Bawacha waapa kula sahani moja na UWT
Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) limetangaza mapambano dhidi ya Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT), kwa kuwa haufanyi kazi kama ilivyokusudiwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi23 Dec
RC aapa kula sahani moja na watendaji
5 years ago
Michuzi
RC Makonda kula sahani moja na wanaume wanaowaonea Wanawake
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amesema ametangaza vita kuwashughukikia kikamilifu wanaume wenye tabia ya kuwaonea Wanawake kwa kuwapiga hadi kuwaharibu mwonekano wa sura,macho,kuwavunja meno au taya na kusababisha baadhi yao kupata ulemavu wa kudumu jambo ambalo ni kinyume na Sheria.
Makonda ameyasema hayo wakati wa maadhinisho ya siku ya Wanawake Duniani kwa Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika katika viwanja vya Leaders .
RC Makonda amesema...
10 years ago
Bongo521 Nov
Ushirikiano huu wa Afrika Mashariki ndio njia pekee ya kula sahani moja na Wanaijeria!
11 years ago
Tanzania Daima28 Oct
BAWACHA: UWT acheni kuwapumbaza wanawake
BARAZA la Wanawake wa CHADEMA, (BAWACHA), limejipanga kuhakikishawanawake nchini wanaamka kudai haki zao huku likiuonya Umoja waWanawake wa CCM, (UWT), kuacha kuwapumbaza kwa kuwaimbisha nyimbo zisizo na tija huku ukishindwa...
10 years ago
BBCSwahili28 Apr
Tutakula sahani moja na Azam -Simba.
10 years ago
GPL
ALIENS WATENGENEZA NDEGE KAMA SAHANI
11 years ago
Tanzania Daima08 Feb
Mmeamua kuvuta sahani yote ya chakula kwenu?
SASA nimeelewa kwanini watu wengine hupiga magoti wanapoomba kura. Kumbe ukipata kura ni sawa na kupata kula eh? Chah! Iwezekane vipi mtu aliyefanya kazi kwa miaka mitano, tena bila kupima...
11 years ago
Habarileo27 Oct
Wazee waapa kuacha ukeketaji
WAZEE wa kimila kutoka koo zote za kabila la Wakurya wilayani Tarime, wamekubaliana mbele ya Mkuu wa wilaya Tarime, John Henjewele, kuacha kukeketa watoto wa kike.
11 years ago
Habarileo23 Oct
Wakurugenzi waapa kuzuia vifo
WAKURUGENZI wa halmashauri katika mkoa wa Rukwa wamelishwa kiapo kuhakikisha katika wilaya zao hapatokei kifo cha mama na mtoto wakati wa kujifungua.