Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Mitandao ya kijamii itumike kwa maendeleo’

WATANZANIA wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kupata taarifa mbalimbali na kuzitumia katika maendeleo.

Mjumbe wa Bodi ya Utendaji ya Kituo cha Ushirikiano wa Kilimo na Maendeleo Vijijini cha nchi za Umoja wa Ulaya, Afrika, Karibiani na Pasifiki (CTA), Profesa Faustin Kamuzora, amesema taarifa hizo zina mchango mkubwa katika maendeleo ya sekta za kilimo, usindikaji, biashara na ukuzaji wa masoko katika ukanda wa Afrika Mashariki na duniani kwa jumla.

Akifungua mafunzo ya...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Mitandao ya kijamii itumike kwa malengo chanya

MITANDAO ya kijamii ni mizuri katika kuhabarisha umma, endapo inatumiwa kulingana na madhumuni iliyotengenezwa, kwani ina nguvu ya kusambaza habari kwa haraka na kwa wakati. Pamoja na umuhimu wa mitandao...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu hachaguliwi kwa kura za maoni wala kwa mitandao ya kijamii – Mwakyembe

Harrison-Mwakyembe1-620x308

Mbunge Mteule wa Jimbo la Kyela,  Dkt. Harrison Mwakyembe.

Na Lilian Lundo, MAELEZO-DODOMA

Mbunge Mteule wa Jimbo la Kyela,  Dkt. Harrison Mwakyembe amesema Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Tano ya Tanzania  atatokana  na uteuzi utakaoidhinishwa na  Bunge na si taarifa zilizopo sasa katika mitandao ya kijamii.

Dkt. Mwakyembe ambaye amewahi kuwa Waziri wa Uchukuzi katika Serikali ya Awamu ya Nne, alisema kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi,  Waziri Mkuu anateuliwa na Rais ambaye...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ACHAGULIWI KWA KURA ZA MAONI WALA KWA MITANDAO YA KIJAMII - MWAKYEMBE

Na Lilian Lundo, MAELEZO, DODOMA
Mbunge Mteule wa Jimbo la Kyela,  Dkt. Harrison Mwakyembe (pichani) amesema Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Tano ya Tanzania atatokana  na uteuzi utakaoidhinishwa na  Bunge na si taarifa zilizopo sasa katika mitandao ya kijamii.Dkt. Mwakyembe ambaye amewahi kuwa Waziri wa Uchukuzi katika Serikali ya Awamu ya Nne, alisema kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi,  Waziri Mkuu anateuliwa na Rais ambaye huwasilisha jina hilo kwa Spika wa Bunge na baadaye...

 

10 years ago

Mwananchi

Mitandao ya kijamii na changamoto kwa usalama wa taifa letu-1

Mitandao ya kijamii ni programu inayotumia Intaneti kuwezesha watu mbalimbali kuwasiliana,  kushiriki mijadala na kuweka taarifa au kubadilishana vitu mbalimbali .

 

10 years ago

Mwananchi

Mitandao ya kijamii na changamoto kwa usalama wa Taifa letu-3

Leo nahitimisha mfululizo wa makala haya. Licha ya mitandao ya kijamii kuweza kutumika dhidi ya usalama wa Taifa, pia inaweza kulinda usalama wake na wananchi tena kwa ufasaha zaidi.

 

11 years ago

Mwananchi

Kwa nini uko facebook na mitandao mingine ya kijamii

Hujambo ndugu yangu! Bila shaka Mungu anaendelea kukupendelea kwa maana ya kukuacha uendelee kutumia pumzi yake na hata kukupa uwezo wa kuona, maana kuna wengi wangependa hayo, lakini wameshindwa.

 

5 years ago

Michuzi

WATANZANIA WASHAURIWA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KWA FAIDA


Muongozaji wa majadiliano Bw. Michael Gwimile akifafanua jambo wakati wa mkutano wa majadiliano uliowashirikisha wadau mbalimbali wa Habari ulioandaliwa na MISA-Tan na kufanyika hivi karibuni Jijini Dodoma.Muongozaji wa majadiliano Mrakibu Msaidizi wa Polisi Bw. Athumani Mtasha akifafanuakuhusu nafasi ya polisi katika kudhibiti makosa ya kimtandao na ushirikiano na vyombo vya Habari wakati wa mkutano wa majadiliano ulioandaliwa na MISA-Tan na kufanyika jijini Dodoma.Washiriki wa mkutano wa...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMANDA MPINGA ATOA ONYO KWA WAMILIKI WA MITANDAO YA KIJAMII

Kamanda Kikosi cha Usalama BarabaraniMohamed Mpinga Na Mwandishi Wetu
KAMANDA wa Kikosi cha Usalama Barabarani (Trafic), Mohamed Mpinga , ameonya wamiliki wa mitandao ya kijamii kuacha kusambaza taarifa ambazo hazijafanyiwa uchunguzi na kuthibitika kama zina ukweli ndani yake.

Kamanda Mpinga, alisema hayo jijini Dar es Salaam wakati alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu tukio la baadhi ya mitando kusambaza taarifa kuwa kulikuwa na basi la Kampuni ya Dar Express limepata ajali.

Alisema,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani