Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tutakula sahani moja na Azam -Simba.

Simba wamesema sasa wanakula sahani moja na klabu ya Azam ya kugombania nafasi ya pili ili kushiriki michuano ya kimataifa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

RC aapa kula sahani moja na watendaji

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mwantunu Mahiza amewataka watendaji kuacha kufanya kazi kwa mazoea na kuzitumia changamoto kama fursa katika kazi zao sambamba na kubadilisha mtazamo ili kuwaletea maendeleo wananchi wa Lindi.

 

10 years ago

Mwananchi

Bawacha waapa kula sahani moja na UWT

Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) limetangaza mapambano dhidi ya Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT), kwa kuwa haufanyi kazi kama ilivyokusudiwa.

 

5 years ago

Michuzi

RC Makonda kula sahani moja na wanaume wanaowaonea Wanawake

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam  Paul Makonda amesema ametangaza vita  kuwashughukikia kikamilifu wanaume wenye tabia ya kuwaonea Wanawake kwa kuwapiga hadi kuwaharibu mwonekano wa sura,macho,kuwavunja meno au taya na kusababisha baadhi yao kupata ulemavu wa kudumu jambo ambalo ni kinyume na Sheria.

Makonda ameyasema hayo wakati wa maadhinisho ya siku ya Wanawake Duniani kwa Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika katika viwanja vya Leaders .

RC Makonda amesema...

 

10 years ago

Bongo5

Ushirikiano huu wa Afrika Mashariki ndio njia pekee ya kula sahani moja na Wanaijeria!

Kwa mtazamo wetu, Afrika Mashariki haijawahi kuwa na ushirikiano wa karibu kama tunaouona sasa. Hebu tuangalie kwa ufupi.. Turudi nyuma hadi pale Victoria Kimani alipowashirikisha Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz kufanya wimbo Prokoto. Shaa alichaguliwa na kituo cha Citizen TV kuwa host wa show yao ya Sakata Mashariki na kiukweli watazamaji wamempokeza vizuri. Shaa huyo […]

 

9 years ago

Mtanzania

Yanga, Azam kundi moja Mapinduzi

ratibaHUSSEIN OMAR NA KOMBO ALI, ZANZIBAR

KLABU za Yanga na Azam zimepangwa kundi moja kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi, ambayo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi visiwani Zanzibar, Januari 2, mwakani katika Uwanja wa Amaan.

Kwa mujibu wa ratiba iliyopangwa jana, Yanga na Azam wako Kundi B la michuano hiyo pamoja na timu za Mafunzo na Mtibwa Sugar ya Ligi Kuu Tanzania Bara.

Wakati Kundi A, lina timu za Simba, URA ya Uganda, JKU ya Unguja na Jamhuri ya Pemba kundi ambalo linaonekana kuwa dhaifu...

 

11 years ago

Mwananchi

Mapunda ataka namba moja Simba

Kipa mpya wa Simba, Ivo Mapunda amesema hahofii ushindani atakaokutana nao kutoka kwa makipa wengine wa timu hiyo na kudai kuwa yuko tayari kuikabili changamoto hiyo na hatimaye kusimama langoni kama kipa namba moja.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simba Nguvu Moja wapata msiba

KUNDI la hamasa na ushangiliaji la Klabu ya Simba tawi la Nguvu Moja la jijini Dar es Salaam, wamefiwa na shabiki Mawazo Ramadhani ‘Kidedea’ aliyefariki dunia usiku wa kuamkia Julai...

 

10 years ago

Michuzi

Simba yaifunga Azam FC 2-1

 Mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano 'Messi" akishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kuipatia timu yake bao la pili.
Beki wa Azam FC, Agrey Moris akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.  Raha ya ushindi. 
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

9 years ago

Mtanzania

Azam yaitisha Simba

IMG_4080NA ZAINAB IDDY

TIMU ya Azam FC imewatangazia hali ya hatari Simba katika mechi yao ya Ligi Kuu Tanzania Bara, itakayochezwa Desemba 12 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Azam imetamba kuinyuka Simba katika mchezo huo, ambapo hadi sasa vinara hao wa ligi kuu wamefikisha pointi 25, wapinzani wao hao wakishika nafasi ya nne wakiwa na pointi 21 katika mechi tisa walizocheza kila mmoja.

Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi, Ofisa Habari wa Azam, Jaffar Idd, alisema maandalizi yao kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani