Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana tumieni mitandao kwa maendeleo

Kukua kwa teknolojia duniani kumefanya dunia sasa kuwa kama kijiji. Siku hizi unaweza kupata taarifa kutoka sehemu mbalimbali za dunia bila kulazimika kuwa sehemu husika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

‘Vijana tumieni vizuri mitandao’

VIJANA wametakiwa kutumia mitandao kwa njia sahihi za kuongeza maarifa na kuboresha fani za elimu wanazosomea.

 

10 years ago

Habarileo

Vijana tumieni vizuri mitandao - Askofu

Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Eusebius NzigilwaVIJANA wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kutangaza habari njema pamoja na kutumia vipaji vyao kujipatia kipato.

 

10 years ago

Habarileo

‘Tumieni tehama kwa maendeleo’

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame MbarawaVIJANA nchini wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kujiletea maendeleo yao binafsi na ya nchi.

 

10 years ago

Raia Tanzania

‘Mitandao ya kijamii itumike kwa maendeleo’

WATANZANIA wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kupata taarifa mbalimbali na kuzitumia katika maendeleo.

Mjumbe wa Bodi ya Utendaji ya Kituo cha Ushirikiano wa Kilimo na Maendeleo Vijijini cha nchi za Umoja wa Ulaya, Afrika, Karibiani na Pasifiki (CTA), Profesa Faustin Kamuzora, amesema taarifa hizo zina mchango mkubwa katika maendeleo ya sekta za kilimo, usindikaji, biashara na ukuzaji wa masoko katika ukanda wa Afrika Mashariki na duniani kwa jumla.

Akifungua mafunzo ya...

 

11 years ago

Habarileo

'Tumieni maonesho ya utamaduni kuchochea maendeleo'

JAMII imetakiwa kutumia maonesho ya utamaduni kupata elimu jinsi ya kuingia katika soko la biashara la ndani na nje ya nchi na kuchochea maendeleo. Hayo yalisemwa leo, Dar es Salaam na Mratibu wa Biashara wa Tan-Tanzania, Deusdedit Kizito, kwenye maonesho ya Utamaduni yaliyozinduliwa juzi na yanayoendelea hadi Mei 25, Siku ya Uhuru wa Afrika.

 

10 years ago

Habarileo

Pinda: Vijana wanasayansi tumieni uwezo wenu

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda.WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka vijana wanasayansi Tanzania na barani Afrika, kuhakikisha uwezo wao kitaaluma utumike kusaidia kuongeza thamani rasilimali zilizopo ardhini ili bidhaa zizalishwazo ziwe na thamani, badala ya kuuza malighafi.

 

10 years ago

Michuzi

VIJANA WATAKIWA KUJITUMA NA KUFANYA KAZI KWA KWA MAENDELEO YAO

Ndugu Elly David Akitoa Mada Kuhusu Vijana kujituma na kufanya kazi kwa Bidii Kwa maendeleo ya taifa.Mtoa Mada huyo amesema kutokana na Ukosefu wa ajira hususani kwa vijana ni vyeme vijana kujituma na kuwa wabunifu na waweze kujiajiri kwa lengo la Kupambana katika Maisha.Katika Kongamano hilo la Vijana lililofanyika Jijini dar es salaam Liliwapa Fursa vijana kueleza Changamoto zinazowakabili na namna ya Kuzikabili.Kongamano hilo lililoandaliwa na Elly David mara baada ya ya kuona changamoto...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC KANGOYE: Vijana tumieni fursa za kiuchumi zilizopo kujiajiri

MATAIFA mengi duniani hutegemea vijana katika shughuli mbalimbali za ujenzi wa taifa. Sehemu zote yalipofanyika mageuzi ya kiuchumi, vijana walijitolea nguvu zao katika taifa husika. Vijana wengi wanaomaliza elimu ya...

 

5 years ago

Michuzi

MITANDAO YA KIJAMII YAZIDI KUONGEZA WIGO WA AJIRA KWA VIJANA,'APP' YA BIDHAA YA KEKI YAZINDULIWA LEO JIJINI DAR

Mitandao ya kijamii   imeongeza wigo katika ajira kwa vijana kufanya ubunifu mbalimbali ikiwemo uuzaji wa bidhaa kwa kutumia mitandao hiyo.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Melisa Lilian Ringo wakati akizindua App kwa ajili ya Keki iliyofanyika leo, jijini Dar es Salaam.

Ringo amesema kuwa watu wanaohitaji Keki watakwenda kwenye mtandao na kufungua 'Melisa Cake'  na kuchagua aina mbalimbali za Keki.Amesema mteja akiingia katika App hiyo atachagua Keki aitakayo baada ya hapo ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani