Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakurugenzi waapa kuzuia vifo

WAKURUGENZI wa halmashauri katika mkoa wa Rukwa wamelishwa kiapo kuhakikisha katika wilaya zao hapatokei kifo cha mama na mtoto wakati wa kujifungua.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Habarileo

Wazee waapa kuacha ukeketaji

WAZEE wa kimila kutoka koo zote za kabila la Wakurya wilayani Tarime, wamekubaliana mbele ya Mkuu wa wilaya Tarime, John Henjewele, kuacha kukeketa watoto wa kike.

 

9 years ago

Mwananchi

Mawaziri waapa bila shamrashamra

Halikuwa jambo la kawaida wakati hafla ya kuapishwa kwa mawaziri 30 Ikulu Dar es Salaam jana ilipofanyika kwa dakika 60, bila ya kuwapo kwa shamrashamra za aina yoyote.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ukawa waapa kulinda kura

katibu mkuu wa Chadema, John Mnyika BEATRICE SHAYO 4th October 2015 Kaimu katibu mkuu wa Chadema, John Mnyika akizungumza na waandishi wa bahari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu Tume ya Taifa ya […]

The post Ukawa waapa kulinda kura appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mtanzania

Masheikh waapa kuiadhibu CCM kesho

2NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM.

KAMATI ya Masheikh na Maimamu wa Mkoa wa Dar es Salaam, wamewataka waamini wa dini ya Kiislamu na Watanzania kwa ujumla kuhakikisha wanampigia kura na kumchagua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, ili kuweza kuleta mabadiliko ya kweli nchini.

Kauli hiyo ilitolewa jana wakati masheikh hao wakiwajibu wenzao wa Mwanza ambao Oktoba 17 katika kuadhimisha sherehe za mwaka mpya wa Kiislamu walikaririwa wakimtaja Lowassa kuwa...

 

11 years ago

Habarileo

UVCCM waapa kuyaenzi Mapinduzi ya Zanzibar

Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu ShakaJUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) imesema itaendelea kuyalinda na kuyaenzi Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 huku wakiwaasa wapinga mapinduzi kuwa wananchi wa Zanzibar, hawatakubaliani na hoja yao hiyo.

 

10 years ago

GPL

MTITU, STEVE NYERERE WAAPA KUTOZIKANA!

Brighton masalu
WASANII William Mtitu na Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ wamejiapiza kuwa wasizikane ikitokea mmoja kati yao akafariki dunia huku chanzo ni kila mmoja kumtuhumu mwenzake kwa unafiki. Msanii wa filamu Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Wakizungumza na Amani kwa nyakati tofauti juzi, wawili hao wameapa wasijuane kwa hali yoyote iwe kwa matatizo kama mmoja wao kufiwa au yeye kufariki dunia,...

 

10 years ago

Mwananchi

Bawacha waapa kula sahani moja na UWT

Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) limetangaza mapambano dhidi ya Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT), kwa kuwa haufanyi kazi kama ilivyokusudiwa.

 

10 years ago

GPL

Nyota Tanzania Eleven waapa kuichakaza Madrid

Kipa wa zamani wa Simba Mohamed Mwameja. Na Waandishi Wetu
WACHEZAJI wa kikosi cha Tanzania Eleven, wameapa kuifunga Real Madrid katika mchezo mkali wa kirafiki utakaopigwa kwenye Uwanja wa Taifa leo Jumamosi. Wakizungumza na Championi Jumamosi, wachezaji hao walisema wamejiandaa vya kutosha kuhakikisha wanaifunga Madrid na kuipa heshima Tanzania na wameomba mashabiki kujitokeza kwa wingi kushuhudia mtanange huo mkubwa....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani