Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAWACHA: UWT acheni kuwapumbaza wanawake

BARAZA la Wanawake wa CHADEMA, (BAWACHA), limejipanga kuhakikishawanawake nchini wanaamka kudai haki zao huku likiuonya Umoja waWanawake wa CCM, (UWT), kuacha kuwapumbaza kwa kuwaimbisha nyimbo zisizo na tija huku ukishindwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Bawacha waapa kula sahani moja na UWT

Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) limetangaza mapambano dhidi ya Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT), kwa kuwa haufanyi kazi kama ilivyokusudiwa.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Baraza la wanawake chadema(BAWACHA)

The post Baraza la wanawake chadema(BAWACHA) appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Michuzi

WANAWAKE LINDENI KURA ZENU:BAWACHA

Mke wa Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa, Regina Lowassa akiwa katika mkutano wa hadharaMke wa Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa, Regina Lowassa akiwa katika mkutano wa hadhara.
BARAZA la Wanawake la Chama Cha Demokrasia (Chadema) Taifa, Bawacha, limewataka wanawake nchi nzima kupiga kura na kukaa mita 200 ili kulinda kura zao kwani ni haki yao kisheria.Kauli hiyo imetolewa jana na Naibu Katibu Mkuu wa Bawacha Kunti Yusuph wakati wa mkutano na wanawake, uliofanyika katika ofisi za Chadema kanda ya ziwa Victoria jijini hapa.
Kunti ambaye ni mratibu wa mikutano ya kukutana...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanawake wa Bawacha wamchukulia fomu Mdee

Vigogo wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), watachuana katika kinyang’anyiro cha kuwania uenyekiti wa baraza hilo baada ya jana baadhi ya wanawake kujitokeza kumchukulia fomu Mbunge wa Kawe, Halima Mdee.

 

10 years ago

Tanzania Daima

BAWACHA walaani mauaji ya wanawake Mara

BARAZA la Wanawake CHADEMA, (BAWACHA), limelaani mauaji ya wanawake yanayofanywa na watu wasiofahamika maeneo mbalimbali ya Wilaya za Butiama na Musoma mkoani Mara huku Jeshi la Polisi likishindwa kuyadhibiti. Akiwahutubia...

 

9 years ago

Vijimambo

BAWACHA KUHAMASISHA WANAWAKE KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

  Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), Halima Mdee akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaama juu ya uzinduzi wa kongamano la kuunganisha wanawake ili waweze kushiriki katika uchaguzi mkuu Octoba 25.  Katibu Mkuu wa Bawacha, Grace Tendega akifafanua jambo.
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), Halima Mdee akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juu ya uzinduzi wa kongamano la kuunganisha wanawake ili waweze kushiriki katika...

 

11 years ago

Habarileo

'Wanawake wasilazimishwe kununua kadi za UWT'

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Sophia Simba amewataka Wenyeviti na Makatibu wa UWT wa Mikoa na Wilaya kutowalazimisha wanawake kutoa Sh 1,500 kwa ajili ya kununua kadi za uanachama.

 

9 years ago

Mwananchi

Katibu UWT aomba wanawake wasimwangushe Samia

Katibu wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) mkoani hapa, Rehema Haule amewaomba wanawake kumchagua mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli ili wapate makamu wa rais ambaye atakuwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo katika historia ya Tanzania.

 

5 years ago

Michuzi

UWT BAGAMOYO YAWATAKA WANAWAKE KUTHUBUTU KUGOMBEA UDIWANI,UBUNGE

Mwamvua Mwinyi, BagamoyoJUMUIYA ya Wanawake Wilayani Bagamoyo ,mkoani Pwani, (UWT),imewataka wanachama wa Jumuiya hiyo kujiandaa kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi mkuu unaotarajia kuanza hivi karibuni ,pasipo kujiweka nyuma.
Katibu wa UWT Bagamoyo, Hanifa Checheta aliyasema hayo alipozungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM)wilayani hapo, ambapo alisema wakati mchakato wa uchaguzi ngazi za Udiwani, Ubunge ukiwadi ,wanawake wajitokeze kuwania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani