Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Naimarika zaidi Madrid: Rodriguez

Wakati Real Madrid leo wakitarajiwa kushuka dimbani dhidi ya Fc Basel James Rodriguez atamba.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BAADA YA KROOS, REAL MADRID KUMNASA RODRIGUEZ

Mfungaji bora wa Kombe la Dunia 2014, James Rodriguez.
KLABU ya Real Madrid inakaribia kumnasa mfungaji bora wa Kombe la Dunia 2014, James Rodriguez, kwa pauni milioni 63 kutoka Monaco. Toni Kroos tayari ametua Real Madrid kwa pauni milioni 24. Klabu hiyo ya Hispania, leo imekamilisha usajili wa kiungo wa Ujerumani na Bayern Munich, Toni Kroos, kwa pauni milioni 24 kwa mkataba wa miaka sita. Ili… ...

 

11 years ago

GPL

MPACHIKA MABAO JAMES RODRIGUEZ ATUA REAL MADRID

James Rodriguez akifanyiwa vipimo mjini Madrid kujiunga na Real Madrid. Rodriguez wakati akitoka hospitali mjini Madrid baada ya kukamilisha vipimo.…

 

11 years ago

Bongo5

James Rodriguez asainishwa na Real Madrid kwa dau la £60m

Real Madrid wamekubali kumsainisha mshindi wa kiatu cha dhahabu katika kombe la dunia lililomalizika hivi karibuni nchini Brazi, James Rodriguez kutoka Monaco. Mchezaji huyo wa Colombia amesaini mkataba wa miaka sita na timu hiyo na alifanyiwa vipimo Jumanne hii. Nipo sawa Madrid imelipa dau la £60million, na kuufanya uhamisho wa Rodriguez kushika nafasi ya nne […]

 

9 years ago

MillardAyo

TOP 5 Stori: Madrid wapo tayari Rodriguez ajiunge na Chelsea ila? Baada ya Mahrez kumsumbua Terry Chelsea waamua hivi …

Headlines za soka bado zinachukua nafasi kila kukicha na mimi mtu wangu siachi kukujuza kila linalonifikia, hususani katika kuelekea kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili la mwezi January. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee TOP 5 stori za soka zilizoandikwa sana barani Ulaya. 5- Chelsea kutangaza dau la kumsajili Stones mwezi Janury Baada ya […]

The post TOP 5 Stori: Madrid wapo tayari Rodriguez ajiunge na Chelsea ila? Baada ya Mahrez kumsumbua Terry Chelsea waamua hivi … appeared...

 

10 years ago

Dewji Blog

Real Madrid yatajwa kuwa Club tajiri zaidi duniani

Real-Madrid-CF-2014-2015-First-Team-Squad-Wallpaper-1366x768

Real Madrid, mabingwa mara kumi wa Ulaya, wameweza kushikilia nafasi ya kwanza kama timu tajiri zaidi duniani kwa mwaka wa kumi mfululizo, katika orodha ya Deloitte ya timu tajiri duniani.

Manchester United imesogea hadi nafasi ya pili kutoka ya nne, katika tathmini iliyofanywa kwa kuzingatia mapato ya msimu wa 2013-14.

Bayern Munich, Barcelona na Paris Saint-Germain zimechukua nafasi ya tatu, nne na tano.

Klabu za England za Manchester City, Chelsea, Arsenal na Liverpool zimo katika nafasi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Real Madrid yatajwa kuwa klabu tajiri zaidi duniani, Man Utd, FC Barcelona zafuatia!!

barca

Timu zinazoongoza kwa utajiri duniani..

Na Rabi Hume,Modewjiblog 

Klabu ya Real Madrid ya Hispania imetajwa kuwaklabu ya mpira wa miguu tajiri zaidi duniani kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na chuo cha biashara cha Wingereza, London School of Marketing.

Katika utafiti huo umeonyesha kuwa Real Madrid inautajiri wa Pauni Bilioni 2.070 ikifatiwa na Manchester United ya Wingereza iliyotajwa kuwa na utajiri wa Pauni Bilioni 2.050 na klabu ya Barcelona ikishika nafasi ya tatu kwa kuwa na...

 

5 years ago

Bongo5

Real Madrid na Atletico Madrid zimefuzu hatua ya nusu fainali Champions League

Ligi ya klabu bingwa Ulaya msimu huu imefikia kikomo baada ya klabu ya Leicester City ya Uingereza kutoka sare na Atletico Madrid uwanjani King Power.

Leicester wameondolewa katika hatua ya robo fainali baada ya sare hiyo ya 1-1 huku wakiwa wamefungwa 1-0 kwenye mechi ya mkondo wa kwanza.

Mchezaji wa Atletico Madrid, Saul Niguez alifunga bao kwa kichwa dakika ya 26.

Hii lilikuwa na maana kwamba walihitaji mabao matatu kipindi cha pili ili kufanikiwa kusonga.

Jamie Vardy alikomboa bao moja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani