Nyota Tanzania Eleven waapa kuichakaza Madrid
![](http://api.ning.com:80/files/k597Gy8eW*WZTP0W8kQEIhQB8ECboY5m923pwiPu8H3PUKjJBm7CRS1Gc8ojkz867qE8UB7TWPGPOQPQ-0KWj4cMHqb*gcnL/nyota.jpg)
Kipa wa zamani wa Simba Mohamed Mwameja. Na Waandishi Wetu WACHEZAJI wa kikosi cha Tanzania Eleven, wameapa kuifunga Real Madrid katika mchezo mkali wa kirafiki utakaopigwa kwenye Uwanja wa Taifa leo Jumamosi. Wakizungumza na Championi Jumamosi, wachezaji hao walisema wamejiandaa vya kutosha kuhakikisha wanaifunga Madrid na kuipa heshima Tanzania na wameomba mashabiki kujitokeza kwa wingi kushuhudia mtanange huo mkubwa....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLTANZANIA ELEVEN HOI KWA WAKONGWE WA REAL MADRID
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p1hCpNEYWCI1cvFw81eYmYuTPVsYnqzFpbuUQFZWDA9AgpKuqpSNS1FeLDwhUzGkJWi*3tbp0EFofj0XQVXlyex84D6zBahd/MADRID.jpg?width=650)
VODACOM YAITAKIA HERI TANZANIA ELEVEN DHIDI YA MADRID
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-CK8HNUcVQ8E/U_jAWs8eDZI/AAAAAAABKCo/4iR14woat80/s72-c/3.jpg)
MAGWIJI WA REAL MADRID WAIFUMUA TANZANIA ELEVEN MABAO 3-1 UWANJA WA TAIFA LEO
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAMMSHAMBULIAJI Reuben de La Red amefunga mabao matatu peke yake, magwiji wa Real Madrid wakiiangusha Tanzania Eleven 3-1 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
De la Red alimfunga bao moja Mwameja Mohamed kipindi cha kwanza na kipindi cha pil akamtungua mara mbili Manyika Peter, wakati bao pekee la Stars, Real walijifunga wenyewe kupitia kwa Roberto Rojas.
Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete alimkabidhi mpira De La Red baada ya mechi kabla ya...
10 years ago
Mwananchi27 Feb
MTN ya Yanga kuichakaza BDF XI
5 years ago
Bongo514 Feb
Real Madrid na Atletico Madrid zimefuzu hatua ya nusu fainali Champions League
Ligi ya klabu bingwa Ulaya msimu huu imefikia kikomo baada ya klabu ya Leicester City ya Uingereza kutoka sare na Atletico Madrid uwanjani King Power.
Leicester wameondolewa katika hatua ya robo fainali baada ya sare hiyo ya 1-1 huku wakiwa wamefungwa 1-0 kwenye mechi ya mkondo wa kwanza.
Mchezaji wa Atletico Madrid, Saul Niguez alifunga bao kwa kichwa dakika ya 26.
Hii lilikuwa na maana kwamba walihitaji mabao matatu kipindi cha pili ili kufanikiwa kusonga.
Jamie Vardy alikomboa bao moja...
10 years ago
Africanjam.Com![](http://1.bp.blogspot.com/-rwve4Xr1iJs/VZd3wxDtutI/AAAAAAAACbQ/rgN2kj6Joc8/s72-c/degea-1431735082.jpg)
THIS IS WHAT ATLETICO MADRID SAYS ABOUT DAVID DE GEA JOINING REAL MADRID
![](http://1.bp.blogspot.com/-rwve4Xr1iJs/VZd3wxDtutI/AAAAAAAACbQ/rgN2kj6Joc8/s400/degea-1431735082.jpg)
De Gea joined United from Atletico, where he started his career, for £18.9million in 2011. A year earlier he was a crucial figure as Atleti won the Europa League.Tomas Ujfalusi was part of De Gea's defence that season and popular with the club's fans after spending three years in the Spanish capital; De Gea was equally liked, but Ujfalusi believes he will throw that away if he signs for Real because Atletico's fans would feel betrayed.
![](http://1.bp.blogspot.com/-M7IhNpLMfA0/VZd270Y6xRI/AAAAAAAACbA/Z8T9ox6NVkA/s400/22B224DE00000578-0-image-a-47_1435960515677.jpg)