'Tumieni maonesho ya utamaduni kuchochea maendeleo'
JAMII imetakiwa kutumia maonesho ya utamaduni kupata elimu jinsi ya kuingia katika soko la biashara la ndani na nje ya nchi na kuchochea maendeleo. Hayo yalisemwa leo, Dar es Salaam na Mratibu wa Biashara wa Tan-Tanzania, Deusdedit Kizito, kwenye maonesho ya Utamaduni yaliyozinduliwa juzi na yanayoendelea hadi Mei 25, Siku ya Uhuru wa Afrika.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania