Lowassa: Tumieni kura zenu vizuri
>> Aonya polisi, asema atawapeleka ICC
>> Ashangaa fedha kupelekwa bandari ya Bagamoyo
NA FREDY AZZAH, TANGA
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amewataka Watanzania kutumia vizuri kadi zao za kupigia kura kwa kumchagua yeye kwani watakuwa wamefanya uamuzi wa busara ambao hawataujutia.
Lowassa aliyasema hayo jana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Indian Ocean, eneo la Donge jijini Tanga, huku akisema fedha zilizopelekwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo09 Nov
‘Vijana tumieni vizuri mitandao’
VIJANA wametakiwa kutumia mitandao kwa njia sahihi za kuongeza maarifa na kuboresha fani za elimu wanazosomea.
10 years ago
Habarileo29 Dec
Vijana tumieni vizuri mitandao - Askofu
VIJANA wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kutangaza habari njema pamoja na kutumia vipaji vyao kujipatia kipato.
10 years ago
Habarileo23 Jan
Balozi: Watanzania tumieni vizuri maonesho ya ubunifu ya Oman
WATANZANIA wanaoshiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea nchini Oman, wametakiwa kuitumia vyema fursa ya kimataifa waliyoipata kwa kufuata vyema miongozo waliyopewa ili ziara yao iweze kuleta tija.
9 years ago
Michuzi23 Oct
WANAWAKE LINDENI KURA ZENU:BAWACHA
![Mke wa Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa, Regina Lowassa akiwa katika mkutano wa hadhara](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/Z0Rby-Jo-vmQ8nRG4cGz1giFAG6BHMdDSE3K00xHUHUIIvQP61oVdx0AkPOBbH1zs47xRjDkXHszSeLhMPFEemzEjA2l5uwY73UEHUgAmQZm6FGjrdy3lsXN7P4ZMviSh7M34Zsd=s0-d-e1-ft#http://mwanahalisionline.com/wp-content/uploads/2015/10/Mama-Lowassa-620x308.jpg)
BARAZA la Wanawake la Chama Cha Demokrasia (Chadema) Taifa, Bawacha, limewataka wanawake nchi nzima kupiga kura na kukaa mita 200 ili kulinda kura zao kwani ni haki yao kisheria.Kauli hiyo imetolewa jana na Naibu Katibu Mkuu wa Bawacha Kunti Yusuph wakati wa mkutano na wanawake, uliofanyika katika ofisi za Chadema kanda ya ziwa Victoria jijini hapa.
Kunti ambaye ni mratibu wa mikutano ya kukutana...
9 years ago
Mtanzania10 Sep
Samia: Msiuze kura zenu kwa bei ya chumvi
NA SARAH MOSSI, RUVUMA
MGOMBEA mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kuthamini kura zao na kutokubali kuziuza kwa bei rahisi inayofanana na chumvi.
Samia, aliyasema hayo jana katika Kijiji cha Kingerikiti katika moja ya mikutano yake ya kampeni kwenye Jimbo la Nyasa mkoani Ruvuma.
Akihutubia wananchi wa jimbo hilo, Samia alisema wapo watu wanaopita kuwahadaa kwa kutumia fedha ili wawapigie kura katika uchaguzi mkuu ujao, huku wakiahidi ahadi...
10 years ago
MichuziMtanzania MUIGIZAJI anaeishi San Francisco Ernest Napoleon, anaomba Kura zenu
![](https://fbcdn-sphotos-f-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xfa1/v/t1.0-9/1006095_10154662450890247_1313383734386018693_n.jpg?oh=ae9fc4abe37528cbdda018b7f9f3fd16&oe=54B54838&__gda__=1420737459_3806b5fc185d1b48867f979d7e599d71)
9 years ago
Michuzi11 Oct
ZITUNZENI KADI ZENU ZA KUPIGIA KURA MSIKUBALI KUZIBADILISHA NA KITU CHOCHOTE - MAMA SALMA KIKWETE
Mwito huo umetolewa hivi karibuni na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwa nyakati tofauti na wananchi wa vijiji vya Nyengedi na Mandawa vilivyopo katika majimbo ya Mtama na Ruangwa waliohudhuria mkutano wa kampeni ya kuwanadi wagombea wa nafasi za...
11 years ago
Michuzi25 Jul
TEAM IDDI "TEAM TANZANIA" INAOMBA KURA ZENU
Bachelors in Accounting, MBA, CPA, CGMA
Controller at
Property Management Company
KUSHIRIKIANA NA KINA MAMA NA WATANZANIA WOTE HAPA DMV
Kwa miaka mitatu mfululizo nimekuwa nikishiriki na kushirikiana na kikundi cha kina mama kwenye matembezi hiari ya Kansa. Kikundi cha kina mama wa DMV ndani yake kukiwa na watanzania wenzetu walio pitia janga la Kansa wamekuwa mbele kuwaomba na kuwataka watanzania wachangie kwenye utafiti wa Kansa na pia kuwaomba watanzania wote wafanyiwe...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-osg-FvSoJuo/U7xYOqaUa2I/AAAAAAAFzCo/bzEQInVQiy0/s72-c/sum4.jpg)
TEAM IDDI "TEAM TANZANIA" INAOMBA KURA ZENU: KUWAKUTANISHA WATANZANIA KAMA WANA DMV BILA KUJALI MENGINEYO
Katika Historia ya DMV kwa Miaka miwili mfululizo ya Uongozi wangu tumeweza kuwajumuisha watanzania kwenye mambo mbali mbali. Tumeweza kufanya SUMMER PICNIC kwa watanzania wote wa DMV . Tuliweza kujipanga na Kuhakikisha watoto, vijana na Wazee wanajumuishwa pamoja na kufurahia, Watanzania bila Kujali Vyama na mengineyo tuliweza kujumuika kwa pamoja na kufurahi. Lengo DMV MOJA.
Kwa Kuendeleza kuonyesha ni jinsi Gani umoja Ndio Lengo la Jumuiya na Sio Kupata Mamilioni ya Fedha...