Ijumaa, Mei 1, 2015) imetoa mwongozo kwa wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo na ruzuku kwa ajili ya mwaka wa masomo 2015/2016 unaotarajiwa kuanza miezi michache ijayo.
Kwa mujibu wa mwongozo huo, ambao unapatikana katika tovuti ya Bodi (www.heslb.go.tz), waombaji wote wamepewa takribani miezi miwili kuwasilisha maombi yao kuanzia Jumatatu, Mei 4, 2015...

 

11 years ago

Michuzi

NMB YAWAKOMBOA VIJANA KIUCHUMI KWA KUWAPA MIKOPO NAFUU YA PIKIPIKI Ni mikopo kwa ajili ya pikipiki za miguu miwili na mitatu

 Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni tatu yaani Fair Deal Auto Private Ltd inayosambaza pikipiki za miguu miwili na mitatu aina ya Bajaji, kampuni ya Car & General Limited Ltd inayosambaza pikipiki za miguu mitatu aina ya TV’S King pamoja na kampuni ya Quality Motors inayosambaza pikipiki za miguu miwili aina ya Honda wameingia ubia ili kuwawezesha wananchi kupata mikopo nafuu ya kumiliki pikipiki za miguu miwili na mitatu.   Hii yote ni katika kuendeleza azma ya NMB inayolenga kubuni...

 

5 years ago

Michuzi

BODI YA MIKOPO YATAKIWA KUWA TAYARI KUTOA MIKOPO KWA WANAFUNZI PINDI VYUO VITAKAPOFUNGULIWA

 Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako akizungumza na Menejimenti ya Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya Juu (hawapo pichani)wakati alipofanya ziara Leo Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu Abdul-Razaq Badru akizungumza wakati  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako alipofanya ziara katika ofisi zao  zilizopo eneo la Tazara jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya...

 

10 years ago

Michuzi

WAJASIRIMALI TUMIENI FURSA YA KUJIUNGA NA NHIF KWA KUCHANGIA SH.78,600 KWA MWAKA

 Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya Mkoa wa Kinondoni ,Grace Temba akizungumza leo na wajasirimali wa Mkoa wa Kinondoni (hawapo pichani) juu ya faida ya kujiunga na mfuko huo kupitia Mtandao wa ASEE iliyofanyika katika ukumbi Pricess ,Sinza Jijini Dar es Salaam.

 Afisa Matekelezo na Uratibu wa NHIF,Catherine Masingisa akitoa maada kwa wajasirimali wa Mkoa wa Kinondoni (hawapo pichani) namna ya kujiunga  na mfuko wa Bima ya Afya  kupitia vikundi vya ujasiriamali iliyofanyika Katika Ukumbi wa...

 

10 years ago

Habarileo

‘Tumieni tehama kwa maendeleo’

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame MbarawaVIJANA nchini wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kujiletea maendeleo yao binafsi na ya nchi.

 

11 years ago

Mwananchi

Vijana tumieni mitandao kwa maendeleo

Kukua kwa teknolojia duniani kumefanya dunia sasa kuwa kama kijiji. Siku hizi unaweza kupata taarifa kutoka sehemu mbalimbali za dunia bila kulazimika kuwa sehemu husika.

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Wasanii, tumieni fursa kwa sauti moja, mueleweke...

>Tofauti na zamani, katika zama hizi za sanaa ya kizazi kipya, kila ukikutana na msanii, ukasema mpoteze muda kuongea mambo mawili matatu, lazima katikati ya maongezi yenu atakuingizia suala la jinsi sanaa inavyochukuliwa rahisi rahisi nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani