Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGWIJI WA REAL MADRID WAIFUMUA TANZANIA ELEVEN MABAO 3-1 UWANJA WA TAIFA LEO


Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAMMSHAMBULIAJI Reuben de La Red amefunga mabao matatu peke yake, magwiji wa Real Madrid wakiiangusha Tanzania Eleven 3-1 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
De la Red alimfunga bao moja Mwameja Mohamed kipindi cha kwanza na kipindi cha pil akamtungua mara mbili Manyika Peter, wakati bao pekee la Stars, Real walijifunga wenyewe kupitia kwa Roberto Rojas.
Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete alimkabidhi mpira De La Red baada ya mechi kabla ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TANZANIA ELEVEN HOI KWA WAKONGWE WA REAL MADRID

Kiungo wa zamani wa Real Madrid, Luis Figo akiwatoka wachezaji wa Tanzania Eleven wakati wa mechi hiyo. Mfungaji wa mabao matatu ya Wakongwe wa Real Madrid, Ruben de la Red akimiliki mpira…

 

10 years ago

Michuzi

MACHAVA FC KUTUMIA UZI MPYA TOKA MEGATRADE KATIKA MECHI YAO DHIDI YA PANONE FC ITAKAYOSHUHUDIWA NA MAGWIJI WA REAL MADRID UWANJA WA USHIRIKA MOSHI

Meneja Mauzo wa kampuni ya Megatrade Investment Ltd ya jijini Arusha ,Edmund Rutaraka (kushoto)akikabidhi msaada wa jezi kwa Makamu mwenyekiti wa timu ya soka ya Machava fc,Abuu Masudi.Baadhi ya wachezaji wa kikosi cha timu ya Machava fc ya mkoani Kilimanjaro wakionesha uzi mpya waliopewa na kampuni ya Megatrade Investment ya jijini Arusha kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Panone fc uliondaliwa mahususi kwa ajili ya Magwiji wa soka wa klabu ya Real Madrid utakaopigwa katika...

 

11 years ago

GPL

MPACHIKA MABAO JAMES RODRIGUEZ ATUA REAL MADRID

James Rodriguez akifanyiwa vipimo mjini Madrid kujiunga na Real Madrid. Rodriguez wakati akitoka hospitali mjini Madrid baada ya kukamilisha vipimo.…

 

10 years ago

Mwananchi

‘Ng’ombe hazeeki maini’ Real Madrid v Tanzania XI leo

Winga wa zamani wa Real Madrid,  Luis Figo ametamba kwamba magwiji wa timu hiyo  watawafunika nyota wa Tanzania XI katika mchezo  baina yao utakaopigwa leo kwenye Uwanja wa  Taifa,Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

Nyota Tanzania Eleven waapa kuichakaza Madrid

Kipa wa zamani wa Simba Mohamed Mwameja. Na Waandishi Wetu
WACHEZAJI wa kikosi cha Tanzania Eleven, wameapa kuifunga Real Madrid katika mchezo mkali wa kirafiki utakaopigwa kwenye Uwanja wa Taifa leo Jumamosi. Wakizungumza na Championi Jumamosi, wachezaji hao walisema wamejiandaa vya kutosha kuhakikisha wanaifunga Madrid na kuipa heshima Tanzania na wameomba mashabiki kujitokeza kwa wingi kushuhudia mtanange huo mkubwa....

 

10 years ago

GPL

VODACOM YAITAKIA HERI TANZANIA ELEVEN DHIDI YA MADRID

Kikosi cha wachezaji 33 kilichotangazwa na Kocha Charles Boniface Mkwassa kuunda timu ya TSN Tanzania Eleven kimetakiwa kucheza kwa kujituma ili kulinda heshima kwa Tanzania katika mchezo wao dhidi ya nyota wa zamani wa timu ya Real Madrid. Hayo yamesemwa na Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim ambao ni wadhamini wa mechi hiyo muda mfupi baada ya kutajwa kwa kikosi hicho ambacho kinatarajiwa kujikusanya mapema wiki...

 

10 years ago

Vijimambo

NANI KWENDA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO, NI BINGWA MTETEZI REAL MADRID AU ATLETICO MADRID

Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti ( mwenye kofia ) akifuatilia mazoezi ya wachezaji wake kabla ya kurudiana na Atletico Madrid leo usiku.Wachezaji wa Real Madrid ( kutoka kushoto kwenda kulia ) Daniel Carvajal, Marcelo Vieira na Sami Khedira wakijifua tayari kuwakabili wapinzani wao Atletico Madrid leo usiku.
Baada ya mchezo watakumbatiana hivi!!! Kocha wa Real Madrd Carlo Ancelotti( kushoto ) akiwa na kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone. 
Robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya...

 

5 years ago

CCM Blog

YANGA KIDEDEA UWANJA WA TAIFA KWA KUICHAPA MABAO FC 2-0

  Yanga imefanikiwa kunyakua pointi tatu baada ya kuibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Mbao FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Magoli ya Yanga yalifungwa na David Molinga dakika ya 28 kwa mkwaju wa penati na jingine likifungwa na Patrick Sibomana dakika ya 82.

FT: Yanga SC 2-0 Mbao FC.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani