Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MPACHIKA MABAO JAMES RODRIGUEZ ATUA REAL MADRID

James Rodriguez akifanyiwa vipimo mjini Madrid kujiunga na Real Madrid. Rodriguez wakati akitoka hospitali mjini Madrid baada ya kukamilisha vipimo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

James Rodriguez asainishwa na Real Madrid kwa dau la £60m

Real Madrid wamekubali kumsainisha mshindi wa kiatu cha dhahabu katika kombe la dunia lililomalizika hivi karibuni nchini Brazi, James Rodriguez kutoka Monaco. Mchezaji huyo wa Colombia amesaini mkataba wa miaka sita na timu hiyo na alifanyiwa vipimo Jumanne hii. Nipo sawa Madrid imelipa dau la £60million, na kuufanya uhamisho wa Rodriguez kushika nafasi ya nne […]

 

11 years ago

GPL

BAADA YA KROOS, REAL MADRID KUMNASA RODRIGUEZ

Mfungaji bora wa Kombe la Dunia 2014, James Rodriguez.
KLABU ya Real Madrid inakaribia kumnasa mfungaji bora wa Kombe la Dunia 2014, James Rodriguez, kwa pauni milioni 63 kutoka Monaco. Toni Kroos tayari ametua Real Madrid kwa pauni milioni 24. Klabu hiyo ya Hispania, leo imekamilisha usajili wa kiungo wa Ujerumani na Bayern Munich, Toni Kroos, kwa pauni milioni 24 kwa mkataba wa miaka sita. Ili… ...

 

10 years ago

Michuzi

MAGWIJI WA REAL MADRID WAIFUMUA TANZANIA ELEVEN MABAO 3-1 UWANJA WA TAIFA LEO


Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAMMSHAMBULIAJI Reuben de La Red amefunga mabao matatu peke yake, magwiji wa Real Madrid wakiiangusha Tanzania Eleven 3-1 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
De la Red alimfunga bao moja Mwameja Mohamed kipindi cha kwanza na kipindi cha pil akamtungua mara mbili Manyika Peter, wakati bao pekee la Stars, Real walijifunga wenyewe kupitia kwa Roberto Rojas.
Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete alimkabidhi mpira De La Red baada ya mechi kabla ya...

 

10 years ago

GPL

CHICHARITO ATUA RASMI REAL MADRID

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Mexico, Javier Hernandez 'Chicharito ' (kushoto) na Florentino Perez (kulia) wakisaini mkataba baada ya uhamisho wa mkopo kutoka Manchester United kwenda Real Madrid leo. Florentino Perez (kulia) akimkabidhi Chicharito (kushoto) jezi namba 14.…

 

11 years ago

Mwananchi

Toni Kroos atua Real Madrid

Kiungo wa Bayern Munich, Toni Kroos amethibitisha kuwa yuko njiani kujiunga na miamba ya Real Madrid katika kipindi hiki cha usajili na tayari amesaini mkataba wa miaka sita.

 

9 years ago

Mtanzania

James Rodriguez: Barcelona hawatusumbui

maxresdefaultMADRID, HISPANIA

BAADA ya Real Madrid kupokea kichapo cha mabao 3-2 dhidi ya Sevilla, mshambuliaji wa timu hiyo, James Rodriguez, amesema kuwa hawana wasi wasi na mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi ya wapinzani wao, Barcelona.

Mchezo huo utapigwa kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu, ambapo utakuwa El Clasico ya kwanza msimu huu wapinzani hao kukutana.

Barcelona kwa sasa wanaongoza katika msimamo wa Ligi nchini Hispania baada ya juzi kushinda mabao 3-0 dhidi ya Villarreal, wakati Madrid ikiambulia...

 

10 years ago

BBCSwahili

Naimarika zaidi Madrid: Rodriguez

Wakati Real Madrid leo wakitarajiwa kushuka dimbani dhidi ya Fc Basel James Rodriguez atamba.

 

5 years ago

Bongo5

Real Madrid na Atletico Madrid zimefuzu hatua ya nusu fainali Champions League

Ligi ya klabu bingwa Ulaya msimu huu imefikia kikomo baada ya klabu ya Leicester City ya Uingereza kutoka sare na Atletico Madrid uwanjani King Power.

Leicester wameondolewa katika hatua ya robo fainali baada ya sare hiyo ya 1-1 huku wakiwa wamefungwa 1-0 kwenye mechi ya mkondo wa kwanza.

Mchezaji wa Atletico Madrid, Saul Niguez alifunga bao kwa kichwa dakika ya 26.

Hii lilikuwa na maana kwamba walihitaji mabao matatu kipindi cha pili ili kufanikiwa kusonga.

Jamie Vardy alikomboa bao moja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani