Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAWAKE LINDENI KURA ZENU:BAWACHA

Mke wa Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa, Regina Lowassa akiwa katika mkutano wa hadharaMke wa Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa, Regina Lowassa akiwa katika mkutano wa hadhara.
BARAZA la Wanawake la Chama Cha Demokrasia (Chadema) Taifa, Bawacha, limewataka wanawake nchi nzima kupiga kura na kukaa mita 200 ili kulinda kura zao kwani ni haki yao kisheria.Kauli hiyo imetolewa jana na Naibu Katibu Mkuu wa Bawacha Kunti Yusuph wakati wa mkutano na wanawake, uliofanyika katika ofisi za Chadema kanda ya ziwa Victoria jijini hapa.
Kunti ambaye ni mratibu wa mikutano ya kukutana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Lowassa: Tumieni kura zenu vizuri

3(4)>> Aonya polisi, asema atawapeleka ICC

>> Ashangaa fedha kupelekwa bandari ya Bagamoyo

 

NA FREDY AZZAH, TANGA

MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amewataka Watanzania kutumia vizuri kadi zao za kupigia kura kwa kumchagua yeye kwani watakuwa wamefanya uamuzi wa busara ambao hawataujutia.

Lowassa aliyasema hayo jana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Indian Ocean, eneo la Donge jijini Tanga, huku akisema fedha zilizopelekwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wanawake, watoto tambueni haki zenu’

WANAWAKE na watoto wametakiwa kuzitambua haki zao za kimsingi katika jamii ili kuepukana na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia vinavyokithiri wilayani Karagwe. Mkurugenzi Mtendaji wa asasi isiyo ya kiserikali ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UWK: Wanawake pazeni sauti zenu

UMOJA wa Wanawake Wajane (UWK) Wilayani Karagwe umesema unyanyasaji wa kijinsia katika jamii unaweza kutokomezwa iwapo wanawake watavunja ukimya na kupaza sauti zao. Akizungumza na waandishi wa habari jana mwenyekiti...

 

10 years ago

Habarileo

‘Wanawake teteeni ajenda zenu kwenye Katiba’

WANAWAKE nchini wametakiwa kufunguka na kujua ajenda zao zilizomo katika Katiba pendekezwa na kuhakikisha wanazitetea, ikiwemo ya usawa kati ya wanaume na wanawake.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Baraza la wanawake chadema(BAWACHA)

The post Baraza la wanawake chadema(BAWACHA) appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mtanzania

Samia: Msiuze kura zenu kwa bei ya chumvi

Pg 2 sept 10NA SARAH MOSSI, RUVUMA

MGOMBEA mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kuthamini kura zao na kutokubali kuziuza kwa bei rahisi inayofanana na chumvi.

Samia, aliyasema hayo jana katika Kijiji cha Kingerikiti katika moja ya mikutano yake ya kampeni kwenye Jimbo la Nyasa mkoani Ruvuma.

Akihutubia wananchi wa jimbo hilo, Samia alisema wapo watu wanaopita kuwahadaa kwa kutumia fedha ili wawapigie kura katika uchaguzi mkuu ujao, huku wakiahidi ahadi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

BAWACHA: UWT acheni kuwapumbaza wanawake

BARAZA la Wanawake wa CHADEMA, (BAWACHA), limejipanga kuhakikishawanawake nchini wanaamka kudai haki zao huku likiuonya Umoja waWanawake wa CCM, (UWT), kuacha kuwapumbaza kwa kuwaimbisha nyimbo zisizo na tija huku ukishindwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanawake wa Bawacha wamchukulia fomu Mdee

Vigogo wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), watachuana katika kinyang’anyiro cha kuwania uenyekiti wa baraza hilo baada ya jana baadhi ya wanawake kujitokeza kumchukulia fomu Mbunge wa Kawe, Halima Mdee.

 

10 years ago

Tanzania Daima

BAWACHA walaani mauaji ya wanawake Mara

BARAZA la Wanawake CHADEMA, (BAWACHA), limelaani mauaji ya wanawake yanayofanywa na watu wasiofahamika maeneo mbalimbali ya Wilaya za Butiama na Musoma mkoani Mara huku Jeshi la Polisi likishindwa kuyadhibiti. Akiwahutubia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani