‘Vijana tumieni vizuri mitandao’
VIJANA wametakiwa kutumia mitandao kwa njia sahihi za kuongeza maarifa na kuboresha fani za elimu wanazosomea.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo29 Dec
Vijana tumieni vizuri mitandao - Askofu
VIJANA wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kutangaza habari njema pamoja na kutumia vipaji vyao kujipatia kipato.
11 years ago
Mwananchi26 Jan
Vijana tumieni mitandao kwa maendeleo
9 years ago
Mtanzania22 Oct
Lowassa: Tumieni kura zenu vizuri
>> Aonya polisi, asema atawapeleka ICC
>> Ashangaa fedha kupelekwa bandari ya Bagamoyo
NA FREDY AZZAH, TANGA
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amewataka Watanzania kutumia vizuri kadi zao za kupigia kura kwa kumchagua yeye kwani watakuwa wamefanya uamuzi wa busara ambao hawataujutia.
Lowassa aliyasema hayo jana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Indian Ocean, eneo la Donge jijini Tanga, huku akisema fedha zilizopelekwa...
10 years ago
Habarileo23 Jan
Balozi: Watanzania tumieni vizuri maonesho ya ubunifu ya Oman
WATANZANIA wanaoshiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea nchini Oman, wametakiwa kuitumia vyema fursa ya kimataifa waliyoipata kwa kufuata vyema miongozo waliyopewa ili ziara yao iweze kuleta tija.
10 years ago
Habarileo17 Aug
Pinda: Vijana wanasayansi tumieni uwezo wenu
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka vijana wanasayansi Tanzania na barani Afrika, kuhakikisha uwezo wao kitaaluma utumike kusaidia kuongeza thamani rasilimali zilizopo ardhini ili bidhaa zizalishwazo ziwe na thamani, badala ya kuuza malighafi.
11 years ago
Tanzania Daima14 Jan
DC KANGOYE: Vijana tumieni fursa za kiuchumi zilizopo kujiajiri
MATAIFA mengi duniani hutegemea vijana katika shughuli mbalimbali za ujenzi wa taifa. Sehemu zote yalipofanyika mageuzi ya kiuchumi, vijana walijitolea nguvu zao katika taifa husika. Vijana wengi wanaomaliza elimu ya...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-8QN796L_tWk/VCGIY6bjB5I/AAAAAAADFNM/ZdaSI45RX1c/s72-c/PIX%2B1.png)
KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII SI DHAMBI, TUITUMIE VIZURI KWA MALENGO YALIYOKUSUDIWA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-8QN796L_tWk/VCGIY6bjB5I/AAAAAAADFNM/ZdaSI45RX1c/s1600/PIX%2B1.png)
Na Benedict Liwenga, Maelezo-DSM. 23/09/2014. Mitandao ya kijamii ni mizuri katika kuhabarisha umma endapo inatumiwa kulingana na madhumuni iliyotengenezwa, kwani ina nguvu ya kusambaza habari kwa haraka na kwa wakati hapa duniani. Pamoja na umuhimu nwa mitandao hii ya kijamii, kuna baadhi ya watu ambao wao hujiona kuwa wameendelea katika ulimwengu wa kisayansi na teknolojia kiasi cha kuanza...
5 years ago
MichuziTCRA.CCC:VIJANA NDIYO WAHANGA WAKUBWA WA MITANDAO YA KIJAMII